Haya maneno yanayosambaa kuhusu Group O+ yana ukweli au ni tabia ya mtu ?

Hii mada kama YakoπŸ€”
 
hawapendi mgeni akae muda mrefu
hawapendi kukaa ugenini
wana marafiki wachache sana au hawana
hupenda kujifungia
hawapendi kuona mtu anaonewa mbele yao
wanaogopa sana mikopo mikubwa, hawapendi kelele za kudaiwa
Mimi na group O

Kuna tabia nyingi ninazo hapo nyingi.

Sipendii kukaa ugenini ni kweriiiii........

La kuto penda wageni hii ni O/P KWANGU NAPENDA WATU NA WAGENI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…