ila kwa wazungu ukienda bila taarifa uwakute wanakula wapo wazi hupati chochote sababu hukuwemo kwenye hesabu zao 😂😂 na mgeni anajiongeza anatoka nje kupiga fegiPia ni wachoyo wa vyakula yaani ukibisha hodi ni heri afiche chakula uvunguni mpaka uondoke ndiyo ale
😂😂😂 daah acha ni cheke tuWe muongo.
Sasa mume utapataje?
Kaka natamani tukiwa tunazungumzia binadamu basi usivitaje viumbe ambavyo bado havijadhibitishwa kuwa ni binadamu mkuu .ila kwa wazungu ukienda bila taarifa uwakute wanakula wapo wazi hupati chochote sababu hukuwemo kwenye hesabu zao 😂😂 na mgeni anajiongeza anatoka nje kupiga fegi
NakaziaPropaganda tu mkuu, damu kazi yake ni kubeba Oxygen na virutubisho vingine kwenda kwenye cells mbalimbali za mwili na kuchukua waste materials kurudisha zinapotokea nje ya mwili zitolewa tu hamna kingine!
Personality yako inajengwa na makuzi, malezi, mafunzo, culture, elimu, imani, uzoefu, emotional quotient, intellingent quotient etc! Hayana uhusiano na damu wala group la damu kiongozi, achana na stori za saigon klub
Kama kuna ukweli hivi! Mimi kwenye kelele, ndiyo kabisaa! huwa sipendi za aina zote. Kiukweli ninapenda sana mazingira tulivu.hawapendi mgeni akae muda mrefu
hawapendi kukaa ugenini
wana marafiki wachache sana au hawana
hupenda kujifungia
hawapendi kuona mtu anaonewa mbele yao
wanaogopa sana mikopo mikubwa, hawapendi kelele za kudaiwa
Sipend story sana na watu... Napenda kukaaga kimya na mwenyewe yaan mtu akija au mgen napata tabu sipend Ile maongezmaongezUtakuwa kibonge wewe.
Kama haikudhuru ni sawa tu mkuu.Sipend story sana na watu... Napenda kukaaga kimya na mwenyewe yaan mtu akija au mgen napata tabu sipend Ile maongezmaongez
Juzi nilikua Kwa bas moro to dar aliyenikuta kwenye siti tukasalimiana baada ya hapo kimya kilitanda had nafika yaan nilitaman Ile siti niwe nimekaa mwenyewe 😄😄😄 sipend hekaheka za kuongea
Hivi ni kwanini kila mtu huwa anapenda kukaa peke yake hasa miaka ya hivi karibuni?Sipend story sana na watu... Napenda kukaaga kimya na mwenyewe yaan mtu akija au mgen napata tabu sipend Ile maongezmaongez
Juzi nilikua Kwa bas moro to dar aliyenikuta kwenye siti tukasalimiana baada ya hapo kimya kilitanda had nafika yaan nilitaman Ile siti niwe nimekaa mwenyewe 😄😄😄 sipend hekaheka za kuongea
Nikweli kabisa na ugonjwa wetu mkuu ni mafuahawapendi mgeni akae muda mrefu
hawapendi kukaa ugenini
wana marafiki wachache sana au hawana
hupenda kujifungia
hawapendi kuona mtu anaonewa mbele yao
wanaogopa sana mikopo mikubwa, hawapendi kelele za kudaiwa
Utuuzima dawa kua uyaone 😄😄Hivi ni kwanini kila mtu huwa anapenda kukaa peke yake hasa miaka ya hivi karibuni?
Nikiumwa mafua utadhan naumwa ugonjwa mkubwa yaan yatanitesa siku mbili au tatu ndo nitarud kwenye Hali yangu ila Cha moto nakionaNikweli kabisa na ugonjwa wetu mkuu ni mafua
Duh kua mara ya ngapi sasa?Utuuzima dawa kua uyaone 😄😄
Kheeeh kumbeee“Nasikia hata umeme hawapati ata wapige ngozi kwa ngozi vipi”