hawapendi mgeni akae muda mrefu
hawapendi kukaa ugenini
wana marafiki wachache sana au hawana
hupenda kujifungia
hawapendi kuona mtu anaonewa mbele yao
wanaogopa sana mikopo mikubwa, hawapendi kelele za kudaiwa
Basi idadi kubwa ya watu duniani ndo wana tabia hizo,sababu duniani zaidi ya 30%ya watu duniani ni O+hawapendi mgeni akae muda mrefu
hawapendi kukaa ugenini
wana marafiki wachache sana au hawana
hupenda kujifungia
hawapendi kuona mtu anaonewa mbele yao
wanaogopa sana mikopo mikubwa, hawapendi kelele za kudaiwa
TikTok kila mtu ni introvert, mnajimu, akimanifest anapata, kunywa damu za period, kila mtu Hana rafiki kila mtu group OMi pia nimeiona tiktok, nipo hivyo na sio blood group O sasa sielewiπ«’
Haya uliyoandika yote n ya uongo, hayana uhusiano wowote na Group la damu yoyotehawapendi mgeni akae muda mrefu
hawapendi kukaa ugenini
wana marafiki wachache sana au hawana
hupenda kujifungia
hawapendi kuona mtu anaonewa mbele yao
wanaogopa sana mikopo mikubwa, hawapendi kelele za kudaiwa
Na ile kila mtu yuko abroadπkwenye nyota ndio utachokaπ kila kidem sidechiq wanaigana upuuzi.. kila mhaini ni introvert ila kupita kimya hawezi page yke na fyp imejaa upuzii tuπTikTok kila mtu ni introvert, mnajimu, akimanifest anapata, kunywa damu za period, kila mtu Hana rafiki kila mtu group O
Upuuzi mtupu
Massive attack π€£π€£Mke wangu ana hilo group, na kwakweli hapendi wageni. Mimi ni mtu mwenye marafiki na nafahamiana sana na watu. Sasa kila nikija na wageni nyumbani lazima anune.
Namvutia pumzi siku moja nimpe kichapo heavy sana ashike adabu yake. Akiamua kusepa asepe tu. Mimi sipendi mtu mchoyo wa vyakula na asiyependa wageni (wakiwamo ndugu).
Hizo ni dalili za kuanza kusumbuliwa na matatizo ya afya ya akili.Hivi ni kwanini kila mtu huwa anapenda kukaa peke yake hasa miaka ya hivi karibuni?
Nishatembea na mwanamke + bila yw kinga maranyingi na niko vizuri. Hiyo ilikuwa 2017. 2024 nilipata mwengine nikampima yuko + nimekula zaidi ya mara tano. Kwahiyo mengine tunaushahidi nayo.wale wadudu hawajui group o+ wala b, ukijichanganya unaukwaa
Ujinga sanaNa ile kila mtu yuko abroadπkwenye nyota ndio utachokaπ kila kidem sidechiq wanaigana upuuzi.. kila mhaini ni introvert ila kupita kimya hawezi page yke na fyp imejaa upuzii tuπ
Marafiki wa kufatana fatana sana ni ma-snitch bora mtu unakuwa na watu wawili watatu waku-share nao some moment siku ikipinduka hakuna mwenye habari na mwenzie mpaka kesho.Maisha bila marafiki si afathari ukabe mwanafunzi ukale ugali wa bule miaka 30.
Ndio ni kweli YAANI hayo yote ni group o na wengi ni last boneeeeeeihawapendi mgeni akae muda mrefu
hawapendi kukaa ugenini
wana marafiki wachache sana au hawana
hupenda kujifungia
hawapendi kuona mtu anaonewa mbele yao
wanaogopa sana mikopo mikubwa, hawapendi kelele za kudaiwa
ππKuna member kakomenti kwamba wadudu wa ukimwi hawajali magrupu ya damu, unaukwaa tu ukimwi, kwani kuna group la damu ambalo ni gumu kuambikizwa ukimwi? je wale ambao ni waathirika ila virusi haviwadhuru wao ni kuambukiza wengine wana group gani la damu? yaani wao wana HIV+ ila virusi havina athari kwao, wanaambukiza wengine wanaoathirika na virusi hivyo, ndio kusema kuna magrupu ya damu ni ngumu kuathiriwa na virusi vya magonjwa na mengine hayaathiriwi?
Solo dateππ yaani tiktok kuna ujinga sana.. Unamuona mtu content creator kumbe ana 2 jobsπUjinga sana
Chosen one ndo kuwa mtaji daah π siku hz mmehalalisha udangaji in a way it's normal thing