Haya ndio makadirio ya gharama (ukitumia rate za kiserikali) kusafirisha wasanii 40 Korea

Samahani mkuu eti sukari kilo Moja shilingi ngapi?
 
Hawana uwezo wa kujigharamia . Ukweli ni kwamba huku ndiko serikali ilikofikia. Kazi tunayo
 
Makadirio ya chini mno imeweka,

Mtu awe msafara wa Rais, alipwe 40,000 Kwa siku?

Anyway, umeeleweka.
 
Umewaona wasanii tu wanaokula mabaki nadala ya kupambana na hali yako unafuatilia waliojitafuta kwenye nafasi zao ,pigana uwekeze serikalini wenzako wamewekeza humo upate kama wachungaji na masheikh walivyowekeza kwenye miskiti na makanisa na hawalipi kodi ila wanadunda ambalo hamlioni pia kuwa ni upotezaji wa mapato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…