Haya ndio makadirio ya gharama (ukitumia rate za kiserikali) kusafirisha wasanii 40 Korea

Kwanza nieleweke , hapa natoa mfano wa Makisio ya jumla ya gharama endapo kama serikali au mtu binafsi ameamua kugaramia safari za wasanii 40 Kwa kutumia rates za kiserikali kuwasafirisha kwenda Korea wasanii 40 wa tasnia ya bongo movie Kwa ajili ya kwenda kujifunza mambo ya tasnia ya uigizaji kimataifa.

Angalizo wasanii ni watu wenye kipato kikubwa sana Sasa huenda walijigharamikia wao wenyewe, ama matajiri wanaosaport serikali waligharamikia safari hii Kwa ajili ya kuisaport tasnia ya filamu, japo ni ngumu Kwa wafanyabiashara matajiri kutoa Fedha pasipo wao kunufaika.

Ndege safari ya kwenda na kurudi Korea ni 4,000,000 x wasanii 40 = 160milioni

Hotel, ya kiwango Cha kawaida ni kama 2,00,000 za kitanzania Kwa wasanii 40 Kwa siku 10 ni kama ni 400*200,000 = 80 milioni

Posho Kwa wasanii 40 arubaini Kwa siku kumi itakuwa jumla ya 400 mil

Hivyo Kusafirisha wasanii hao katika kipindi hiko kama zitatuka gharama za seeikali itachukua jumla mil 80+160+400 = mil640, au kiufupi ni 0.64 Bilioni. Na kama ni serikali imegharamia hii inamaana Fedha hizi zilipitishwa katika finance bill ya Mwaka 23/24
Samahani mkuu eti sukari kilo Moja shilingi ngapi?
 
Hawana uwezo wa kujigharamia . Ukweli ni kwamba huku ndiko serikali ilikofikia. Kazi tunayo
 
Makadirio ya chini mno imeweka,

Mtu awe msafara wa Rais, alipwe 40,000 Kwa siku?

Anyway, umeeleweka.
 
Umewaona wasanii tu wanaokula mabaki nadala ya kupambana na hali yako unafuatilia waliojitafuta kwenye nafasi zao ,pigana uwekeze serikalini wenzako wamewekeza humo upate kama wachungaji na masheikh walivyowekeza kwenye miskiti na makanisa na hawalipi kodi ila wanadunda ambalo hamlioni pia kuwa ni upotezaji wa mapato
 
Back
Top Bottom