Haya ni maajabu!! Rais anashinda ndani kama utumbo?!!

Shetani mumiani mnyonya damu
 
afrika muslims ndiyo jamii pekee duniani ambayo inamuona mtu masikini ni kosa lake, pure evil ...
Ukiwa maskin hata kufikiri kwako kunakua kwa ovyo ..imagine mmekaa hapa mnamjadili Rais kwamba hatoki, kwamba kwanini Hadi, mnamuwazia mabaya tu kenge nyie
 
Ukiwa maskin hata kufikiri kwako kunakua kwa ovyo ..imagine mmekaa hapa mnamjadili Rais kwamba hatoki, kwamba kwanini Hadi, mnamuwazia mabaya tu kenge nyie

masikini wa tanzagiza hawezi kukaa hapa jf kumjadili huyo unayemuita raisi, hiyo pesa ya simu, internet au hata vpn atapata wapi? ndiyo maana nasema mko out touch na hamjui hali halisi ya watu mnaowatawala zaidi ya kuwaibia tu ...
 
Misingi ya taifa letu ni ipi!?linapokuja swala la madaraka!!?

Uhai wa mtu sio chochote kama itikadi yake na maoni yake yanatishia chama kushika dola!

Sisi uhai wa chama ni muhimu kuliko uhai wa mpiga kura!
My goodness. Kama Mwenyezi Mungu aishivyo, naumuomba akutendee kadri ya matendo yako. Mwenyezi Mungu akulipe kulingana na matendo yako. Amina
 
Samahani.Ni utumbo wa kuku,kitimoto au bata anayeharisha?Maana nilikuwa natafakari hapa shambani nikakwama mkuu.Utumbo!
 
Samahani.Ni utumbo wa kuku,kitimoto au bata anayeharisha?Maana nilikuwa natafakari hapa shambani nikakwama mkuu.Utumbo!
Uvivu wa kusoma na kufuatilia mambo kiundani. Kila kitu unachokisoma Google unadhani ni sahihi. Google kuna garbage nyingi, usizimeze zote.

Chukua kitu Og toka mtafiti Sexless
 
Huyo ajuza muuaji aendelee kujificha tu ila haitomsaidia chochote.

Kisasi kisipomfikia yeye kitawafikia vidampa wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…