Niko ndani ya mada,Jikite kwenye hoja iliyo mezani , nyuzi kuhusu Mbowe zimejaa tele hapa jf , kachangie huko
Hutaki tena hili la M/kiti wako kwamba anapashwa kulipa wandishi?kwamba viongozi wa Chadema hawakushiriki mazishi ya Wangwe
Mbowe na Msaidizi wake Mwita Waitara walipigwa mawe na Waganga wa Kienyeji wa Tarime 😂😂🔥kwamba viongozi wa Chadema hawakushiriki mazishi ya Wangwe
Nadhani uko njwii , unachanganya habari , soma tulikoanzia na niliyemquoteHutaki tena hili la M/kiti wako kwamba anapashwa kulipa wandishi?
Makubwa haya
Utakuwa umerogwa sio bule!Kuna nyuzi 20 zinakuja bakisha matusi usije ukaishiwa
Weka clipMbowe na Msaidizi wake Mwita Waitara walipigwa mawe na Waganga wa Kienyeji wa Tarime 😂😂🔥
Aliyekufa ni mmoja tu , mamluki wake wote bado wapoUtakuwa umerogwa sio bule!
Wewe! Ndo wa kuongelea waliokufa, upate faida ipi?
Na ndiyo maana sie tunakuona mjinga tu!
Ulinilipia?Nadhani uko njwii , unachanganya habari , soma tulikoanzia na niliyemquote
Okay! Ongeza juhudi tuone mwisho wakoAliyekufa ni mmoja tu , mamluki wake wote bado wapo
Udikiteta na mbowe ni sawa na wembe kunyoa naniliu!Mkt Mbowe kushauri wote wasiohiari kuchanja Chanjo ya korona wakamatwe Kwa nguvu na kufungwa Chanjo ya Coronavirus,
Huoni kwamba Mbowe alionyesha chembe za UDIKTETA?
Tangu lini Chanjo ikawa lazima?
Ya Mbowe akitoka mbio au Waitara kavuliwa nguo?Weka clip
Never and Never againOkay! Ongeza juhudi tuone mwisho wako
NaamYa Mbowe akitoka mbio au Waitara kavuliwa nguo?
JPM, he straightened all those who were foolish, who were used to eating without sweatingNever and Never again
ebu elezea vizuri kinagaubaga apo eti.....Wangwe alizikwa baada ya Party ya Africa Kusini 🐼
Bwashee tuache tu maana Mwenyekiti yuko Chini ya uangalizi wa DPPebu elezea vizuri kinagaubaga apo eti.....
Bado utaandika hadi lugha ya maruhaniJPM, he straightened all those who were foolish, who were used to eating without sweating
Wewe ndio maruhani?Bado utaandika hadi lugha ya maruhani
Wewe si ni CHADEMA au umehama tena CHADEMA?CCM au Chadema? 😂😂