Kipenda roho
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 488
- 939
Haya magoli anayonunua hela ni za mshahara wake?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya magoli anayonunua hela ni za mshahara wake?
Kuhusu yeye alikuwa wapi kipindi cha Jiwe hilo haina haja kupatiwa majibu
Vice president kwa katiba yetu ni kama sanamu tu. Hana authority ya aina yotote
Ungeweza kuuliza swali kwa akili zaidi. Swali lako ni upuuzi mtupu.Did he kill you?
Rais kasema pesa za pre bargain zimeibwa ziko China lakini wezi hawataji.
Tuongee mambo mengine lakini kusema kuwa marehemu Magufuli alipendwa sana, huo ni uwongo wa hali ya juu. Kama una uhakika unapendwa huwezi kuhangaika kuwaangamiza wanaokukosoa wala huwezi kuminya uhuru wa vyombo vya habari.Bado hamjachoka na propaganda za kumchafua marehemu?
Kila mkipima mnaona bado anapendwa hivyo kuongesa kasi ya uongo wenu.
Eti Rais wa ovyo na mwovu.
Kipindi cha Magu ndiyo sheria ziliheshimiwa kupita vipindi vyote! Siyo sheria za barabarani, sheria za kulipa kodi, sheria za kazi nk. Ndiyo kipindi nilishuhudia hata mahakimu wanahakikisha kesi zinaisha ndani ya muda waliowekewa! Polisi walikuwa na nidhamu! Ukiingia ofisi za umma unasikilizwa. Magu tutamkumbuka daima.
Akiongea dunia inasikiliza. Siyo Afrika tu, Ulaya na marekani, walifuatilia mwamba anaongea nini. Ni kutokana na umakini wake na kutokubali kuchezewa chezewa. Watanzania wengi walimpenda ndiyo maana alichaguliwavkwa wingi kwenye uchaguzi ukiacha hizo porojo zenu za wizi wa kura za akina Mdee!
Duh Mkapa huyu wa IPTL,Kagoda,meremeta, kiwira ,Rada n.k ur not serious weweTuongee mambo mengine lakini kusema kuwa marehemu Magufuli alipendwa sana, huo ni uwongo wa hali ya juu. Kama una uhakika unapendwa huwezi kuhangaika kuwaangamiza wanaokukosoa wala huwezi kuminya uhuru wa vyombo vya habari.
Kusema kuwa Magufuli alichaguliwa kwa kura nyingi, nao ni uwongo wa hali ya juu. Kama kweli alikuwa ana uhakika wa kuchaguliwa, asingevuruga uchaguzi. Licha ya vitisho, propaganda nyingi, bado yeye mwenyewe kuna maeneo alishuhudia kuwa watu wengi hata waliohudhuria mikutano yake ya kampeni, walikuwa hawamtaki. Kule Njombe mpaka alilazimika kupiga magoti baada ya watu kutotaka hata kuitikia salamu zake.
Magufuli kwenye demokrasia, kuheshimu uhuru na haki za raia, sera za uchumi, alikuwa zero. Score pekee aliyokuwa nayo, ambayo angepata over 80% ni uthubutu. Tatizo alikuwa na uthubutu mpaka kwenye mambo mengine ambayo hayakuwa sahihi.
Utawala wa Samia, ni kama ulivyokuwa wa Kikwete. Utawala wa Kikwete ulikosa uthubutu, ulikuwa na unafiki mwingi kwenye mambo mengi:
1) Alikuwa ni mtu wa kuuma na kupuliza. Alijifanya mwanademokrasia lakini wapinzani na baadhi ya waandishi wa habari walioandika ukweli, waliuawa, na hakuchukua hatua zozote za maana.
2) Uswahiba wa kifamilia ndani ya Serikali haukuwa tofauti sana na wa awamu ya 5.
3) Wizi, ulaji rushwa na ufisadi, ulivumiliwa sana, na hasa ulipofanywa na zile familia za karibu naye.
Tukitaka kuwa wakweli, tawala zilizoongoza kwa rushwa, ni utawala wa Ali Hassan Mwinyi na Kikwete.
Utawala ulioongoza kwa wizi, kwa hali inavyoenda itakuwa ni huu wa Samia na Magufuli. Utawala wa Magufuli wizi ulikuwa ni kwa wale aliowaruhusu yeye. Wewe kama hujaruhusiwa, ukaiba, utaona cha mtemakuni. Kwa hiyo ulikuwa ni wizi wa wateule wachache.
Utawala ambao ulikuwa na kiwango kidogo cha rushwa na wizi, ni utawala wa Nyerere na Mkapa.
Unaweza kututajua uovu wa J.P.M Aliokufanyia Hadi uko radhi kuongozwa na mtu dhaifu sana kwa kauli YakoKila mwenye akili timamu anajua kuwa Magufuli alikuwa Rais wa hovyo na mwovu. RAIS ambaye alikuwa anakiri hadharani kuwa pesa za serikali ni pesa zake. Alikuwa akisema "pesa zangu". Alikuwa na uhuru wa kuchota mihera ya serikali na kuigawa kwa siri na hadharani ili ajiimarishe kisiasa.
RAIS Samia ni Rais muadilifu haswa , tatizo ni kwamba amekuwa dhaifu kupitiliza.
Kitendo cha kuongea na waajiriwa wake wezi na kuwaambia wampishe nao kumgomea hiyo ni dhahiri kuwa Samia ni dhaifu dhaifu dhaifu. Alishindwa hata kuwataja majina au vyeo vyeo.
Na wasaidizi wake bila shaka hawajitambui au yawezekana nao wanakula pamoja na mafisadi. Walishindwa hata kuandika barua za kuwatengua ambao Samia alisema wampishe.
Power ya Samia ni ndogo sana yawezekana ni ndogo kuliko ya OCD wa wilaya ya Kaliua au Ubungo.
Ni kweli kwamba hata nje ya Tanzania, watu walikuwa wanafuatilia sana matamko yake, hasa watu wa makampuni yaliyowekeza Tanzania. Lakini nje ya Tanzania, wengi walikuwa wanamwona kama mtu ambaye hakuwa sawasawa. Kwa hiyo ufuatiliaji wa hotuba zake haukuwa kwenye positive side.Bado hamjachoka na propaganda za kumchafua marehemu?
Kila mkipima mnaona bado anapendwa hivyo kuongesa kasi ya uongo wenu.
Eti Rais wa ovyo na mwovu.
Kipindi cha Magu ndiyo sheria ziliheshimiwa kupita vipindi vyote! Siyo sheria za barabarani, sheria za kulipa kodi, sheria za kazi nk. Ndiyo kipindi nilishuhudia hata mahakimu wanahakikisha kesi zinaisha ndani ya muda waliowekewa! Polisi walikuwa na nidhamu! Ukiingia ofisi za umma unasikilizwa. Magu tutamkumbuka daima.
Akiongea dunia inasikiliza. Siyo Afrika tu, Ulaya na marekani, walifuatilia mwamba anaongea nini. Ni kutokana na umakini wake na kutokubali kuchezewa chezewa. Watanzania wengi walimpenda ndiyo maana alichaguliwavkwa wingi kwenye uchaguzi ukiacha hizo porojo zenu za wizi wa kura za akina Mdee!
Msiwe mnalishwa maneno ya mitaani bila kutafakari. Marekani ilipora mali gani ya Afrika. Hata leo hii Marekani inapora mali gani toka Afrika?Nitajie taifa ambalo limeendelea bila kuwa na Kiongozi mwovu!
Nchi nyingi za Ulaya pamoja na Marekani zimeendelea kupitia unyang'anyi wa mali za mataifa masikini hasa barani Afrika.
Hakuna taifa lililoendea kwa viongozi wake kucheka na kima!
Acha dharau aisee....Power ya Samia ni ndogo sana yawezekana ni ndogo kuliko ya OCD wa wilaya ya Kaliua au Ubungo
Kwa nini asingejiudhuluKuhusu yeye alikuwa wapi kipindi cha Jiwe hilo haina haja kupatiwa majibu
Vice president kwa katiba yetu ni kama sanamu tu. Hana authority ya aina yotote
1.5T ilipotea aliyeonyesha upotevu akatumbuliwa.Tulishawaomba ushahidi wa uovu wake, cha ajabu kinachoelezwa ni tetesi tu na uzushi.
Hebu tuambieni kwa ushahidi halisi (vivid evidence) kwamba alikuwa mwovu
Ushahidi wa mwenye udhaifu najua uko dhahiri hata watoto wadogo wanaweza kuuonesha
Toa ushahidi hata wa picha tuKila sekta.
But uovu wake mkuu ulijicjimbia kwenye uuaji
Hilo tu ndo maana nasema wengi wenu humu ni bendera fuata upepo izo hela Kuna sehemu imetajwa kuwa magufuli kachukua1.5T ilipotea aliyeonyesha upotevu akatumbuliwa.
Wewe ni ugomvi na chuki binafsi kwa Magufuli vinakusumbua.alikuwa anakiri hadharani kuwa pesa za serikali ni pesa zake. Alikuwa akisema "pesa zangu".
Kampuni ya IPTL ilianzishwa wakati wa Mkapa lakini wizi ulikuja kutendeka wakati wa awamu ya Kikwete. Halikadhalika Kagoda na Meremeta.Duh Mkapa huyu wa IPTL,Kagoda,meremeta, kiwira ,Rada n.k ur not serious wewe