Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwenye kupinga demokrasia hii tunayohubiri kwa ushahidi kinachotokea sasa kwenye siasa zetu


Kuna wanao amini kabisa kwamba Mungu ndiye ataleta demokrasia Tanzania. Wasio Taka demokrasia Mungu atawaita na kuongea nao. Baada ya uchaguzi kwa wale wote wanaopinga demokrasia na kunyanyasa na kuiba kura mtaitwa kwenda kubishana na Mungu. Hatuna muda hapa wa kubishana kuhusu wizi wa kura na kundamiza watu kwa matakwa binafsi na mafisadi.
 
Ili wajinga wajinga wajitathimini,si unaona wewe hapa,hujisikii raha kabisa maana jamaa kafa na bado anatajwa tajwa.
Anatajwa kwa maovu yake. Kwa kuwa yeye kwako ni shujaa wako mtaje kwa lolote linalokupa faraja mnyonge wewe πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Anatajwa kwa maovu yake. Kwa kuwa yeye kwako ni shujaa wako mtaje kwa lolote linalokupa faraja mnyonge wewe πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Nawewe mtaje kwa ovu lake lolote ukaendelee kuteseka ukiwa kwenu.
 
Nawewe mtaje kwa ovu lake lolote ukaendelee kuteseka ukiwa kwenu.
Kwani maovu yake mbona yako wazi kabisa,mimi sihitaji kuteseka ndiyo jitu ovu kama lile siwezi kuliita Shujaa au Hayati, lakini nyie mko na haki ya kuita jina lolote mtakalo na wala siyo kosa. Hope unajua kuwa duniani wajinga ni wengi sana kuliko werevu
 
Na hakuna mwerevu anayejitangaza,ukiomuona muwekee mabano.
 
Na hakuna mwerevu anayejitangaza,ukiomuona muwekee mabano.
Wapi umeona mwerevu kajitangaza? Ujinga ni mzigo sana,yawezekana umehisi kuwa mimi nimesema ni mwerevu. Ndiyo maana Jiwe alipata wafuasi kama wewe
 
Yaani katika kitu nakichukia ni wapinzani wa tanzania ambao lengo lao ni uroho wa madaraka kipindi Cha magufuli alipokua anaitengeneza nchi Kuna mijitu ya upinzani ikiongozwa na lissu ikawa inampinga yaani hata akifanya kitu kizuri Cha aina Gani inampinga mwisho wa siku akasema wasinitanie ngoja niwaoneshe mfano na kweli aliwakomesha wengine walipotea mazima wengine wamekua vilema sababu walikua sio wazalendo wakweli wanaponda maendeleo ya jiwe nilikubali sana uongozi wa magufuli ulikua hauna utani na mtu yeyote anaeleta masihara na serikali ikiwa unafanya mambo ya kimaendeleo kama sio kifo mtu kama magufuli angetakiwa atuongoze milele
 
Halafu akaishia wapi huyo Magufuli wako?. Akafa na kuwaacha wapinzani wakiendelea. Ni ujinga kutesa binadamu wenzako wakati na wewe ni binadamu, very stupid.
 
Wewe ndio umesema tuichague ACT Kwenye ule uzi wako mwingine?
 
Halafu akaishia wapi huyo Magufuli wako?. Akafa na kuwaacha wapinzani wakiendelea. Ni ujinga kutesa binadamu wenzako wakati na wewe ni binadamu, very stupid.
Wapinzani wanaoendelea akina mchungaji Msigwa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Naona unawachokonoa wasiompenda (i.e. waliokuwa na vyeti feki, wakwepa kodi, wazembe waliotumbuliwa, wezi na mafisadi) waje waporomoshe matusi 😳

Alishamaliza kazi yake. Ni sisi tuliobaki ndiyo tuna deni bado kwa nchi yetu kwa sasa na vizazi vijavyo. Apumzike kwa amani πŸ™πŸΏ

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…