Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwenye kupinga demokrasia hii tunayohubiri kwa ushahidi kinachotokea sasa kwenye siasa zetu

Watanzania tunaishukuru sana corona kwa kulifyekelea mbali lile jinamizi la chato vinginevyo nchi ingekuwa kuzimu kabisa hii. Ewe mwenyezi Mungu epushia mbali nchi isijepata jitu dhalim kama lile tena.
Kumbe watu wenye akili bado mpo
 
demokrasia inachelewesha sana maendeleo

na chama kikishajita chama cha demokrasia jua hakuna kitu hapo japo wanajipambanua kwa kumalizia na maendeleo lakini wanajua kabisa katika demokrasia mandeleo hakuna
Jiunge Ccm mkuu,unaonekana akili zako ziko level hiyo
 
So sababu ya kumtoa ilikuwa ipi? Unakumbuka swali aliloulizwa Assad? Kwamba nasikia kina pesa zimeibiwa😂😂😂😂
Neno "pesa zimeibiwa"sio kauli ya kisheria kabisa ni kauli yenye hisia na mikurupuko,iko nje ya weredi moja kwa moja.
Hata CAG wa sas akitoa kauli hii kwenye ripoti za serikali hii nitamshangaa.

kisheria unatakiwa utoe kauli zenye mwanya wa uchunguzi,lah sivyo ndio hayo ya mazezeta kubeba kauli kwamba magufuli aliiba trillion 2.4,unabaki unashangaa hawa hata 1 billion wanajua inakaaje mpaka wakubali mtu kaiba bilioni elfu 2400???
Wakati akijua kabisa siyo kazi yake kusema kama zimeibiwa au lah. Ndege tu hakutaka kukaguliwa.
hivyo vyote vimekaguliwa mzee,wacha uzushi.
Kifupi alikuwa hataki watu walionyooka ndiyo maana watu wake walikuwa watu kama Bashite,
bashite huyo hapo,ni mtu asiyetaka shombo kabisa,yaani mpaka wenzake wanamchukia sababu si muumini wa bra bra bra,ndip maana jamaa alimpenda.
Saambaya,Gumbo na yule ambaye mpaka alivua akili na kujiita kuwa katoka jalalani
Nyinyi jizimeni data,sisi tunasubiri matokeo,tutawapima kwa matokeo,endeleeni kugombana na maiti muda unasogea.
 
Habari wana-JF

Kama mnakumbukumbu vizuri wakati wa awamu ya Magufuli kipindi cha mwanzoni kulikuwa na uhuru mkubwa sana wa kuongea na hata vyama vya upinzani vikawa vinafanya shughuli za mikutano ya kisiasa unajua nini kilibadilika baadae?

Ni pale ambapo badala ya vyama vya upinzani vijikite kwenye hoja kushambulia awamu yake badala yake wakaanza kumtukana matusi mara wanamwita nyapara wa barabara n.k , walimzomea bungeni na kutoka nje wakati wa kuhutubia bunge, maneno yalikuwa mengi kwa upinzani kupinga uraisi wake.

Kupitia haya na mengine ndipo Magufuli kapiga marufuku mikutano ya kisiasa kwasababu badala ya watu wajikite kwenye hoja badala yake wanafanya personal attack na akaona kwa Tanzania wanaamini ili kuwe demokrasia ni pale tu kutakuwepo na uhuru wa kutukana na kudhalilishana ndio maana akaenda mbali zaidi.

Nikija kwenye huu uongozi wa Mama Samia ameona kuwa na uhuru wa kuongea na kuimairisha demokrasia ndio maana akaruhusu mikutano ya kisiasa, akawaachia wanasiasa wa upinzani walikuwa jela lengo ni kuifanya Tanzania wawe wamoja.Japo Mimi binafsi sio muumini wa hii awamu ila kwenye hili ni lakupongeza pamoja na kufanya hivi watu wanatumia uhuru huo vibaya ndio maana Magufuli aliona hili mapema.

Kwanini mnatukana huyu Mama kuna haja gani? Kwanini hatuwezi kuwasilisha hoja zetu bila matusi na udhalilishaji na kizuri ameshawaeleza kama kuna vitu hulizishwi navyo awamu yake ongea watavifanyia kazi, kama no kukosoa kosoa muhimu usivunje sheria na kuwe na mipaka kwa hivi mnavyomtukana nae akaamua kuchukua maamuzi ya awamu ya Magufuli kuhusu demokrasia mtasema amewaonea?
Umeandika upumbavu wa hali ya juu. Hakuna mtu mwenye mamlaka ya kumpa uhuru mtu mwingine. Uhuru ni haki anayozaliwa nayo kila binadamu. Uhuru wa wananchi hautoki kwa rais bali ni haki wanayozaliwa nayo. Ukiona kiongozi au mfuasi wake na hata mwananchi anasema kuwa ''rais ametupa uhuru......'' basi ujue ni mjinga na hajitambui!
 
Neno "pesa zimeibiwa"sio kauli ya kisheria kabisa ni kauli yenye hisia na mikurupuko,iko nje ya weredi moja kwa moja.
Hata CAG wa sas akitoa kauli hii kwenye ripoti za serikali hii nitamshangaa.

kisheria unatakiwa utoe kauli zenye mwanya wa uchunguzi,lah sivyo ndio hayo ya mazezeta kubeba kauli kwamba magufuli aliiba trillion 2.4,unabaki unashangaa hawa hata 1 billion wanajua inakaaje mpaka wakubali mtu kaiba bilioni elfu 2400???

hivyo vyote vimekaguliwa mzee,wacha uzushi.

bashite huyo hapo,ni mtu asiyetaka shombo kabisa,yaani mpaka wenzake wanamchukia sababu si muumini wa bra bra bra,ndip maana jamaa alimpenda.

Nyinyi jizimeni data,sisi tunasubiri matokeo,tutawapima kwa matokeo,endeleeni kugombana na maiti muda unasogea.
Umeruka ruka lakini hujaweka wazi,mfano 2.4 tr ziko wapi, kipi au kwa kwanini CAG alitolewa. Eti unaamini katika utendenji wa bashite sasa ni mtu wa aina gani
 
Habari wana-JF

Kama mnakumbukumbu vizuri wakati wa awamu ya Magufuli kipindi cha mwanzoni kulikuwa na uhuru mkubwa sana wa kuongea na hata vyama vya upinzani vikawa vinafanya shughuli za mikutano ya kisiasa unajua nini kilibadilika baadae?

Ni pale ambapo badala ya vyama vya upinzani vijikite kwenye hoja kushambulia awamu yake badala yake wakaanza kumtukana matusi mara wanamwita nyapara wa barabara n.k , walimzomea bungeni na kutoka nje wakati wa kuhutubia bunge, maneno yalikuwa mengi kwa upinzani kupinga uraisi wake.

Kupitia haya na mengine ndipo Magufuli kapiga marufuku mikutano ya kisiasa kwasababu badala ya watu wajikite kwenye hoja badala yake wanafanya personal attack na akaona kwa Tanzania wanaamini ili kuwe demokrasia ni pale tu kutakuwepo na uhuru wa kutukana na kudhalilishana ndio maana akaenda mbali zaidi.

Nikija kwenye huu uongozi wa Mama Samia ameona kuwa na uhuru wa kuongea na kuimairisha demokrasia ndio maana akaruhusu mikutano ya kisiasa, akawaachia wanasiasa wa upinzani walikuwa jela lengo ni kuifanya Tanzania wawe wamoja.Japo Mimi binafsi sio muumini wa hii awamu ila kwenye hili ni lakupongeza pamoja na kufanya hivi watu wanatumia uhuru huo vibaya ndio maana Magufuli aliona hili mapema.

Kwanini mnatukana huyu Mama kuna haja gani? Kwanini hatuwezi kuwasilisha hoja zetu bila matusi na udhalilishaji na kizuri ameshawaeleza kama kuna vitu hulizishwi navyo awamu yake ongea watavifanyia kazi, kama no kukosoa kosoa muhimu usivunje sheria na kuwe na mipaka kwa hivi mnavyomtukana nae akaamua kuchukua maamuzi ya awamu ya Magufuli kuhusu demokrasia mtasema amewaonea?
Matusi ndio hoja ya Wapinzani, sidhani kama mtu timamu anaweza wapigia kura hao mbumbumbu.

Mwisho wa siku itakuwa hivi 👇👇

View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1781287682099875970?t=lMjiDhD_rGQ2P69nAtISzg&s=19
 
Watanzania labda ashuke malaika ndio wataona mtu sahihi kwao ni wtu wa ajabu sn ukatili wa viongozi husababisha wao wnyew halafu huhitaji huruma pasina kunua wao ndio chanzo

Nchi hii imebahatika sana kiongozi msikivu sana tn mpole hofu yng namna yanoendelea sasa baada ya 2030 kujirejea ya awamu ilopita
Wanalazimisha Samia awe katili,unajua sababu gani? Watu wajinga Huwa hawawezi kushindana Kwa hoja Huwa wanategemea kupelekwa puta kama punda ndio maana unaona Bado walio wengi(wajinga) wanataka waendee kupekeshwa pita eti kwao ndio Kiongozi Bora sijui shujaa nk.

Ila ukiwaambia leta tufanye ulinganisho tuone hawawezi watakwambia kile ni chuma sijui kiboko na upunguani mwingine kama huo.

Sababu ya yote hayo ni ujinga, umaskini na kukosa ustaarabu.
 
Mimi sina shujaa na wala mwenyewe siyo shujaa. Mambo ya ushujaa yapo huko kwenu, nasikia Jiwe alikuwa Shujaa wenu 😀😀😀😀
Ni shujaa wako hata wewe unajaribu kujikaza tu maana unafiki umezaliwa nao.
 
Yaani jitu ovu kiasi kile wewe unaliita shujaa lako, anyway ni uamuzi wako ndiyo maana kuna wajinga wenzako wanamwita mzalendo wa kweli 🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu hisia zako hazina cha kufanya na ukweli huo,zaidi utaendele kuteseka na sonona tu😆😆
 
demokrasia inachelewesha sana maendeleo

na chama kikishajita chama cha demokrasia jua hakuna kitu hapo japo wanajipambanua kwa kumalizia na maendeleo lakini wanajua kabisa katika demokrasia mandeleo hakuna
Tuambie kipindi nchi ipo katika mfumo wa chama kimoja ilipiga hatua gani kubwa ya kimaendeleo ?
 
Habari wana-JF

Kama mnakumbukumbu vizuri wakati wa awamu ya Magufuli kipindi cha mwanzoni kulikuwa na uhuru mkubwa sana wa kuongea na hata vyama vya upinzani vikawa vinafanya shughuli za mikutano ya kisiasa unajua nini kilibadilika baadae?

Ni pale ambapo badala ya vyama vya upinzani vijikite kwenye hoja kushambulia awamu yake badala yake wakaanza kumtukana matusi mara wanamwita nyapara wa barabara n.k , walimzomea bungeni na kutoka nje wakati wa kuhutubia bunge, maneno yalikuwa mengi kwa upinzani kupinga uraisi wake.

Kupitia haya na mengine ndipo Magufuli kapiga marufuku mikutano ya kisiasa kwasababu badala ya watu wajikite kwenye hoja badala yake wanafanya personal attack na akaona kwa Tanzania wanaamini ili kuwe demokrasia ni pale tu kutakuwepo na uhuru wa kutukana na kudhalilishana ndio maana akaenda mbali zaidi.

Nikija kwenye huu uongozi wa Mama Samia ameona kuwa na uhuru wa kuongea na kuimairisha demokrasia ndio maana akaruhusu mikutano ya kisiasa, akawaachia wanasiasa wa upinzani walikuwa jela lengo ni kuifanya Tanzania wawe wamoja.Japo Mimi binafsi sio muumini wa hii awamu ila kwenye hili ni lakupongeza pamoja na kufanya hivi watu wanatumia uhuru huo vibaya ndio maana Magufuli aliona hili mapema.

Kwanini mnatukana huyu Mama kuna haja gani? Kwanini hatuwezi kuwasilisha hoja zetu bila matusi na udhalilishaji na kizuri ameshawaeleza kama kuna vitu hulizishwi navyo awamu yake ongea watavifanyia kazi, kama no kukosoa kosoa muhimu usivunje sheria na kuwe na mipaka kwa hivi mnavyomtukana nae akaamua kuchukua maamuzi ya awamu ya Magufuli kuhusu demokrasia mtasema amewaonea?
Acha ujinga,hapa, kwetu wanasiasa ni wezi, na ma fisadi, hawataki watu waongee na kukosoa ili waibe na mazambi Yao yasionekane, hii nadharia yako hebu jaribu kuwaambia wa Senegal uone kama watakuelewa, kuongea kwao ndio kumesababisha demokrasia ikashinda ikamtoa dikiteta madarakani,
Tofsuti na Afrika, ukiona china, au Russia inazuia watu wasiongee sana, sio kwa sababu viongozi wanataka waibe kimya kimya, ra hasha,wanaijenga nchi kwa manufaa ya wote! Wakosoaji na wengine! China na Russia ni super power, sasa, hv kila mradi wa, ujenzi kuanzia Afrika, India, mpaka, baadhi ya nchi, za ulaya, wanafanya, wa china, kampuni binafsi china, zinapewa msaada na serikali! Hapa, kwetu kampuni binafsi, na matsjiri wanatishiwa ili wachangie ccm! Hiyo ndio tofsuti
 
sifahamu wamesahau au weshindwa kujua wajibu wao katika kujenga nchi🐒

kiasi kwamba wanafanya kazi zao kwa kuendekeza malalamiko na mihemko zaidi, badala ya kukosoa serikali na kubainisha nia na mipango yao m⁶adhubuti, na bora zaidi ya ile inayotekelezwa na serikali katika sekta mbalimbali, ili kuwavitia zaidi wanainchi na kuwashawishi kuwachagua nyakati za uchaguzi 🐒

wanachokifanya ni kujididimiza zaidi na kuonyesha dhahiri shahiri kwamba upinzani Tz ni dhaifu sana, kibogoyo na kwakweli useless kabisa 🐒
Kwa wanao mtukana raise si mawaziri🤔
 
Demokrasia inatakiwa kwenye mataifa yaliyoendelea na yenye wasomi wengi. Kwa nini? Dunia ya tatu wengi hawana elimu, kwa kuwa wao ni wengi na wasomi ni wachache, wanamchagua mtu wao ambae hana elimu, matokeo yake elimu ndogo inaongoza elimu kubwa. Inatakiwa "udikteta " ili kuwachagulia mtu msomi na mwenye maono.
 
Back
Top Bottom