Hayati Magufuli anapotajwa kuwa Shujaa wa Afrika, maana yake nini?

moja ya kigezo cha mashujaa ni kuunganisha jamii. kampeni za magufuli zilitawaliwa na matamko ya ubaguzi. Alitamka wazi hatapeleka maendeleo kwenye majimbo ya chadema. una kingine?
Akizungumza juzi juzi kabla hajafa pale Mbezi Stendi ya Mikoani alisisitiza kwamba watu wa Mbezi walijitakia wenyewe kukwama kwa kuchagua mbunge wa Upinzani , kwake upinzani ulikuwa uadui , aliwakomoa mno watu waliochagua upinzani , unyama alioutenda kwa watu wa Kimara kwa kubomoa nyumba zao ni ushahidi wa roho mbaya aliyokuwa nayo
 
Anaheshimiwa nje ya mipaka yake barani Afrika na alithubutu yake wengi waliyoshindwa
Your browser is not able to display this video.
 
Ni mbwembwe tu kama mbwembwe zingine.Muumba kashafanya yake Imeisha hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…