Hayati Magufuli angekuwa bado ni Rais wawekezaji wangekuwa wameshakimbia wote

Huyu mleta uzi hana akili kabisa. Ukute hawa ndiyo wanamzunguka Dkt Samia kumshauri.
 
Jamaa kwenye uchumi alikuwa hamna kitu , alikuwa yupo vzuri kwenye ukiranja ( kusimamia) Ila sio kuongoza
Mjinga tu wewe wala hujui kitu. Wangekimbia wale wawekezaji wezi wanaotaka kuinyonya nchi bila sisi kufaidika. Sasa uwekezaji kama huu wa DPW au ule mkataba na Dubai karibu Samia atuingize ndio utasema ni uwekezaji mzuri?
 
Mapunguani mko wengi,deni la taifa kutoka 40trilion-70trilion alafu unamsifu???
 
Uongo
 
We Mjinga mjinga mbona umekimbia hapa.
 
Wawekezaji wanapenda mikataba mibovu ndomana wanakimbilia huku kwetu. Wanajua hawana cha kuwekeza, baada muda mfupi mnawanyang'anya, wanakimbilia mahakama ya usuluhishi, anazawadiwa mabilioni kama fidia!! Pesa ya kiurahisi kabisa, FYI wanaambizana, Nyie mmelala using ili, eti ooh wawekezaji. Tubadilishe sheria zetu na tujitoe huko ICSID ili wakija kuwekeza wawe na heshima
 
Huna akili ya kumzunguma Magufuli na si size yako. Jinga na tapeli wewe
 
Nani aje Ili aporwe pesa zake? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mpoli mpoli on the move
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…