Ninachojua Hayati Magufuli angekuwa bado ni Rais basi Tanzania ingekuwa imeendelea kwa Kasi na Maradufu kuliko sasa, Wapumbavu, Wanafiki na Wendawazimu wangepungua kama si Kuisha kabisa na Thamani ya Shilingi ya Tanzania ingepaa zaidi, Uchumi kukua vizuri, Wakulima kuneemeka na Maisha ya Watanzania wa chini yangeimarika, Ushirikina na Mauwaji ya Vikongwe na Maalbino visingekuwepo, Ujambazi ungeota mbawa na Huduma maeneo mbalimbali nchini zingeendelea kuwa vizuri huku Dawa Mahospitalini zingekuwepo na Heshima ya Wauguzi na Madaktari kwa Wagonjwa ingekuwa ya juu huku Rushwa ikiwa ni Historia Tanzania.
Ukiona GENTAMYCINE nampenda sana Mtu fulani jua nimemuona ana Akili na ukiona namchukia mno jua hana Akili.
Rest In Peace Jemedari wangu Hayati Magufuli. Utapuuzwa na Kusemwa hovyo ila WATETEZI wako tupo na tunakuenzi.
Imeisha hiyo Kudadadeki..........!!!