ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Jikite kwenye hoja,aliyeasisi uovu ni nani?Magufuli alichukiwa bure tu kwa maana alipingwa ndani ya chama na nje ya chama na kumfanyia kila aina ya vituko ili aonekane mbaya!
Sasa hayupo wanafiki hawa hawataki kuamini mambo hayaendi pamoja na kushangilia msiba wa JPM
Mleta uzi kasema kweli, kuwa huu utamaduni mbaya Magufuli ndio aliuasisi. Huyu ameamua kuufuata kwasababu ameona unafaa kutishia watu.Anayeongoza sasa na haya mambo yanaendelea huku akiwaita Watanzania ni Makhulutabu na kuwafananisha na Samaki ni Hayati Magufuli?
Acheni kutulazimisha tuanze Kuwadharau.
πππππππππππYule shetani bila kuvunwa mapema angeleta dhahama kubwa kwa nchi.
Mimi nasema sana. Mwinyi, kikwete na hivi sasa mama Samia angalau pumzi unakuwa unavuta. Kupitia MADRASA inamchango mkubwa ktk uongozi ktk jamii. Maana unakumbuka maisha baada ya kufa, vyenginevyo utaona maisha haya ya dunia ndio maisha bora. Vuruga twendeIpo siku utashindwa kubeba mimba ya mumeo na utamlaumu JPM
Na pia hao hao ndio wamemshuri kwamba unawafuga watakuumiza π€ͺπ€ͺMleta uzi kasema kweli, kuwa huu utamaduni mbaya Magufuli ndio aliuasisi. Huyu ameamua kuufuata kwasababu ameona unafaa kutishia watu.
Wewe una mawazo kama yangu na mara zote kwenye mada zangu Huwa nasema ningekuwa na uamzi wangu Waislamu tuu ndio wangekuwa wanatuongoza.Mimi nasema sana. Mwinyi, kikwete na hivi sasa mama Samia angalau pumzi unakuwa unavuta. Madrasa inamchango mkubwa ktk uongozi ktk jamii. Maana unakumbuka maisha baada ya kufa
Kuna watu watabisha na hili!Hawa usalama na Polisi ni magufuli ndiyo alianzisha haya mambo ambayo tusipokuwa makini yatatuletea machafuko TZ. Kuwa aminisha Polisi waweze kuiba kura, kuaminisha usalama kusiliza simu za watu ovyo ovyo bila amri ya mahalama, TRA na usalama kufunga account za watu za bank bila kibali cha mahakama, usalama kuweka uchawa na kuteka na kuuwa watu bila kuwa na uchunguzi β¦β¦.. Sasa tunaona matokeo yake. Hapa kuna ambao walikuwa wanaunga mkono kila kitu sasa ndiyo mnaona tuliyokuwa tunasema matatizo ya kuanzisha vitu vibaya vitaendelea hata kama haupo.
Huyu Mama anajaribu kuiga iga bila kujua yeye hana wasukuma na teknologia imebadilika sana. Nyakati hizi Watanzania huwezi kuwadanganya kirahisi na ndiyo maana wapinzani wanaeleweka maana uwazi umeongezeka sana. Video mpaka vijijini siku hizi. Huwezi kudanganya watu tena kwamba wapinzani ni mabeberu kama wakati ule au Tanzania hakuna Corona!
Magufuli alifanya mazuri lakini kwenye mfumo wa serikali na demokrasia kafanya vibaya kuliko mtu mwingine yeyote!
Yao mataahira achana nao maandamano Arusha na bomu kulipuka na watu kufa alikuwa JPM!Ulimboka alitekwa na Magufuli
Sokoine aligongwa na gari na Magufuli
Yule hafai kabisaMtu kama Lema anayetukana Watanzania wote kisa kaishi Canada, anawaita Watanzania wote wajinga, wapumbavu, ukimpa Madaraka unategemea nini? Upinzani utakuja ukiwa na kiongozi anayesimamia maslahi ya Taifa kwanza zaidi ya maslahi binafsi, ya kabila ya dini, ya ukanda.
Praising syndromeBlaming mentality
CCM na CHADEMA kaeni chini haya mambo yaishe.Hawa usalama na Polisi ni magufuli ndiyo alianzisha haya mambo ambayo tusipokuwa makini yatatuletea machafuko TZ. Kuwa aminisha Polisi waweze kuiba kura, kuaminisha usalama kusiliza simu za watu ovyo ovyo bila amri ya mahalama, TRA na usalama kufunga account za watu za bank bila kibali cha mahakama, usalama kuweka uchawa na kuteka na kuuwa watu bila kuwa na uchunguzi β¦β¦.. Sasa tunaona matokeo yake. Hapa kuna ambao walikuwa wanaunga mkono kila kitu sasa ndiyo mnaona tuliyokuwa tunasema matatizo ya kuanzisha vitu vibaya vitaendelea hata kama haupo.
Huyu Mama anajaribu kuiga iga bila kujua yeye hana wasukuma na teknologia imebadilika sana. Nyakati hizi Watanzania huwezi kuwadanganya kirahisi na ndiyo maana wapinzani wanaeleweka maana uwazi umeongezeka sana. Video mpaka vijijini siku hizi. Huwezi kudanganya watu tena kwamba wapinzani ni mabeberu kama wakati ule au Tanzania hakuna Corona!
Magufuli alifanya mazuri lakini kwenye mfumo wa serikali na demokrasia kafanya vibaya kuliko mtu mwingine yeyote!
Bila kubadili set up ya Usalama hayawezi kuisha ,yaliwnza Kwa JK yakawa accelerated awamu ya 5 na kukita Mizizi Sasa ni muendelezo tuu.CCM na CHADEMA kaeni chini haya mambo yaishe.
Na inawezekana kuwa ni mwanasiasa baina ya wale wanaojiita βwapinzaniβπKweli ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi! Member from 2006!
Hakuna chama hicho duniani kinaweza kufanya yote hayo. Palestina anapigana mwenyewe wakati Isreal kapewa silaha zote za dunia huku wao wanapambania ardhi na Allah atawapa ushindi na kuweka heshima ya nchi yao.Nyie Chadema hamna uwezo kulipigania Taifa. Labda kwa Wachaga na watoto wa mjini, hawuwezi kuungwa mkono na Watanzania wengi. Nyie ni wabaguzi wa kidini, kikabila kikanda, kimapato hamna uwezo wa kuwaunganisha Watanzania na Watanganyika vijijini, makabila, dini zote.
Sorry hujuwi unachokiandika.. poleeeeHawa usalama na Polisi ni magufuli ndiyo alianzisha haya mambo ambayo tusipokuwa makini yatatuletea machafuko TZ. Kuwa aminisha Polisi waweze kuiba kura, kuaminisha usalama kusiliza simu za watu ovyo ovyo bila amri ya mahalama, TRA na usalama kufunga account za watu za bank bila kibali cha mahakama, usalama kuweka uchawa na kuteka na kuuwa watu bila kuwa na uchunguzi β¦β¦.. Sasa tunaona matokeo yake. Hapa kuna ambao walikuwa wanaunga mkono kila kitu sasa ndiyo mnaona tuliyokuwa tunasema matatizo ya kuanzisha vitu vibaya vitaendelea hata kama haupo.