Hayati Magufuli kwanini ana pande zote za uongozi? Yaani ana upande mzuri sana na mbaya sana kuliko wenzake waliotangulia

Legacy ya Magufuli inaishi miyoni mwa Watanzania wengi kuna kikundi kidogo ambacho kilikuwa Hoi kisiasa 2015 ndo kikaona the only Flag bearer ambaye hana Chembe za Ujinga ni Chuma JPM na kweli wakampa bendera apeperushe, He did so Well pamoja na kwamba na Setbacks zake kama binadamu but he was the best ever country to have, Kujaribu kumchafua mwamba huyu kunaweza kuongeza Ugumu sana kwenye uchaguzi mkuu wa 2025 ndani kwa ndani mwa Chama Tawala,
His running mate pia Samia, she is doing well na tuzidi kumuombea mana kufanikiwa kwake ni taifa kwa ujumla tunafanikiwa sioni haja ya kuwa Wapima watu hawa wawili
 
Reactions: nao
Upumbavu unakusumbua kutumia ubongo wako vibaya.

Kuzuia mfumuko wa bei za bidhaa mbali mbali kwa zaidi ya miaka 6, si maendeleo ya Watu [emoji848]

Na kudhibiti umeme usikatikekatike hovyo ili viwanda vizalishe kadri viwezavyo si maendeleo ya Watu [emoji848][emoji34]
 
Ni lini hatukuwahi kujenga barabara na udikteta haukuwepo?
.
Ni awamu ipi iliojenga km nyingi zw barabara...?


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Very analytical. Nimekupenda bure!
 
Mawazo yako hayo
 
Ni lini hatukuwahi kujenga barabara na udikteta haukuwepo?
.
Ni awamu ipi iliojenga km nyingi zw barabara...?


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Logical non sequitur.

Kama tunakula mavi na kufa kijinga kwa kipindupindu, tuendelee kula mavi na kufa kijinga kwa kipindupindu kwa sababu hatujawahi kufanya vinginevyo?
 
hii ndo jamiiforum tulioanza nayo ya kujenga akili na uelewa wa watu
 
Jua taifa hili limesheheni wajinga wengi kuliko nchi nyingine katika ukanda huu. Magufuli alitumia nafasi hiyo kuwarubuni wajinga wengi wamuone mkombozi kumbe ni mwizi, fisadi katili na muuaji. Hatujawahi kuwa na rais mbovu kama Magufuli, nimeishi na marais wote tangu uhuru najua nisemalo
 
Umenifumbua macho nadhani alomsukumizia bi tozo ni msoga ndo maana bi tozo humwambii kitu juu ya msoga. Thank you very much
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…