Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Haya mambo ni ya kitaalam, siyo kila mtu (kama wewe) anayeweza kuyaelewa.
Halafu mtaalamu mwenyewe ni wewe! Nimecheka kwa nguvu vibaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mambo ni ya kitaalam, siyo kila mtu (kama wewe) anayeweza kuyaelewa.
Halafu mtaalamu mwenyewe ni wewe! Nimecheka kwa nguvu vibaya.
Una ushahidi au unatype tu..?Hivi kwa mauaji ya wakosoaji na kesi za kubambika anachafuliwa wapi?
Upumbavu unakusumbua kutumia ubongo wako vibaya.Ushamba mtupu! Falsafa ya nchi hii imejikita kwenye maendeleo ya watu, siyo ya vitu. Kwa sababu ya ulimbukeni wake alinyonga maendeleo ya watu na kuelekeza rasilmali zote kwenye ujenzi ili watu wenye upeo mdogo waione na kumtukuza. Ndiyo maana shule zetu zina upungufu wa waalimu kwa asimia 40! Na je, kwa upeo wako hii ndiyo miradi ya maana sana iliyopata kutekelezwa nchi hii tangu izaliwe? Watu walipigania uhuru ili kwanza wawe watu huru katika nchi yao. Makaburu wa Afrika Kusini walijenga miundombinu mingi na mizuri kuliko hiyo lakini bado walikataliwa.
Ni lini hatukuwahi kujenga barabara na udikteta haukuwepo?Mtandao wa filamu wa Netflix una program zake za kuzipandisha na kuzishusha filamu (ranking), kwa mujibu wa watu wanavyozipenda na kutozipenda filamu hizo.
Yani, unavyoipa filamu nyota tano, ndiyo inapanda daraja, unavyoipa nyota nne, inashuka n.k. Na mtandao unaweza kukupa mrejesho wa filamu gani usizozijua unaweza kuzipenda, kwa kuangalia watu walivyopenda filamu ulizopenda wamepemda filamu gani nyingine ambazo hujaziona.
Kuna filamu moja inaitwa "Napoleon Dynamite", ilileta mtafaruku sana. Kwa sababu, zile program zote za kupandisha na kushusha filamu zilishindwa kuiweka filamu hii katika upande wowote.
Mara nyingi program za "algorithm" za Netflix ziliweza kutabiri utapenda filamu gani, kwa kuangalia filamu nyingine ulizozipenda. Lakini, kwenye filamu ya "Napoleon Dynamite", algorithms zilishindwa kutabiri.
Kwa hivyo, inawezekana Magufuli naye alikuwa anaelekea kuwa rais wetu "Napoleon Dynamite" aliyevunja algorithms zetu.
The Netflix Prize and the Case of the Napoleon Dynamite Problem
Clive Thompson writes up the Netflix Prize — which offers $1 million to the first team to improve upon Netflix’s default reckottke.org
Kujibu swali lako, inawezekana Magufuli alikuwa anaonesha mambo ambayo wengi walikuwa wanataka, na mengine ambayo wengi hawataki.
Hili limefanya hata wengine wanaomkataa wawe na mengi waliyopenda kutoka kwake, na hata waliomkubali wawe na mengi wasiyoyapenda kutoka kwake.
Tofauti inakuwa vipaumbele tofauti kwa watu tofauti.
Kuna watu wanaona bora rais dikteta anayejenga barabara.
Wengine wanaona kujengewa barabara na rais dikteta ni kitu kibaya.
Hapo watu hawawezi kukubaliana.
Very analytical. Nimekupenda bure!Mtandao wa filamu wa Netflix una program zake za kuzipandisha na kuzishusha filamu (ranking), kwa mujibu wa watu wanavyozipenda na kutozipenda filamu hizo.
Yani, unavyoipa filamu nyota tano, ndiyo inapanda daraja, unavyoipa nyota nne, inashuka n.k. Na mtandao unaweza kukupa mrejesho wa filamu gani usizozijua unaweza kuzipenda, kwa kuangalia watu walivyopenda filamu ulizopenda wamepemda filamu gani nyingine ambazo hujaziona.
Kuna filamu moja inaitwa "Napoleon Dynamite", ilileta mtafaruku sana. Kwa sababu, zile program zote za kupandisha na kushusha filamu zilishindwa kuiweka filamu hii katika upande wowote.
Mara nyingi program za "algorithm" za Netflix ziliweza kutabiri utapenda filamu gani, kwa kuangalia filamu nyingine ulizozipenda. Lakini, kwenye filamu ya "Napoleon Dynamite", algorithms zilishindwa kutabiri.
Kwa hivyo, inawezekana Magufuli naye alikuwa anaelekea kuwa rais wetu "Napoleon Dynamite" aliyevunja algorithms zetu.
The Netflix Prize and the Case of the Napoleon Dynamite Problem
Clive Thompson writes up the Netflix Prize — which offers $1 million to the first team to improve upon Netflix’s default reckottke.org
Kujibu swali lako, inawezekana Magufuli alikuwa anaonesha mambo ambayo wengi walikuwa wanataka, na mengine ambayo wengi hawataki.
Hili limefanya hata wengine wanaomkataa wawe na mengi waliyopenda kutoka kwake, na hata waliomkubali wawe na mengi wasiyoyapenda kutoka kwake.
Tofauti inakuwa vipaumbele tofauti kwa watu tofauti.
Kuna watu wanaona bora rais dikteta anayejenga barabara.
Wengine wanaona kujengewa barabara na rais dikteta ni kitu kibaya.
Hapo watu hawawezi kukubaliana.
Mawazo yako hayoNinashangaa sana hili. JPM anaonekana kuwa Kiongozi mzuri sana kati ya viongozi walioitumikia Tanzania na wakati huo huo anaonekana ni Kiongozi mbaya sana kati ya wote waliopita - Hasa kwenye jambo la ukatili! Hili kwa kweli linanishangaza sana kwa sababu anatrend kuliko wote kwa pande zote hizo - ubaya na uzuri! Sijui wenzangu mnasemaje?
Mawazo mbadala yakoje Kiongozi?Mawazo yako hayo
Logical non sequitur.Ni lini hatukuwahi kujenga barabara na udikteta haukuwepo?
.
Ni awamu ipi iliojenga km nyingi zw barabara...?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
hii ndo jamiiforum tulioanza nayo ya kujenga akili na uelewa wa watuMtandao wa filamu wa Netflix una program zake za kuzipandisha na kuzishusha filamu (ranking), kwa mujibu wa watu wanavyozipenda na kutozipenda filamu hizo.
Yani, unavyoipa filamu nyota tano, ndiyo inapanda daraja, unavyoipa nyota nne, inashuka n.k. Na mtandao unaweza kukupa mrejesho wa filamu gani usizozijua unaweza kuzipenda, kwa kuangalia watu walivyopenda filamu ulizopenda wamepemda filamu gani nyingine ambazo hujaziona.
Kuna filamu moja inaitwa "Napoleon Dynamite", ilileta mtafaruku sana. Kwa sababu, zile program zote za kupandisha na kushusha filamu zilishindwa kuiweka filamu hii katika upande wowote.
Mara nyingi program za "algorithm" za Netflix ziliweza kutabiri utapenda filamu gani, kwa kuangalia filamu nyingine ulizozipenda. Lakini, kwenye filamu ya "Napoleon Dynamite", algorithms zilishindwa kutabiri.
Kwa hivyo, inawezekana Magufuli naye alikuwa anaelekea kuwa rais wetu "Napoleon Dynamite" aliyevunja algorithms zetu.
The Netflix Prize and the Case of the Napoleon Dynamite Problem
Clive Thompson writes up the Netflix Prize — which offers $1 million to the first team to improve upon Netflix’s default reckottke.org
Kujibu swali lako, inawezekana Magufuli alikuwa anaonesha mambo ambayo wengi walikuwa wanataka, na mengine ambayo wengi hawataki.
Hili limefanya hata wengine wanaomkataa wawe na mengi waliyopenda kutoka kwake, na hata waliomkubali wawe na mengi wasiyoyapenda kutoka kwake.
Tofauti inakuwa vipaumbele tofauti kwa watu tofauti.
Kuna watu wanaona bora rais dikteta anayejenga barabara.
Wengine wanaona kujengewa barabara na rais dikteta ni kitu kibaya.
Hapo watu hawawezi kukubaliana.
Good!hii ndo jamiiforum tulioanza nayo ya kujenga akili na uelewa wa watu
Jua taifa hili limesheheni wajinga wengi kuliko nchi nyingine katika ukanda huu. Magufuli alitumia nafasi hiyo kuwarubuni wajinga wengi wamuone mkombozi kumbe ni mwizi, fisadi katili na muuaji. Hatujawahi kuwa na rais mbovu kama Magufuli, nimeishi na marais wote tangu uhuru najua nisemaloNinashangaa sana hili. JPM anaonekana kuwa Kiongozi mzuri sana kati ya viongozi walioitumikia Tanzania na wakati huo huo anaonekana ni Kiongozi mbaya sana kati ya wote waliopita - Hasa kwenye jambo la ukatili!
Hili kwa kweli linanishangaza sana kwa sababu anatrend kuliko wote kwa pande zote hizo - ubaya na uzuri!
Sijui wenzangu mnasemaje?
Umenifumbua macho nadhani alomsukumizia bi tozo ni msoga ndo maana bi tozo humwambii kitu juu ya msoga. Thank you very muchNi Rais ambaye amekutana na changamoto nyingi. Sana. Mwaka 2015 anachaguliwa kugombea kwa kupeperusha bendera ya CCM anakutana na ushindani wa mpinzani maarufu sana aliye mpindua mkt taifa ccm agalau kwa dakika kadhaa kwa pambio maarufu la chama. Kama haitoshi mpinzani huyo alinunua chama kikuu cha upinzani ili agombee kupitia huko.
Fikiria unakabidhiwa kuongoza Taifa ambalo kwa uzembe wa mtangukizi wako lilifikia hatua hiyo. Uanzie hapo ili ulirudishe kwenye mstari. Na kama haitoshi unaye Naibu wako ambaye ulisukumiziwa halikuwa chaguo lako na ndiye ufanye naye kazi. Angalau PM wake alimkubali kwasababu anasema wako walioandaa na suti za kuavaa kwenye kuapishwa kuwa PM wakaambulia patupu Hii inamaana asingesimama imara na PM naye angempata wakusukumiziwa.