Lakini Mkapa hakujilimbikizia mali hovyo, sema tu alikua kazungukwa na wahuni na aliwaamini bila kuwajua vizuri......madhambi ya awamu ya 5 na 6 yanafanya hata Mkapa aonekane malaikaSiamini kama Mkapa alikuwa na nia ya dhati kufuta makosa yake akiwa madarakani.
Naamini yeye binafsi alikuwa na tamaa ya mali ndio maana akajikuta anatengeneza tatizo la ufisadi, akidhani ungeanzia na kuishia kwake, kumbe wenzake nao wakajifunzia kwake.
Kama Mkapa angekuwa serious, basi angeanza kufanyia kazi ushauri wa Nyerere alipokuwa qkipinga ubinafsishaji.
Nikisoma nukuu za Nyerere, akionesha kutilia shaka ubinafsishaji uliokuwa umiendelea kipindi cha Mkapa, alisema iko siku watabinafsisha mpaka magereza.
Na kwa fikra zangu, naamini ubinafsishaji ndio chimbuko la ufisadi kupitia 10% za kwenye mikataba ya hovyo walioingia serikali ya Mkapa.
Hebu aseme ukweli, kuwa alitishwa na ngome hiyo, ndipo akaamua afanye yanayomuhusu. Ubinafsi.
"Alikuwa kazungukwa na wahuni"; unadhani nini kilipelekea hilo? Alikosa umakini? Uwezo wa kiuongozi? Au?Lakini Mkapa hakujilimbikizia mali hovyo, sema tu alikua kazungukwa na wahuni na aliwaamini bila kuwajua vizuri......madhambi ya awamu ya 5 na 6 yanafanya hata Mkapa aonekane malaika
Hatarii sana.He had an ego, and didnt want to hear any second opinion. He was an elitist.
Nakumbuka Nyerere alisema mtabinafsisha mpaka magereza.
Unategemea nini kama mwenyekiti wa ubinafishaji alikuwa Sir Andy Chande?
Majanga matupu
According to Nyerere, maendeleo ya nchi yanahitaji vitu vinne muhimu - ardhi, watu, siasa safi na uongozi bora. Alifeli kwenye hayo mawili ya mwisho!Nkapa alikuwa mwanaharakati kama wengine
Makosa take yataigharimu nchii hii life time tusipo amka
Ndie aliweka msingi mkubwa was ufisadi
Huu tunao on a at this era no mwendelezo tu
Makampuni ya kuchimba dhahabu Geita Gold, na Buzwagi π³ππ³ !Hayati Benjamin Mkapa Katika kitabu chake "My Life, My Purpose" (2019) Ameeleza maeneo aliyofeli kama kiongozi
1. Kufeli Kukubwa Kuliko kote: Ubinafsishaji (Privatization) Anasema "Nilifanya Haraka Sana"
"Tuliamini soko huria litatatua kila kitu. Tuliuza viwanda 400 kwa bei ya hasara. Tuliwaamini wawekezaji wa nje kuliko Watanzania wenyewe"
Anataja:
- Kiwanda cha Viatu Bora, General Tyre, Nyanza Glass* - viliuzwa na kufungwa, wafanyakazi 80,000 walipoteza kazi
- Mabenki: NBC na CRDB ziliuzwa kwa bei ya chini sana. Anasema "Tuliuza bila kujua thamani yake"
- Akakiri Tulipaswa kubinafsisha taratibu na kuwa na masharti ya kuajiri Watanzania na kuhamisha teknolojia. Hatukufanya hivyo"
Hii ndio sababu mpaka leo watu wanamlaumu kwa umasikini wa viwanda.
2. Kufeli kuzuia Rushwa ameandika "Nilichelewa Kuipiga"
"Nilidhani nikijenga uchumi, rushwa itapungua yenyewe. Nilikosea. Rushwa ndio iliyokula uchumi wangu"
Anataja kesi 3 zinazomuumiza:
- Kashfa ya Radar (2001):*Kununua rada ya kijeshi ya Uingereza kwa $40M wakati bei yake halisi $12M. BAE Systems ilikiri Mahakama ya London 2010 ilitoa rushwa. Mkapa anasema "Wizara ya Ulinzi ilinidanganya kuhusu bei"
- Kashfa ya Buzwagi na Geita Gold Mine:Mikataba ya madini 1998-1999 aliipa kampuni za kigeni bila royalties za kutosha. Anasema "Tulikuwa tunaogopa wawekezaji watakimbia, tukawapa kila kitu"
- Kashfa ya Twin Towers na IPTL:*Anasema "Niliwaamini mawaziri wangu sana, baadaye nikagundua walikuwa na maslahi ndani"
Anasema alianzisha TAKUKURU na Mahakama ya Rushwa 2001, lakini ilikuwa "too little, too late"
3. Kufeli Siasa "Nilimbeza Mwinyi na Nyerere"*
Katika ukurasa 203 anasema:
"Nyerere aliniambia 1995 -'Usifanye haraka kumuua chama. Chama ndio nyumba'. Mimi nilitaka kuwa Rais wa kitaalam, sio wa chama. Nikaacha CCM iende yenyewe. Matokeo yake mafisadi wakajenga ngome ndani ya chama"
... atakuja KUSIKITIKA!Mkapa ni architect wa mambo mengi sana ya hovyo na alifanya akijua baadae atakuja kuomba msamaha na hii tabia tunayo watanzania wengi
Nini kilipaswa kufanyika kuondoa hilo tatizo?Viongozi wanaingia tu kuongoza kama ajira , ila una vitu wanajua kabisa hawawezi kufanya ili kuleta mabadiliko.
Nadhani alijaribu kurekebisha makosa yake kupitia magufuli,mwenyezi Mungu awalaze pema ben na maguNkapa alikuwa mwanaharakati kama wengine
Makosa take yataigharimu nchii hii life time tusipo amka
Ndie aliweka msingi mkubwa was ufisadi
Huu tunao on a at this era no mwendelezo tu
Nchi haiwezi kuongozwa na kikundi , kwa sababu kundi la kisiasa hawana mawazo huru instead wanapambania chama chao ..Ukiwaona CCM wanasifia kiongozi wao , ukiwaona CHADEMA wanavymtaja Lissu unaweza kusema huyo jamaa ni Mungu wao .Nini kilipaswa kufanyika kuondoa hilo tatizo?