dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 25,370
- 57,943
Rejea siasa na uongozi wa enzi za Mkapa! Kakiri mwenyewe aliwaamini wasaidizi wake (viongozi) bila kujua wanamzunguka; BIG FAILURE!Kivipi
Rejea siasa na uongozi wa enzi za Mkapa! Kakiri mwenyewe aliwaamini wasaidizi wake (viongozi) bila kujua wanamzunguka; BIG FAILURE!Kivipi
Kwa mawazo haya maana yake viongozi watoke sio dunia hii! Mbona kwingine duniani mambo yanaenda vizuri?Nchi haiwezi kuongozwa na kikundi , kwa sababu kundi la kisiasa hawana mawazo huru instead wanapambania chama chao ..Ukiwaona CCM wanasifia kiongozi wao , ukiwaona CHADEMA wanavymtaja Lissu unaweza kusema huyo jamaa ni Mungu wao .
Kiufupi , hakuna kiongozi huru anayetokana na vyama vya siasa .
kwingine wapi?Kwa mawazo haya maana yake viongozi watoke sio dunia hii! Mbona kwingine duniani mambo yanaenda vizuri?
Usanii mtupuKuna kitu muhimu mno hajakigusia mostly kwa makusudi - KATIBA BORA ambayo ingeruhusu demokrasia, uwazi na uwajibikaji wa kweli ( sio wa kinafiki).
Mojawapo ya matatizo ambayo yamekuwepo since Nyerere ni wachache kuhodhi madaraka, kutenda wapendavyo, kuharibu bila uwajibikaji kisha baadaye "kujisikitisha"! Inasaidia nini?
Bila KATIBA BORA itakayosimika mifumo bora ya kiuongozi haya MASIKITIKO ya viongozi katika ngazi mbalimbali yataendelea kuwepo baada ya kumaliza vipindi vyao.
KATIBA BORA iwepo ili iwapunguzie MASIKITIKO unfortunately ndio hivyo tena hawataki! Ridiculous!
Hata wewe huna unachosimamiaNchi haiwezi kuongozwa na kikundi , kwa sababu kundi la kisiasa hawana mawazo huru instead wanapambania chama chao ..Ukiwaona CCM wanasifia kiongozi wao , ukiwaona CHADEMA wanavymtaja Lissu unaweza kusema huyo jamaa ni Mungu wao .
Kiufupi , hakuna kiongozi huru anayetokana na vyama vya siasa .
Sema awamu ya Nne 🙄 ! Maana Kiongozi wake ndiye aliyekuwa waziri wa madini kipindi cha Mkapa 😳🙄 !Lakini Mkapa hakujilimbikizia mali hovyo, sema tu alikua kazungukwa na wahuni na aliwaamini bila kuwajua vizuri......madhambi ya awamu ya 5 na 6 yanafanya hata Mkapa aonekane malaika
Nchi yetu ingekua kama marekani na ulaya ukiondoa russia, wananchi siasa wamewaachia wanasiasa,huku wananchi wanasimama na chama,kwa mfano cdm lisu awaambie hata wale mavi watakulaNchi haiwezi kuongozwa na kikundi , kwa sababu kundi la kisiasa hawana mawazo huru instead wanapambania chama chao ..Ukiwaona CCM wanasifia kiongozi wao , ukiwaona CHADEMA wanavymtaja Lissu unaweza kusema huyo jamaa ni Mungu wao .
Kiufupi , hakuna kiongozi huru anayetokana na vyama vya siasa .
According to Nyerere, maendeleo ya nchi yanahitaji vitu vinne muhimu - ardhi, watu, siasa safi na uongozi bora. Alifeli kwenye hayo mawili ya mwisho!
Mkapa ni architect wa mambo mengi sana ya hovyo na alifanya akijua baadae atakuja kuomba msamaha na hii tabia tunayo watanzania wengi
Mbegu ilianza kupandwa wakati wa mkapaIla Ugisadi ulishamili kipindi cha Kikwete. Kuanzia 2010 wafanyakazi wa serikali walianza kuwa na Utajiri wa kutisha.
Mkuu naomba soft copy ya hicho kitabu. Ahsante.Hayati Benjamin Mkapa Katika kitabu chake "My Life, My Purpose" (2019) Ameeleza maeneo aliyofeli kama kiongozi
1. Kufeli Kukubwa Kuliko kote: Ubinafsishaji (Privatization) Anasema "Nilifanya Haraka Sana"
"Tuliamini soko huria litatatua kila kitu. Tuliuza viwanda 400 kwa bei ya hasara. Tuliwaamini wawekezaji wa nje kuliko Watanzania wenyewe"
Anataja:
- Kiwanda cha Viatu Bora, General Tyre, Nyanza Glass* - viliuzwa na kufungwa, wafanyakazi 80,000 walipoteza kazi
- Mabenki: NBC na CRDB ziliuzwa kwa bei ya chini sana. Anasema "Tuliuza bila kujua thamani yake"
- Akakiri Tulipaswa kubinafsisha taratibu na kuwa na masharti ya kuajiri Watanzania na kuhamisha teknolojia. Hatukufanya hivyo"
Hii ndio sababu mpaka leo watu wanamlaumu kwa umasikini wa viwanda.
2. Kufeli kuzuia Rushwa ameandika "Nilichelewa Kuipiga"
"Nilidhani nikijenga uchumi, rushwa itapungua yenyewe. Nilikosea. Rushwa ndio iliyokula uchumi wangu"
Anataja kesi 3 zinazomuumiza:
- Kashfa ya Radar (2001):*Kununua rada ya kijeshi ya Uingereza kwa $40M wakati bei yake halisi $12M. BAE Systems ilikiri Mahakama ya London 2010 ilitoa rushwa. Mkapa anasema "Wizara ya Ulinzi ilinidanganya kuhusu bei"
- Kashfa ya Buzwagi na Geita Gold Mine:Mikataba ya madini 1998-1999 aliipa kampuni za kigeni bila royalties za kutosha. Anasema "Tulikuwa tunaogopa wawekezaji watakimbia, tukawapa kila kitu"
- Kashfa ya Twin Towers na IPTL:*Anasema "Niliwaamini mawaziri wangu sana, baadaye nikagundua walikuwa na maslahi ndani"
Anasema alianzisha TAKUKURU na Mahakama ya Rushwa 2001, lakini ilikuwa "too little, too late"
3. Kufeli Siasa "Nilimbeza Mwinyi na Nyerere"*
Katika ukurasa 203 anasema:
"Nyerere aliniambia 1995 -'Usifanye haraka kumuua chama. Chama ndio nyumba'. Mimi nilitaka kuwa Rais wa kitaalam, sio wa chama. Nikaacha CCM iende yenyewe. Matokeo yake mafisadi wakajenga ngome ndani ya chama"
Sijui umetumia kigezo kipi kudhani Mkapa hakujilimbikizia mali, ikiwa ufisadi ulianzia awamu yake na wewe unakiri hivyo.Lakini Mkapa hakujilimbikizia mali hovyo, sema tu alikua kazungukwa na wahuni na aliwaamini bila kuwajua vizuri......madhambi ya awamu ya 5 na 6 yanafanya hata Mkapa aonekane malaika
😛😛Kila chama wanaamini Mwenyekiti wao hakosei , juzi tu CCM wamemtimua Nchimbi ukienda upinzani ni hivyo hivyo , wanamuona mwenyekiti kama Mungu ndiyo chanzo cha kuwepo kwa machawa kila kona .Nchi yetu ingekua kama marekani na ulaya ukiondoa russia, wananchi siasa wamewaachia wanasiasa,huku wananchi wanasimama na chama,kwa mfano cdm lisu awaambie hata wale mavi watakula