Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
😆🤣Ndiye, kanuna ndio anabembelezwa kwa kuposwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😆🤣Ndiye, kanuna ndio anabembelezwa kwa kuposwa.
Dada wa za ndaaaaaniiView attachment 3225842
Hatimaye!
Baada ya sarakasi nyingi, Msanii Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amekata shauri la kumuoa mpenzi wake ambaye ni msanii ndani ya lebo yake ya muziki (WCB) Zuhura Othman Soud ‘Zuchu’
Uamuzi huo umekuja huku kukiwa na sintofahamu nyingi juu ya mahusiano yao ambapo mwishoni mwa mwaka jana Zuchu alitangaza kwa mara nyingine kuachana kwao japo amekuwa akifanya hivyo mara nyingi na baadaye kurudiana.
Safari hii mambo yamekuwa tofauti kidogo baada ya majuzi kuibuka ugomvi ndani ya kampuni upande wa redio kwa Zuchu kuwashutumu wafanyakazi wa Diamond kumvunjia heshima.
Zuchu ameonekana ‘kukaza’, hajacheka na yeyote akiwemo Diamond mwenyewe na pengine hili limesogeza karibu ndoa yao.
Zuchu ameshinda vita iliyowashinda wengi?…
The mother in law from hell, Mama Diamond amekuwa mwiba mchungu takribani kwa kila mwanamke aliyetoka kimapenzi na Diamond.
Amesemekana kikwazo kikuu kwa Diamond kuoa, hivyo posa hii kwa Zuchu inatuacha njia panda kwamba Mama Dangote kapata kiboko yake? Je posa hii ina baraka za mama yake Diamond?
Ndoa ni kabla ya Ramadhani…
Mwezi uliopita Diamond akiwa na msanii mwenzie Nandy katika mkutano mkuu wa CCM, alionekana akisema atamuoa Zuchu kabla ya Ramadhani ya mwaka huu ambayo inategemewa kuanza mapema mwezi Machi.
Diamond amekuwa akitoa ahadi nyingi hivyo wengi hatukuchukulia tamko lile kwa uzito, nimeshtuka baada ya kupewa taarifa za uhakika kuwa ni kweli na posa hiyo itapelekwa nyumbani kwa Bi Khadija Kopa Ijumaa ya kesho kutwa tarehe 7.
Haya jamani, mambo ndio yako hivyo na hii ni habari endelevu nitakuwa hapa kuwajuza mapema kadiri nitakavyopokea taarifa.
Straight From The Horse’s Mouth,
Nifah.
Ndiye, kanuna ndio anabembelezwa kwa kuposwa.
Posa ni barua ya uchumba baby, na sio kwamba ni siku nzima unaweza kutumia hata nusu saa tu.Zuchu mahari katolewa saa ngapi, jana Daimond kashinda kwenye harusi ya Jux
Uko sahihi posa wanaweza kuja hata mtu mmoja kupeleka posa. Hata maji asinywe akaondoka.Posa ni barua ya uchumba baby, na sio kwamba ni siku nzima unaweza kutumia hata nusu saa tu.
Tulieni jamani, nimeshasema nitawapa updates hata kama imeshindikana nitawaambia tu.
cocochanel
Tulia usiwe na haraka 😄Imetokeaje?
Radhi ipo humo ndani ya neno "Tetesi"Kuwe na utaratibu wa kuomba radhi iwapo taarifa tulizoleta si sahihi.
Umbeya una matokeo mawili Uongo au ukweli. Haina haja ya kuomba radhi wakati unajua matokeo yake -ve au +ve.Kuwe na utaratibu wa kuomba radhi iwapo taarifa tulizoleta si sahihi.
Kichaka cha tetesi kinapaswa kufyekwa maana kimekua chanzo cha kupewa tarifa za uongo.Radhi ipo humo ndani ya neno "Tetesi"
Hakuna uongo katika habari niliyowaletea, chanzo changu ni mojawapo ya waliokuwa waende na Diamond kutoa posa.Umbeya una matokeo mawili Uongo au ukweli. Haina haja ya kuomba radhi wakati unajua matokeo yake -ve au +ve.
Tulimjibu huyo anayetaka kuombwa radhi. Mi najua taratibu za ndoa za kiislam vizuri sana.Hakuna uongo katika habari niliyowaletea, chanzo changu ni mojawapo ya waliokuwa waende na Diamond kutoa posa.
Kuna mengi yametokea, nyie subirini tu nitawajuza.
Hapa sio chumbani binti...Kwani umetozwa hela hadi uombwe radhi?
Jamani nikileta habari simlazimishi mtu kuamini, uamuzi huo ni juu yako.