Tupo karne ya 21.....hayo mambo unayosema yalifanyika huko before Crist...Wataalam wa mavazi wanatakiwa kutoa ushauri kwa maharusi wao sio kuwavalisha kwa kufuata mikumbo, shela nyeupe inavaliwa na mabikra sio vinginevyo, ni alama ya weupe wa moyo.... kadiri ya waanzilishi wa mavazi ya harusi, harusi ya bikra ndiyo inayopambwa na mapambo meupe kuanzia nguo zake, ukumbini, nyumbani, kitandani na njiani anakopita, wengine wote kuna rangi zao wataalamu wanajua.,..
Sana aisee....Mungu awatangulie katika safari yaoIla ukweli Nandy na Nenga wamevumilia vingi mnooo.
Haya nipo hapaaa semeleaa unataka ufahamu nn??Tena ilibak kidogo. Nikutag unipe za. Ndaani kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wataalam wa mavazi wanatakiwa kutoa ushauri kwa maharusi wao sio kuwavalisha kwa kufuata mikumbo, shela nyeupe inavaliwa na mabikra sio vinginevyo, ni alama ya weupe wa moyo.... kadiri ya waanzilishi wa mavazi ya harusi, harusi ya bikra ndiyo inayopambwa na mapambo meupe kuanzia nguo zake, ukumbini, nyumbani, kitandani na njiani anakopita, wengine wote kuna rangi zao wataalamu wanajua.,..
Kabisaaa mlongo, wadumu milele.Sana aisee....Mungu awatangulie katika safari yao
Kabisaaaa yaan.Hana Cha kusema ,acha waoane
Hawa wanapendana kwa dhati kabisaaa. Acha waoane.Kuanzia michupi ,jasiri mpk hapo walipofikia,wanastahiki kuoana..
Ndoa ya kwanza ya wasanii bongo kunivutia ni hii,naiona kabisa Haina drama Wala kiki au malipizi...
Nandy anampenda Willy kwa mapenzi kabisaa
Leo ni siku ya Jumamosi Faustina Mfinanga na William Lyimo (Nandy na Billnass) wanafunga ndoa yao katika kanisa la KKKT usharioa wa Mbezi beach.
Awali wawili hawa walivishana pete ya uchumba na leo wanakwenda kuwa mwili mmoja, tayari maharusi wameshawasili kanisani na shamra shamra zinaendelea katika kukamioisha shughuli nzima.
Tuwaombee wawili hawa ndoa yao ikawe heri na baraka kwao na kwa familia nzima watakayojaliwa.
Mami habari ya masiku jameniAll the best to them… love is a beautiful thing
Kelsea njoo uone huku...nawe siku ya siku utaoendeza kama hivi huku mzabzab nikinengua kwa furahaLeo ni siku ya Jumamosi Faustina Mfinanga na William Lyimo (Nandy na Billnass) wanafunga ndoa yao katika kanisa la KKKT usharioa wa Mbezi beach.
Awali wawili hawa walivishana pete ya uchumba na leo wanakwenda kuwa mwili mmoja, tayari maharusi wameshawasili kanisani na shamra shamra zinaendelea katika kukamioisha shughuli nzima.
Tuwaombee wawili hawa ndoa yao ikawe heri na baraka kwao na kwa familia nzima watakayojaliwa.
Kinacho mfanya mwanaume amfate mwanamke.Nauliza Nenga amefata nini kwa Nandy
Nataka confirm ni kwel kwamba nandela aliwai onwa anachkuaga njugu pale kairuki?.. mange alisemaga hili.. ni kwel??Haya nipo hapaaa semeleaa unataka ufahamu nn??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu jaman, Nandy hawezi fanya hivyo,Nataka confirm ni kwel kwamba nandela aliwai onwa anachkuaga njugu pale kairuki?.. mange alisemaga hili.. ni kwel??
Mami habari ya masiku jameni
Mzima mpnz..Nzuri dear…. Long time, mzima?
Unataka kuwa baba kijacho?Oya mwenye connection ya Jokate mie nataka kumuoa kabisa DC wetu.