Mjomba Malume
JF-Expert Member
- Apr 8, 2025
- 927
- 1,368
Nilishawahi kusikia kwamba Quran ilipokusanywa mara ya kwanza ilikuwa kitabu kikubwa kama nyumba then maswahaba wakapunguza baadhi ya vitu ndo ikawa kitabu kidogo.Kwanza kabisa Qur'an ni Kitabu kimoja , unaposema vitabu vya Qur'an ni makosa ya wazi kabisa labda useme aya za Qu'ran.
Mwisho kabisa hakuna ubaya juu ya kukusanywa kile kilichomo na kukipangilia vizuri ilimradi hakuna kilichotolewa Wala kubadilishwa sawa na kuweka Jalada katika Kitabu kama njia ya kuhakikisha usalama na kupendezesha hilo halibadilishi Contents
Zile sura inasemekana hazijapangwa kuwa eti sura ya kwanza kwenye msahafu ndiyo ya kwanza kwa hiyo inawezekana hiyo aya ni ya mwisho lakini ikawekwa katika sura ya tanoKoran 5:3 .......Leo nimekukamiliishieni Dini yenu, na nimekutimizieni neema yangu,.....
Surah ya tano kakamilisha Uislamu na Kuna surah zaidi ya 100 mbele ?
Ni ujinga wa Allah au ni waislamu wamebadili ?
Tofauti kubwa iliyopo kati ya Qur'an na Biblia ni kuwa Quran imehifadhiwa kwa njia za wahyi yaani muongozo kutoka Kwa Allah aliyeiteremsha.Shalom, Salam alaikum.
Baada ya kusoma Biblia kuanzia Genesis Hadi Revelation nikaamua kuanza kusoma pia Quran (Mwaka huu).
Ila Huwa napenda kufahamu chanzo, uandishi Hadi uwasilishaji wa kitabu kabla ya kuanza kukisoma kitabu hicho (Napima uzito).
Na Hiki ndicho nilichogundua kwa upande wa chanzo cha Quran.
Vitabu vya Quran vilivyokuwa vimeandikwa kabla ya kifo cha Mtume Muhammad vilikusanywa na kuunganishwa kuwa kitabu kimoja baada ya kifo chake. Mchakato huu ulifanywa hasa na makhalifa wawili wa mwanzo, Abu Bakr na Uthman ibn Affan. Hapa kuna muhtasari wa hatua muhimu katika uunganishaji wa Quran:
1. Wakati wa Uhai wa Mtume Muhammad: Wakati Mtume Muhammad alikuwa hai, wahyi wa Quran ulipokelewa na kuandikwa na wafuasi wake kwenye nyenzo mbalimbali kama vile ngozi, mifupa, na majani. Wengi walikuwa pia wameuhifadhi katika akili zao.
2. Mchakato wa Abu Bakr: Baada ya kifo cha Mtume Muhammad mwaka 632 CE, baadhi ya wafuasi ambao walikuwa wamehifadhi Quran kwa kuikumbuka waliuawa katika mapigano. Khalifa wa kwanza, Abu Bakr, alihofia kwamba wahyi huo ungepotea, hivyo akaamuru uandikaji wa Quran kuwa kitabu kimoja. Zayd ibn Thabit, mmoja wa wahitimu wa Mtume, aliteuliwa kukusanya na kuandika vipande vya Quran kutoka kwa vyanzo mbalimbali.
3. Uthman na Usawazishaji: Baadaye, chini ya utawala wa Khalifa Uthman ibn Affan (644-656 CE), aliona kwamba katika maeneo mbalimbali kulikuwa na tofauti za usomaji na maandiko. Ili kuleta usawa, Uthman aliamuru kutengenezwa nakala rasmi ya Quran na kupeleka nakala hizo katika maeneo tofauti. Nakala nyingine zilisitishwa ili kuepuka tofauti.
Mchakato huu wa uunganishaji na usawazishaji ulihakikisha kwamba Quran iliifadhiwa katika fomu moja na inayoaminika hadi leo, kulingana na imani ya Kiislamu.
Rudia kusoma.Kwanza kabisa Qur'an ni Kitabu kimoja , unaposema vitabu vya Qur'an ni makosa ya wazi kabisa labda useme aya za Qu'ran.
Mwisho kabisa hakuna ubaya juu ya kukusanywa kile kilichomo na kukipangilia vizuri ilimradi hakuna kilichotolewa Wala kubadilishwa sawa na kuweka Jalada katika Kitabu kama njia ya kuhakikisha usalama na kupendezesha hilo halibadilishi Contents
Kuyapanga maandiko katika vitabu, surat na aya ndio kuedit kwenyewe huko sheikhKichwa cha habari hakiendani na ulicho andika, Quran haijawahi kua edited rather published, kipi unachotaka kumaanisha.?
Iliandikwa tena au iliteremshwa?Shalom, Salam alaikum.
Baada ya kusoma Biblia kuanzia Genesis Hadi Revelation nikaamua kuanza kusoma pia Quran (Mwaka huu).
Ila Huwa napenda kufahamu chanzo, uandishi Hadi uwasilishaji wa kitabu kabla ya kuanza kukisoma kitabu hicho (Napima uzito).
Na Hiki ndicho nilichogundua kwa upande wa chanzo cha Quran.
Vitabu vya Quran vilivyokuwa vimeandikwa kabla ya kifo cha Mtume Muhammad vilikusanywa na kuunganishwa kuwa kitabu kimoja baada ya kifo chake. Mchakato huu ulifanywa hasa na makhalifa wawili wa mwanzo, Abu Bakr na Uthman ibn Affan. Hapa kuna muhtasari wa hatua muhimu katika uunganishaji wa Quran:
1. Wakati wa Uhai wa Mtume Muhammad: Wakati Mtume Muhammad alikuwa hai, wahyi wa Quran ulipokelewa na kuandikwa na wafuasi wake kwenye nyenzo mbalimbali kama vile ngozi, mifupa, na majani. Wengi walikuwa pia wameuhifadhi katika akili zao.
2. Mchakato wa Abu Bakr: Baada ya kifo cha Mtume Muhammad mwaka 632 CE, baadhi ya wafuasi ambao walikuwa wamehifadhi Quran kwa kuikumbuka waliuawa katika mapigano. Khalifa wa kwanza, Abu Bakr, alihofia kwamba wahyi huo ungepotea, hivyo akaamuru uandikaji wa Quran kuwa kitabu kimoja. Zayd ibn Thabit, mmoja wa wahitimu wa Mtume, aliteuliwa kukusanya na kuandika vipande vya Quran kutoka kwa vyanzo mbalimbali.
3. Uthman na Usawazishaji: Baadaye, chini ya utawala wa Khalifa Uthman ibn Affan (644-656 CE), aliona kwamba katika maeneo mbalimbali kulikuwa na tofauti za usomaji na maandiko. Ili kuleta usawa, Uthman aliamuru kutengenezwa nakala rasmi ya Quran na kupeleka nakala hizo katika maeneo tofauti. Nakala nyingine zilisitishwa ili kuepuka tofauti.
Mchakato huu wa uunganishaji na usawazishaji ulihakikisha kwamba Quran iliifadhiwa katika fomu moja na inayoaminika hadi leo, kulingana na imani ya Kiislamu.
Rudia kusoma.Tofauti kubwa iliyopo kati ya Qur'an na Biblia ni kuwa Quran imehifadhiwa kwa njia za wahyi yaani muongozo kutoka Kwa Allah aliyeiteremsha.
Kabla ya kufa kwa Mtume Saw malaika Jibril alikuwa anashuka na kumsikiliza mtume anavyoisoma kwa usahihi na mpangilio wake maka akaridhika kuwa hakukuwa na tofauti.
Kazi hiyo ilifanywa mbele ya makhalifa hao uliowataja na ambao nao waliihifadhi pamoja na wenzao.Kazi waliyoifanya kuikushanya pamoja pia nayo ilikuwa ni ya kiwahyi ndio maana waliifanya na kujiridhisha kabla ya kufariki kwao wakiwa wameacha nakala ambazo ndizo hizi tulizonazo leo.
Kwa upande wa biblia utamalizia mwenyewe kwa kuwaangalia waliotia mikono yao wenyewe tu bila kizuizi.
Achana na kitabu chetu shekhe.Hakuna kuteremshwa shekhe ushahidi unasema iliandikwa na baadae ku-edit-wa na Uthman,
mwisho kabisa Yale Machapisho waliyoona Yana maswali mengi yalichomwa moto.🤔🤔🤔
Ndio sijapinga kwani Qur'an ilishuka katika Lahaja mbalimbali za kiarabu kipindi hiko ili kurahisisha usomaji , ilichofaywa ni kisawazisha yaani kuwekwa katika Lahaja Moja ambayo ndio standard na nyinginezo kuchomwa moto ili kuondoa tofauti katika usomaji. Na hiyo Lahaja iliyowekwa ambayo standard hakuzua yeye ilikuwa ni miongoni mwa Lahaja amabazo zilikuja katika Qu'ran kwa hiyo hapo hakuna ubaya wala makosa .Rudia kusoma.
Uthman na Usawazishaji: Baadaye, chini ya utawala wa Khalifa Uthman ibn Affan (644-656 CE), aliona kwamba katika maeneo mbalimbali kulikuwa na tofauti za usomaji na maandiko. Ili kuleta usawa, Uthman aliamuru kutengenezwa nakala rasmi ya Quran na kupeleka nakala hizo katika maeneo tofauti. Nakala nyingine zilisitishwa ili kuepuka tofauti.
Chai , Maswahaba (Allaah awaridhie ) hawawezi kufanya kitu kama hiko kama Kuna ushahidi uletwe .Nilishawahi kusikia kwamba Quran ilipokusanywa mara ya kwanza ilikuwa kitabu kikubwa kama nyumba then maswahaba wakapunguza baadhi ya vitu ndo ikawa kitabu kidogo.
Je,ni kweli?
Mbona hakuonyesha sura ipi alipanga Othman (RA)huwezi kupanga kitu ambacho kilishapangwa huyu anakosa maarifa sahihi kuhusu hilo suala.Kuyapanga maandiko katika vitabu, surat na aya ndio kuedit kwenyewe huko sheikh
Mpangilio wa sura na Aya katika Qu'ran (Msahafu) haujapangwa katika order ya jinsi zilivyoshuka na hakuna ulazima wa kuwa hivyo na Wala hakuna ubaya wa kuwa hivyo.Koran 5:3 .......Leo nimekukamiliishieni Dini yenu, na nimekutimizieni neema yangu,.....
Surah ya tano kakamilisha Uislamu na Kuna surah zaidi ya 100 mbele ?
Ni ujinga wa Allah au ni waislamu wamebadili ?
Kwamba Quran iliposhushwa ilikuwa na lahaja mbali mbali ila akatokea raia mmoja mwenye nguvu kuliko Allah (mleta lahaja mbalimbali) na Muhammad (saw) msimuliaji akaamua itengenezwe Quran yenye lugha na lahaja Moja.?🤔🤔🤔Ndio sijapinga kwani Qur'an ilishuka katika Lahaja mbalimbali za kiarabu kipindi hiko ili kurahisisha usomaji , ilichofaywa ni kisawazisha yaani kuwekwa katika Lahaja Moja ambayo ndio standard na nyinginezo kuchomwa moto ili kuondoa tofauti katika usomaji. Na hiyo Lahaja iliyowekwa ambayo standard hakuzua yeye ilikuwa ni miongoni mwa Lahaja amabazo zilikuja katika Qu'ran kwa hiyo hapo hakuna ubaya wala makosa .
Watu wa maeneo tofauti wakapewa Amri kuwa wasome Qur'an wote katika Lahaja Moja na sio nyingine au kila mtu ajitungie ya kwake , hata bongo lafudhi za kiswahili lakini hayo yanaishia katika mazungumzo yenu ya kawaida na Kiswahili Cha kufundishia darasani ni kimoja Standard kilichonyooka .
Hata kiswahili Mkenya Moja anaita "Moya" na Mtanzania anaita Moja hivyo kimaana inakuwa sawa hakuna tofauti
Na zilivyopangiliwa sura kwenye Quran na Allah naye alizipanga hivyo?Chai , Maswahaba (Allaah awaridhie ) hawawezi kufanya kitu kama hiko kama Kuna ushahidi uletwe .
Na kipindi hiko walikuwepo wengi walikuwa wamehifadhi na kuijua sasa watu wangebadilisha lazima kungetokea mzozo na utata.
Yaani Allah apangilie vingine halafu atokee binadamu apangue halafu aseme "hakuna ulazima wa kuwa hivyo na Wala hakuna ubaya"Mpangilio wa sura na Aya katika Qu'ran (Msahafu) haujapangwa katika order ya jinsi zilivyoshuka na hakuna ulazima wa kuwa hivyo na Wala hakuna ubaya wa kuwa hivyo.
UmemalizaKwa mujibu wa imani ya Kiislamu ya jadi, hakuna Aya wala Surah tukufu zilizoondolewa kwenye Qur’an wakati wa usawazishaji wa Khalifa Uthman. Kilichofanywa na Uthman hakikuwa kuondoa sehemu za Qur’an, bali ilikuwa ni kuondoa tofauti katika namna ya kusoma na kuandika, ili kuhakikisha umoja wa Waislamu.
Hapa ni ufafanuzi wa kile kilichofanywa:
Kilichofanywa na Khalifa Uthman:
1. Usawazishaji wa lahaja (qira’at):
Qur’an ilikuwa inasomwa kwa lahaja tofauti tofauti (sababu ya kuruhusiwa kwa "Ahruf Saba’a" – njia saba za kisomaji zilizoruhusiwa na Mtume Muhammad). Uthman alichagua lahaja ya Kikuraishi (lahaja ya Mtume) kama ya msingi, na kuandika Qur’an kulingana na hiyo.
Kwa hiyo nani aliwapa mamlaka waislamu wabadili mpangilio wa AllahMpangilio wa sura na Aya katika Qu'ran (Msahafu) haujapangwa katika order ya jinsi zilivyoshuka na hakuna ulazima wa kuwa hivyo na Wala hakuna ubaya wa kuwa hivyo.
Ukiwa mjinga na kujitoa ufahamu kiasi hiki itabidi nikupuuze tu like your fellow Pathetic Scumbags.Koran imepangwa tofauti na Muhammad alivyoipanga
Mfano
Koran 5:3 .......Leo nimekukamiliishieni Dini yenu, na nimekutimizieni neema yangu,.....
Surah ya tano kakamilisha Uislamu na Kuna surah zaidi ya 100 mbele ?
Ni ujinga wa Allah au ni waislamu wamebadili ?
Ndio , mpangilio kuwa Aya fulani ikae katika sura Fulani na ipi ikae wapi ni ufunuo kutoka kwa Allah kupitia Malaika Jibril finally kwa Mtume Muhammad (ﷺ) na hakuna aliyepanga kwa matashi yake.Na zilivyopangiliwa sura kwenye Quran na Allah naye alizipanga hivyo?