Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
Be careful na sasa usije patwa na yaliyompata baba paroko Slaa đŸ˜‚Ndio kwanza yuko second year now
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Be careful na sasa usije patwa na yaliyompata baba paroko Slaa đŸ˜‚Ndio kwanza yuko second year now
Natumai umekipata kutoka kwa Mkuu Ambivert88Mzee
Mkuu samahan naomba unidhamini nipate japo soft copy ya hicho kitabu
Umetisha sana Mkuu...Natumai umekipata kutoka kwa Mkuu Ambivert88
Kama kikubwa sana kupakua,jaribu hiki....
Kindly elaborate..Sometime in the past JK was a seasoned diplomat.
Nyerere alikuwa na succession planning nzuri ya kutengeneza viongozi; hiyo speech unaona ilitengenezwa na diplomats.
Underlying message ukimya sio woga kwa lugha ya ustaarabu.
Sijui JK huyu alipatwa na maruhani gani yasiyo ridhika na utajiri, kuachia power hadi kuwa mtu wa hovyo kama anavyoonekana leo.
Wazungu wanasema ‘learn, when to quit’, huyu jamaa hilo somo akulipata.
Kwa sasa JK ni mtu wa hovyo mno kwa siasa za Tanzania, only due to psychological issues of being in power.
Mkuu si usikulize hiyo clip, uone diplomatic language aliyotumia. Unataka tena mimi nielezee nini.Kindly elaborate..