Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
CV ya Profesa haihitaji kuelezewa sana.
Huyu ni mtu, msomi wa mwanzoni kabisa wa nchi yetu, cream of the cream.
Mtu aliyehudumia nchi yetu na wananchi, kwa moyo, vipaji na kwa nyadhifa kubwa kubwa.
Mtu ambaye ni muasisi wa Kitengo cha MoI. Leo ukisikia maelfu ya vijana wanaopata ajali za bodaboda wakapelekwa MOI , tujue tu kuwa hiyo Taasisi ni brainchild ya Profesa Sarungi.
Mtu aliyehadhiri nchi hii na kusaidia kutengeneza mamia ya wataalamu wa tiba nchini
Mtu ambaye ameshakuwa na dhamana ya majeshi yetu kama waziri wa Ulinzi. Huyu bila shaka kwa nafasi hiyo amehudumu kwa uzalendo mkubwa, na hata leo rais anapojihisi ufahari wa kuwa na majeshi yanayomtii ajue tu amevikuta vinaelea lakini vimeundwa. Na Sarungi kachangia
Mtu ambaye amekuwa mwanachama mwaminifu wa CCM na serikali yake eti Leo anasusiwa Msiba na CCM na Mwenyekiti wake!
Kwa kweli hii imeniogopesha, kumbe kuna watu wakigombana na Mtoto wanachukia hadi wazazi!
Hatari sana hii!