Hebu tuache utani, hivi inawezekanaje CCM na Serikali wakaupotezea msiba wa mtu muhimu sana kwa Taifa kama Profesa Sarungi?

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
15,101
Reaction score
56,054
CV ya Profesa haihitaji kuelezewa sana.
Huyu ni mtu, msomi wa mwanzoni kabisa wa nchi yetu, cream of the cream.
Mtu aliyehudumia nchi yetu na wananchi, kwa moyo, vipaji na kwa nyadhifa kubwa kubwa.

Mtu ambaye ni muasisi wa Kitengo cha MoI. Leo ukisikia maelfu ya vijana wanaopata ajali za bodaboda wakapelekwa MOI , tujue tu kuwa hiyo Taasisi ni brainchild ya Profesa Sarungi.

Mtu aliyehadhiri nchi hii na kusaidia kutengeneza mamia ya wataalamu wa tiba nchini

Mtu ambaye ameshakuwa na dhamana ya majeshi yetu kama waziri wa Ulinzi. Huyu bila shaka kwa nafasi hiyo amehudumu kwa uzalendo mkubwa, na hata leo rais anapojihisi ufahari wa kuwa na majeshi yanayomtii ajue tu amevikuta vinaelea lakini vimeundwa. Na Sarungi kachangia

Mtu ambaye amekuwa mwanachama mwaminifu wa CCM na serikali yake eti Leo anasusiwa Msiba na CCM na Mwenyekiti wake!

Kwa kweli hii imeniogopesha, kumbe kuna watu wakigombana na Mtoto wanachukia hadi wazazi!

Hatari sana hii!
 
CCM ni kama wachawi wana visasi vya nyoka
 
..kwenye msiba wa Mh. Lowassa, ccm waandaji wa historia ya marehemu wamekataa kuandika Lowassa alihama ccm na kugombea urais kupitia chadema, unaona ni watu wenye fikara njema hawa? na ajabu kwenye kauli mbiu yao ya uchaguzi 2025 wanasema UTU utu gani wanaouongelea?? Mtu km Profesa Sarungi unasusiaje msiba wewe ni kiongozi kwa sabb za kutokuelewana na mtoto wake..huwa hatuendi msibani kwa sababu ya mume, mke, watoto..baba au mama, tunahufhuria msiba kwa heshima ya marehemu, matendo yake na si matemdo ya mtoto au mke! chama hiki kimeoza halafu wanasema utu..utu upi wanabeba vinyongo wakati wao ni viongozi!
 
Siyo Maria tu wale walioko Marekani je? Sasa km familia yake imempuuzia we unakuja kulalamika hapa km nani? Fanya mambo yako bwanandogo. Ila Maria ni mtoto wa hovyo
..unahudhuria msiba sababu mtoto amekuja..au unahudhuria msiba kwa heshima ya marehemu..!
 
CV ya Profesa haihitaji kuelezewa sana.
Huyu ni mtu, msomi wa mwanzoni kabisa wa nchi yetu, cream of the cream.
Mtu aliyehudumia nchi yetu na wananchi, kwa moyo, vipaji na kwa nyadhifa kubwa kubwa.

Mtu ambaye ni muasisi wa Kitengo cha MoI. Leo ukisikia maelfu ya vijana wanaopata ajali za bodaboda wakapelekwa MOI , tujue tu kuwa hiyo Taasisi ni brainchild ya Profesa Sarungi.

Mtu aliyehadhiri nchi hii na kusaidia kutengeneza mamia ya wataalamu wa tiba nchini

Mtu ambaye ameshakuwa na dhamana ya majeshi yetu kama waziri wa Ulinzi. Huyu bila shaka kwa nafasi hiyo amehudumu kwa uzalendo mkubwa, na hata leo rais anapojihisi ufahari wa kuwa na majeshi yanayomtii ajue tu amevikuta vinaelea lakini vimeundwa. Na Sarungi kachangia

Mtu ambaye amekuwa mwanachama mwaminifu wa CCM na serikali yake eti Leo anasusiwa Msiba na CCM na Mwenyekiti wake!

Kwa kweli hii imeniogopesha, kumbe kuna watu wakigombana na Mtoto wanachukia hadi wazazi!

Hatari sana hii!
Mkuu,

Mbona Mzee Stephen Wasira, Makamu Mwenyekiti wa CCM kafika kwenye msiba? Tena kapewa maneno yake na mjane wa Profesa Philemon Sarungi kaambiwa walikuwa wapi hawajaonekana Profesa alivyokuwa anaumwa wanatokea sasa amefariki?

Unajuaje kuwa familia ya Sarungi inataka uongozi wa serikali na CCM uhusike na msiba wao?

View: https://youtu.be/Km7iCkno83E?si=P5if2TwOnr3dGLz4
 
Maria Sarungi mwenyewe kaupotezea msiba wa baba yake mzazi.

Malezi mazuri ni jambo jema sana kwa watoto
Japo binafsi simfahamu Maria, lakini naamini ana malezi mazuri na elimu kukuzidi wewe na mboga mboga wengi sana.

La pili ukisema kaupotezea msiba usalama wake mlimuhakikishia? Au mlitaka kuleta drama msibani kujifanya mnachapa kazi kwenye hamna?

Kabendera vipi nae aliupotezea msiba wa mama yake?
 
Mkuu,

Mbona Mzee Stephen Wasira, Makamu Mwenyekiti wa CCM kafika kwenye msiba? Tena kapewa maneno yake na mjane wa Profesa Philemon Sarungi kaambiwa walikuwa wapi hawajaonekana Profesa alivyokuwa anaumwa wanatokea sasa amefariki?

Unajuaje kuwa familia ya Sarungi inataka uongozi wa serikali na CCM uhusike na msiba wao?

View: https://youtu.be/Km7iCkno83E?si=P5if2TwOnr3dGLz4

Wasira alikwenda kama homeboy,hakwenda kwa kofia ya cheo chake ndani ya chama.Angeendaje kichama wakati Mwenyekiti kasusa!!
 
Hapo umelazimisha jambo tu.

Pia, unajuaje kwamba Sarungi alitaka viongozi wa CCM na serikali wajihusishe na msiba wake?

Hujajibu swali hili.
 
Mkuu,

Mbona Mzee Stephen Wasira, Makamu Mwenyekiti wa CCM kafika kwenye msiba? Tena kapewa maneno yake na mjane wa Profesa Philemon Sarungi kaambiwa walikuwa wapi hawajaonekana Profesa alivyokuwa anaumwa wanatokea sasa amefariki?

Unajuaje kuwa familia ya Sarungi inataka uongozi wa serikali na CCM uhusike na msiba wao?

View: https://youtu.be/Km7iCkno83E?si=P5if2TwOnr3dGLz4

Duh! Huyo mama inaonekana hapendi unafiki.
 
Mkuu,

Mbona Mzee Stephen Wasira, Makamu Mwenyekiti wa CCM kafika kwenye msiba? Tena kapewa maneno yake na mjane wa Profesa Philemon Sarungi kaambiwa walikuwa wapi hawajaonekana Profesa alivyokuwa anaumwa wanatokea sasa amefariki?

Unajuaje kuwa familia ya Sarungi inataka uongozi wa serikali na CCM uhusike na msiba wao?

View: https://youtu.be/Km7iCkno83E?si=P5if2TwOnr3dGLz4

Ule ni msiba wa hadhi ya Mwenyekiti wa chama
 
Japo binafsi simfahamu Maria, lakini naamini ana malezi mazuri na elimu kukuzidi wewe na mboga mboga wengi sana.

La pili ukisema kaupotezea msiba usalama wake mlimuhakikishia? Au mlitaka kuleta drama msibani kujifanya mnachapa kazi kwenye hamna?

Kabendera vipi nae aliupotezea msiba wa mama yake?
Mkuu,

Bila ya kujali malezi na elimu ya Maria, wala sababu zake za kutokuja kumzika baba yake, hili ni jambo la familia ya Sarungi.

Kwa nini watu baki wasio wa familia wanajiona wana haki ya kuiingilia hii familia kwenye mazishi ya mzee wao?
 
Back
Top Bottom