balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Ya maziwa kabisa hiiNimeanza kazi mwaka 1960, niliajiliwa Bodyguard wa Governor nilikuwa nalipwa USD 2000.
Nilikuwa namzidi baba yangu mshahara. Alikuwa ananishangaa sana.
Mkuu, sitaki kusema kwamba kuna la kujivunia.Natafuta comment ya mtu aliyejiajiri na kutengeneza ajira kwa vijana wenzake lakini siioni. Mtu wa namna hii ndio anapaswa ajivunie.
Ajira yangu ya kwanza (baada ya kumaliza Form Six 1976) ilikuwa na mshahara 760/= (Shilingi), ondoa kodi Sh. 90, take home Sh. 670/- (zilikuwa nyingi saaaaaana).Nimejikuta nawaza tu....
Binafsi ajira yangu ya kwanza ilikua mwaka 2000, na mshahara wangu ulikua 115,000Tsh.
Nakumbuka nilikua nimemzidi babayangu mshahara na alishangaa sana.
[emoji848]Ajira yangu ya kwanza (baada ya kumaliza Form Six 1976) ilikuwa na mshahara 760/= (Shilingi), ondoa kodi Sh. 90, take home Sh. 670/- (zilikuwa nyingi saaaaaana).
Enzi hizo noti kubwa ilikuwa ya Shilingi 10.
Enzi hizo 1$ = 7 Shillings, 1Β£ = 20 Shillings.
Nilimaliza degree mwaka 1981, mshahara ulikuwa Sh. 1,400/-, nakumbuka wenzetu walioapply kwenye mashirika na kufanikiwa walikuwa na mshahara kwenye Sh. 2,000/-.
Waliokuwa wakifanya kazi East African Community ndiyo wakipata mishahara mikubwa.
Bilashaka saizi umetulia nyumbani unalea wajukuu na ukitafuna mafao yako taratibu kabisa huku unaperuzi hili jamvi..πAjira yangu ya kwanza (baada ya kumaliza Form Six 1976) ilikuwa na mshahara 760/= (Shilingi), ondoa kodi Sh. 90, take home Sh. 670/- (zilikuwa nyingi saaaaaana).
Enzi hizo noti kubwa ilikuwa ya Shilingi 10.
Enzi hizo 1$ = 7 Shillings, 1Β£ = 20 Shillings.
Nilimaliza degree mwaka 1981, mshahara ulikuwa Sh. 1,400/-, nakumbuka wenzetu walioapply kwenye mashirika na kufanikiwa walikuwa na mshahara kwenye Sh. 2,000/-.
Waliokuwa wakifanya kazi East African Community ndiyo wakipata mishahara mikubwa.
nimeona,,, hadi majobless akili ziwakae sawaπππTunasokotwa sana leo kipenzi...π€£
Kuna wajukuu wengi natunza heshima na kuwaachia ukumbi wenuKwanini hufiki MMU? Kule ndio tunachat sana [emoji16]
Mwaka 1983 nilianza kazi Serekalini kwa mshahara al_maarufu enzi hizo; "Four Figures" Gross salary ilikuwa Tsh 1050. Baada ya makato ilikuwa inagota mia 9.... Mihela mingi tu wakati huo. πPindi nilipomaliza shule tu nikasepa na mshahara wangu wa kwanza ulikuwa $900 mwaka 1980
Sikushauri aisee, historia isije kujirudia.Usijali mkuu hata wewe unaweza kufika ulipoandikiwa
Pambana sana na uwe na malengo utastaafu kwa raha sana
Kama una watoto wekeza kwao sana hata ukiwawekea hela bank kila mwezi tupia choxhote wakifika 18 wanaweza kujilipia Uni kwa hela uliziwawekea
Unajiwekea akiba yao baadae wasihangaike
Mimi kila mwaka naenda kutalii nchi mbili
Hata iwe siku 5 I don't mind
Nasubiri kupanda meli kubwa duniani inayotarajiwa kuanza safari mwakami ni kubwa mara 5 kuliko Titanic
Hapo vipi
ππππ Kwasababu bodaboda sio mtu jamani mbona tunabaguana mapema hiviBodaBoda yuko Verified?! π³π³π³
Moderator hebu toeni hicho kitiki mtuwekee watu executive bana
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Kuna wazeee
Sio wababa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtu anakwambia kaajiriwa 1981
Yan hata mama angu nadhani alikuwa hamjui baba π«£
MmmmmhMimi mamaangu alikuwa anacheza vikopo hata shule Bado[emoji23][emoji23][emoji23]
Utauweza mshahara wa house girl wewe slay qeen [emoji2]Hakuna anayetafuta house girl nionje mshahara na Mimi
Utakua fisadi weweMwaka 2007,nilianza na 201,632 Gross na hiyo hyo mwamba nikanunua uwanja,nikajenga na nikanunua kabebi woka