Hebu tusemezane: Ulianza kazi mwaka gani na mshahara wako wa kwanza ulikuwa kiasi gani?

Mwaka 2,000 nilikuwa mtukutu darasani. Mwalimu Mhagama akanambia ufanye kazi darasani usifanye au upige kele lakini ujue tu mimi mwisho wa mwezi nakunja 90,000.

Mimi binafsi nilipata kazi mwaka 2012 kwa mkurugenzi mmoja alitaka nikafanye kazi kwenye kampuni yake. Baada ya kukagua CV yangu, kwenye makubaliano ya pesa akanambia atanipa 120,000. Nikaona bora nikawe mpambanaji wa mtaani tu maana nilikuwa naingiza zaidi ya hiyo.
 
Nimejikuta nawaza tu....

Binafsi ajira yangu ya kwanza ilikua mwaka 2000, na mshahara wangu ulikua 115,000Tsh.

Nakumbuka nilikua nimemzidi babayangu mshahara na alishangaa sana.
Ajira yangu ya kwanza (baada ya kumaliza Form Six 1976) ilikuwa na mshahara 760/= (Shilingi), ondoa kodi Sh. 90, take home Sh. 670/- (zilikuwa nyingi saaaaaana).

Enzi hizo noti kubwa ilikuwa ya Shilingi 10.
Enzi hizo 1$ = 7 Shillings, 1£ = 20 Shillings.

Nilimaliza degree mwaka 1981, mshahara ulikuwa Sh. 1,400/-, nakumbuka wenzetu walioapply kwenye mashirika na kufanikiwa walikuwa na mshahara kwenye Sh. 2,000/-.

Waliokuwa wakifanya kazi East African Community ndiyo wakipata mishahara mikubwa.
 
[emoji848]
 
Bilashaka saizi umetulia nyumbani unalea wajukuu na ukitafuna mafao yako taratibu kabisa huku unaperuzi hili jamvi..😊
 
Pindi nilipomaliza shule tu nikasepa na mshahara wangu wa kwanza ulikuwa $900 mwaka 1980
Mwaka 1983 nilianza kazi Serekalini kwa mshahara al_maarufu enzi hizo; "Four Figures" Gross salary ilikuwa Tsh 1050. Baada ya makato ilikuwa inagota mia 9.... Mihela mingi tu wakati huo. 😂
 
Usijali mkuu hata wewe unaweza kufika ulipoandikiwa
Pambana sana na uwe na malengo utastaafu kwa raha sana

Kama una watoto wekeza kwao sana hata ukiwawekea hela bank kila mwezi tupia choxhote wakifika 18 wanaweza kujilipia Uni kwa hela uliziwawekea

Unajiwekea akiba yao baadae wasihangaike

Mimi kila mwaka naenda kutalii nchi mbili
Hata iwe siku 5 I don't mind
Nasubiri kupanda meli kubwa duniani inayotarajiwa kuanza safari mwakami ni kubwa mara 5 kuliko Titanic

Hapo vipi
Sikushauri aisee, historia isije kujirudia.
Bado tunakutaji hapa jukwaani.
 
Kuna wazeee
Sio wababa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtu anakwambia kaajiriwa 1981
Yan hata mama angu nadhani alikuwa hamjui baba 🫣
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Back
Top Bottom