Hebu tusemezane: Ulianza kazi mwaka gani na mshahara wako wa kwanza ulikuwa kiasi gani?

Ni kweli ila mimi niliondoka huko miaka hiyo bado Sh ina thamani sana
 
Alooo
 
Nimejikuta nawaza tu....

Binafsi ajira yangu ya kwanza ilikua mwaka 2000, na mshahara wangu ulikua 115,000Tsh.

Nakumbuka nilikua nimemzidi babayangu mshahara na alishangaa sana.
Natafuta comment ya mtu aliyejiajiri na kutengeneza ajira kwa vijana wenzake lakini siioni. Mtu wa namna hii ndio anapaswa ajivunie.
 
Natafuta comment ya mtu aliyejiajiri na kutengeneza ajira kwa vijana wenzake lakini siioni. Mtu wa namna hii ndio anapaswa ajivunie
Maboss wengi humu Wanatafuta ajira
Ukimwinua mtu hata na liten akaja kukumention jukwaani
Tsunami unaikuta PM
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Utajua kwanini hata ID za kiume tumefunga PM
 
Mimi miaka ya 1961 nilikuwa nalipwa elf 2500 kipindi hicho ndio nilikuwa fisadi mkubwa Ila kwasasa Niko mstuni nakula Matunda ya wakulima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…