Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Niliondoka huko zaidi ya miaka 30 iliyopitaSaiv utakua unapata million 10 nadhan
Ila kwa sasa napata 110m kwa mwaka Mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliondoka huko zaidi ya miaka 30 iliyopitaSaiv utakua unapata million 10 nadhan
Ni kweli ila mimi niliondoka huko miaka hiyo bado Sh ina thamani sanaMimi mwenyewe miaka hiyo nilikuwa mdogo ila tayari nilishapevukq nilikuwa najua kinachondelea ,enzi hizo mji wa Dar iliishia Ubungo ,kimara- mbezi kulikuwa vichaka na vipori pori vingi.Mbezi beach sehemu kubwa ilikuwa vichaka vya kutisha ,wazee wa enzi hizo walikuwa wanawahi viwanja mikocheni na msasani
AloooUnaona akili yako ilivyokuwa na makamasi
Unaniita muongo kwa lipi
Wewe kazi yako na yangu ni sawa? Je nchi niliyokuwa naishi unaijua au umekurupuka bila kusoma majibu yangu yote kwa wadau?
Unajua maana ya strongest currency in the world wewe au hata kimombo kimekupiga chenga
Katafute hela yenye nguvu duniani ndio ujue miaka hiyo nilikuwa huko
Na uwe na adabu maana kuna wazee wengine hamna break
Utasaidiwa kama hujui
Kuna wazeeeHee kumbe humu Kuna wababa
Haya shikamoo baba
watu wana mahelaHii ndo jf ninayoijua mimi😊
Wababa wa humu vitunguu 🤣🤣watu wana mahela
nashangaa hujajipatia mbaba😬
Natafuta comment ya mtu aliyejiajiri na kutengeneza ajira kwa vijana wenzake lakini siioni. Mtu wa namna hii ndio anapaswa ajivunie.Nimejikuta nawaza tu....
Binafsi ajira yangu ya kwanza ilikua mwaka 2000, na mshahara wangu ulikua 115,000Tsh.
Nakumbuka nilikua nimemzidi babayangu mshahara na alishangaa sana.
Tuseme sisi kwao ni vitukuu maana 1981 sio leo wala Jana 🤣🤣Kuna wazeee
Sio wababa
🤣🤣🤣🤣
Mtu anakwambia kaajiriwa 1981
Yan hata mama angu nadhani alikuwa hamjui baba 🫣
Car wash afu uko jf? You are not belong here nigga umu wote matajiri u knowMshahara wangu wa kwanza ni mwezi wa 4 mwaka huu 150,000 Car wash
Hapa najiuliza hawa wanaoliaga na mapenzi ni hawa hawa au Kuna wengineWababa wa humu vitunguu 🤣🤣
Huoni wanavyokujaga kulia lia
[emoji1][emoji1]Mshahara wangu wa kwanza ulikuwa 700,000 June 2009 aisee siku uliyoingia huo mshahara katika account yangu Hadi kutembea kwangu kulibadirika
Nye nye nye U knowCar wash afu uko jf? You are not belong here nigga umu wote matajiri u know
Maboss wengi humu Wanatafuta ajiraNatafuta comment ya mtu aliyejiajiri na kutengeneza ajira kwa vijana wenzake lakini siioni. Mtu wa namna hii ndio anapaswa ajivunie
[emoji1] [emoji1787] [emoji23]Hapa najiuliza hawa wanaoliaga na mapenzi ni hawa hawa au Kuna wengine
Huyo mzee kakurupukaAlooo
[emoji1] [emoji1787] jamani kwa hiyo hamtutaki humuKuna wazeee
Sio wababa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtu anakwambia kaajiriwa 1981
Yan hata mama angu nadhani alikuwa hamjui baba 🫣
I feel you nigga!!!!Mshahara wangu wa kwanza ulikuwa 700,000 June 2009 aisee siku uliyoingia huo mshahara katika account yangu Hadi kutembea kwangu kulibadirika