Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Mimi mamaangu alikuwa anacheza vikopo hata shule Bado😂😂😂Kuna wazeee
Sio wababa
🤣🤣🤣🤣
Mtu anakwambia kaajiriwa 1981
Yan hata mama angu nadhani alikuwa hamjui baba 🫣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi mamaangu alikuwa anacheza vikopo hata shule Bado😂😂😂Kuna wazeee
Sio wababa
🤣🤣🤣🤣
Mtu anakwambia kaajiriwa 1981
Yan hata mama angu nadhani alikuwa hamjui baba 🫣
Nasubirisubiri atakaye ibuka kidedea na take home kubwa nisepe nae😂😂😂😂watu wana mahela
nashangaa hujajipatia mbaba😬
Hii chai imenipaliaPindi nilipomaliza shule tu nikasepa na mshahara wangu wa kwanza ulikuwa $900 mwaka 1980
Security guard weweeMwaka 2020, nakula net 78,000. Gross 100,000. Halafu ni kitambo.
Mkae Twitter mlee wajukuu 😂[emoji1] [emoji1787] jamani kwa hiyo hamtutaki humu
Afu ukazaliwa lini sasa1980
😅😅 wajomba ni wengiiTuseme sisi kwao ni vitukuu maana 1981 sio leo wala Jana 🤣🤣
Kwanini?Hii chai imenipalia
Jamaa anakwambia sio bongo mkuuUongo, Mimi nilianza Kazi 1981 kwa mshahara wa Tshs 650/= hakuna tofauti na mwaka 1980
Tunabanana humu humu ila MMU siji nabaki kwenye hoja mbalimbali tuMkae Twitter mlee wajukuu [emoji23]
Wow! Good for you.Kwanini?
Sijawahi kudanganya
Mwaka 78 niliondoka Tz na kwenda kutafuta maisha
Tuna utofauti sana na nyie
Sisi wengine raha tumeziona tangu udogo
Wala sijisifii ila leo niko London mwaka wa 33
Why should I lie [emoji848]
Huo mshahara ulikuwa ni mashariki ya kati kwenye mafuta na sio Bongo mjukuu wangu
Kwanini hufiki MMU? Kule ndio tunachat sana 😁Tunabanana humu humu ila MMU siji nabaki kwenye hoja mbalimbali tu
Si useme tu ulikuwa hujazaliwa 😂😂Wow! Good for you.
BTW Shida sio zile $
Ni ile 1980 😂😂
Naiona ndefu mno.
I'm 65 nowAfu ukazaliwa lini sasa
[emoji1][emoji1][emoji1]
Maana hapo to date ni umri wa mubaba '43
Yan hata kufikiriwa bado aiseeSi useme tu ulikuwa hujazaliwa 😂😂
duh, jf kuna vipipa nilijua ni stori tu.....I'm 65 now
Moja yangu nyingine Mrs na wanangu wawili bisha sasa nikualike nilipo View attachment 2692208