Hebu tusemezane: Ulianza kazi mwaka gani na mshahara wako wa kwanza ulikuwa kiasi gani?

Hebu tusemezane: Ulianza kazi mwaka gani na mshahara wako wa kwanza ulikuwa kiasi gani?

Hii chai imenipalia
Kwanini?
Sijawahi kudanganya
Mwaka 78 niliondoka Tz na kwenda kutafuta maisha

Tuna utofauti sana na nyie
Sisi wengine raha tumeziona tangu udogo
Wala sijisifii ila leo niko London mwaka wa 33

Why should I lie [emoji848]

Huo mshahara ulikuwa ni mashariki ya kati kwenye mafuta na sio Bongo mjukuu wangu
 
Wow! Good for you.

BTW Shida sio zile $
Ni ile 1980 😂😂
Naiona ndefu mno.
 
Afu ukazaliwa lini sasa
[emoji1][emoji1][emoji1]
Maana hapo to date ni umri wa mubaba '43
I'm 65 now
Moja yangu nyingine Mrs na wanangu wawili bisha sasa nikualike nilipo
Screenshot_20230206_203950_Photos.jpg
 
Back
Top Bottom