Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,644
- 20,009
JF ina vichwa vingi Sana mkuu,hapo nimekumbuka tu wachacheRay, wote hawa kweli 😅😅
Nakuona kaka .
Nipo mrembo wangu, huku kwema, vipi ulipo kuna mpya gani?Nakuona kaka .
Upo, Kwemaa ?
Kuumia kupenda.Nipo mrembo wangu, huku kwema, vipi ulipo kuna mpya gani?
Pole bibie, ndiyo ukubwa huo.Kuumia kupenda.
Eeenhe, hebu nielezee vizuri, kwamba inakuwaje huko?Huku watu wanakutunza sio serikali Wala Umoja wa ulaya hawafanyi kitu.