Heche Aache Janja Janja . Ajibu Mpaka Sasa Amepokea Kiasi Gani Cha Pesa Kupitia Akaunti yake Binafsi na Zipo Wapi?

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Kelele za Tuhuma zimemuibua Heche Kutoka Mafichoni. Heche Sasa baada ya Kupigwa kwa kelele na kumtaka ajibu tuhuma za kupokea pesa kutoka kwa Wadau kupitia akaunti yake binafsi ameamua kubadili Gia Angani.

Eti sasa anasema wale ambao wangetaka kumtumia Hela kupitia akaunti yake binafsi basi watume kwenye akaunti za chama kwaajili ya Mkutano wa chama utakaofanyika siku zijazo .

Swali ni je Mpaka sasa alikuwa amekusanya na kupokea kiasi gani kupitia akaunti yake Binafsi? Pesa hizo zipo wapi? Kwanini hakusema hivyo tokea awali kwamba watu wasipitishie fedha kwenye akaunti yake binafsi na badala yake watume kwenye Chama? Kwanini iwe sasa baada ya Kupigwa kwa kelele nyingi? Je bila kelele angeendelea kupokea pesa kupitia akaunti zake? Angefanya hivyo mpaka lini?

Alimtaarifu nani na kupitia mkutano na kikao kipi cha chama kama kuna pesa zinapitia kwenye akaunti zake Binafsi za benki pamoja na simu kwa ajili ya shughuli za Chama? Uadilifu wa kiuongozi upo wapi hapo? Je ndio maadili yanavyomtaka kufanya hivyo kama kiongozi ?

Vipi kama viongozi wote wa chama wangeamua kutumia akaunti zao binafsi za Benki na simu kupokelea michango ya wadau? Je chama kingepata pesa? Chama kingejua vipi kiasi cha pesa kilichotolewa na watu? Nani angekuwa mkaguzi wa akaunti za watu kujua pesa zilizo patikana kupitia akaunti hizo? Nani angewasilisha pesa zote kama zilivyochangwa ?

Vipi kama mwingine angesema watu wamemchangia yeye kama yeye kwa matumizi yake binafsi na kwa kupendwa na watu na siyo kwa ajili ya kutumika kwa shughuli za Chama?

Watu walipata wapi namba za akaunti za Benki za Heche kwa ajili ya kumuwekea pesa ikiwa kama yeye hakutoa ? Kama mmiliki ni yeye nani mwingine wa kutoa zaidi yake yeye? Je hakujua utaratibu kuwa pesa zinapaswa kupelekwa kwa chama moja kwa moja kupitia akaunti rasmi za Chama?

Heche aje tena kujibu tuhuma na siyo kutafuta huruma za watu kukwepa kujibu tuhuma zake . Suala la uwazi ni la muhimu sana katika taasisi inayojitambua na siyo kuleta janja janja kama anavyotaka kufanya Heche pengine baada ya kushiba na kujipatia pesa za kutosha na sasa ndio anaamua masalia yaelekezwe kwenye chama . Yaani ni kama vile Kala na kavimbiwa na sasa ndio anataka na kuacha makombo na kukiita chakula .

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kelele za Tuhuma zimemuibua Heche Kutoka Mafichoni. Heche Sasa baada ya Kupigwa kwa kelele na kumtaka ajibu tuhuma za kupokea pesa kutoka kwa Wadau kupitia akaunti yake binafsi ameamua kubadili Gia Angani.

Eti sasa anasema wale ambao wangetaka kumtumia Hela kupitia akaunti yake binafsi basi watume kwenye akaunti za chama kwaajili ya Mkutano wa chama utakaofanyika siku zijazo .

Swali ni je Mpaka sasa alikuwa amekusanya na kupokea kiasi gani kupitia akaunti yake Binafsi? Pesa hizo zipo wapi? Kwanini hakusema hivyo tokea awali kwamba watu wasipitishie fedha kwenye akaunti yake binafsi na badala yake watume kwenye Chama? Kwanini iwe sasa baada ya Kupigwa kwa kelele nyingi? Je bila kelele angeendelea kupokea kupitia akaunti zake? Angefanya hivyo mpaka lini?

Alimtaarifu nani na kupitia mkutano na kikao kipi cha chama kama kuna pesa zinapitia kwenye akaunti zake Binafsi za benki pamoja na simu kwa ajili ya shughuli za Chama? Uadilifu wa kiuongozi upo wapi hapo? Je ndio maadili yanavyomtaka kufanya hivyo kama kiongozi ?

Vipi kama viongozi wote wa chama wangeamua kutumia akaunti zao binafsi za Benki na simu kupokelea michango ya wadau? Je chama kingepata pesa? Chama kingejua vipi kiasi cha pesa kilichotolewa na watu? Nani angekuwa mkaguzi wa akaunti za watu kujua pesa zilizo patikana kupitia akaunti hizo? Nani angewasilisha pesa zote kama zilivuochangwa ?

Ushasema account yake binafsi,

Kwani alietuma alikuwa ajui kama kuna account ya chama?

Ww ela unazolipwa na ccm kukaa jamii forums uwa unatolea maelezo wapi?
 
1000170151.png
 
Wewe masuala ya CHADEMA yanakuhusu nini? Focus na buku 7000 .
 
Wewe kweli maku sana, sasa mambo ya kwenye account yake binafsi yanahusu nini, basi mwambie Samia naye aweke wazi account yake binafsi inasoma nini? Siku zote watu wanatangaziwa kwenye mikutano ya Chadema account za kutuma hela sasa kama kuna mtu hadi katafuta account binafsi ya Heche na kutuma hela basi alimaanisha kuwa hiyo ni personal. Luca utapata kisukari bure kutaka ligi na Heche wewe ni mhudumu wa gesti tu huna tofauti na wateja wako ambao ni wauza K.
 
Ulichangia kiasi gani hadi utake kujua?
 
Tatizo mnavyozidi kufanya hizi propaganda ndio watu wanazidi kuwapuuza, tumieni hata akili za kupata D mbili kufanya spinning...nina wasi wasi kuwa uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo sana kama hapa ndio mmefika mwisho
 
Ushasema account yake binafsi,

Kwani alietuma alikuwa ajui kama kuna account ya chama?

Ww ela unazolipwa na ccm kukaa jamii forums uwa unatolea maelezo wapi?
Nani aliwapa namba ya akaunti? Kwanini sasa amesema wachangie kwenye chama baada ya kelele nyingi kupigwa? Je bila kelele angepokea hela hizo mpaka lini?
 
Tatizo mnavyozidi kufanya hizi propaganda ndio watu wanazidi kuwapuuza, tumieni hata akili za kupata D mbili kufanya spinning...nina wasi wasi kuwa uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo sana kama hapa ndio mmefika mwisho
Hoja hizi zipo juu ya uwezo wako Bwana
 
Umasikini na kutokuwa na akili ni mbaya sana.
Yaani mijitu mizima kabisa inaandikiwa script na yenyewe ili ipate kula, inakubali kabisa kuifuata!!
Naona hoja imekuwa ya moto kwelikweli mpaka sasa unashindwa kujibu hoja
 
Tatizo mnavyozidi kufanya hizi propaganda ndio watu wanazidi kuwapuuza, tumieni hata akili za kupata D mbili kufanya spinning...nina wasi wasi kuwa uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo sana kama hapa ndio mmefika mwisho
Sasa kama mwenyekiti wao Taifa alipata Div IV O Level na ndoto ya maisha yake ilikuwa awe Air Hostess unategemea hao wa chini yake waweje?
 
Wewe kweli maku sana, sasa mambo ya kwenye account yake binafsi yanahusu nini, basi mwambie Samia naye aweke wazi account yake binafsi inasoma nini? Siku zote watu wanatangaziwa kwenye mikutano ya Chadema account za kutuma hela sasa kama kuna mtu hadi katafuta account binafsi ya Heche na kutuma hela basi alimaanisha kuwa hiyo ni personal. Luca utapata kisukari bure kutaka ligi na Heche wewe ni mhudumu wa gesti tu huna tofauti na wateja wako ambao ni wauza K.
Nani aliwapa namba yake binafsi watu ili wachangie pesa za kuendeshea shughuli za chama kama siyo Heche mwenyewe? Kwanini sasa abadili gia angani ?
 
Back
Top Bottom