Heche Aache Janja Janja . Ajibu Mpaka Sasa Amepokea Kiasi Gani Cha Pesa Kupitia Akaunti yake Binafsi na Zipo Wapi?

Ndugu zangu Watanzania,

Kelele za Tuhuma zimemuibua Heche Kutoka Mafichoni. Heche Sasa baada ya Kupigwa kwa kelele na kumtaka ajibu tuhuma za kupokea pesa kutoka kwa Wadau kupitia akaunti yake binafsi ameamua kubadili Gia Angani.

Eti sasa anasema wale ambao wangetaka kumtumia Hela kupitia akaunti yake binafsi basi watume kwenye akaunti za chama kwaajili ya Mkutano wa chama utakaofanyika siku zijazo .

Swali ni je Mpaka sasa alikuwa amekusanya na kupokea kiasi gani kupitia akaunti yake Binafsi? Pesa hizo zipo wapi? Kwanini hakusema hivyo tokea awali kwamba watu wasipitishie fedha kwenye akaunti yake binafsi na badala yake watume kwenye Chama? Kwanini iwe sasa baada ya Kupigwa kwa kelele nyingi? Je bila kelele angeendelea kupokea pesa kupitia akaunti zake? Angefanya hivyo mpaka lini?

Alimtaarifu nani na kupitia mkutano na kikao kipi cha chama kama kuna pesa zinapitia kwenye akaunti zake Binafsi za benki pamoja na simu kwa ajili ya shughuli za Chama? Uadilifu wa kiuongozi upo wapi hapo? Je ndio maadili yanavyomtaka kufanya hivyo kama kiongozi ?

Vipi kama viongozi wote wa chama wangeamua kutumia akaunti zao binafsi za Benki na simu kupokelea michango ya wadau? Je chama kingepata pesa? Chama kingejua vipi kiasi cha pesa kilichotolewa na watu? Nani angekuwa mkaguzi wa akaunti za watu kujua pesa zilizo patikana kupitia akaunti hizo? Nani angewasilisha pesa zote kama zilivyochangwa ?

Vipi kama mwingine angesema watu wamemchangia yeye kama yeye kwa matumizi yake binafsi na kwa kupendwa na watu na siyo kwa ajili ya kutumika kwa shughuli za Chama?

Watu walipata wapi namba za akaunti za Benki za Heche kwa ajili ya kumuwekea pesa ikiwa kama yeye hakutoa ? Kama mmiliki ni yeye nani mwingine wa kutoa zaidi yake yeye? Je hakujua utaratibu kuwa pesa zinapaswa kupelekwa kwa chama moja kwa moja kupitia akaunti rasmi za Chama?

Heche aje tena kujibu tuhuma na siyo kutafuta huruma za watu kukwepa kujibu tuhuma zake . Suala la uwazi ni la muhimu sana katika taasisi inayojitambua na siyo kuleta janja janja kama anavyotaka kufanya Heche pengine baada ya kushiba na kujipatia pesa za kutosha na sasa ndio anaamua masalia yaelekezwe kwenye chama . Yaani ni kama vile Kala na kavimbiwa na sasa ndio anataka na kuacha makombo na kukiita chakula .

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kamuulize mamaako ameuza vitaru vingapi vya madini? Na hela kazipeleka wapi??
 
Wachangiaji kwa sasa wamekatishwa tamaa kabisa baada ya kuona viongozi wa CHADEMA wanekigeuza chama kama mradi wa kushibisha Matumbo yao

View: https://x.com/i/status/2076247895934701654

Wewe kidampa ndio umekata tamaa, watu wanazidi kuchanga wewe subiri buku 7 kutoka Lumumba.

Bahati nzuri sisi tunaongea kwa namba wewe panua tu proboscis hapa ushahidi wa namba huna.

Hii ni ya saa 9 tangu tangazo hili litoke jana , sasa kwa siku 64 utapiga hesabu zako inaweza kukusanywa kiasi gani.

Pesa na mahesabu ni namba, ndio maana nawaambia hii propaganda yenu imefeli maana mmekuja bila namba ni kelele zisizo na tija.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kelele za Tuhuma zimemuibua Heche Kutoka Mafichoni. Heche Sasa baada ya Kupigwa kwa kelele na kumtaka ajibu tuhuma za kupokea pesa kutoka kwa Wadau kupitia akaunti yake binafsi ameamua kubadili Gia Angani.

Eti sasa anasema wale ambao wangetaka kumtumia Hela kupitia akaunti yake binafsi basi watume kwenye akaunti za chama kwaajili ya Mkutano wa chama utakaofanyika siku zijazo .

Swali ni je Mpaka sasa alikuwa amekusanya na kupokea kiasi gani kupitia akaunti yake Binafsi? Pesa hizo zipo wapi? Kwanini hakusema hivyo tokea awali kwamba watu wasipitishie fedha kwenye akaunti yake binafsi na badala yake watume kwenye Chama? Kwanini iwe sasa baada ya Kupigwa kwa kelele nyingi? Je bila kelele angeendelea kupokea pesa kupitia akaunti zake? Angefanya hivyo mpaka lini?

Alimtaarifu nani na kupitia mkutano na kikao kipi cha chama kama kuna pesa zinapitia kwenye akaunti zake Binafsi za benki pamoja na simu kwa ajili ya shughuli za Chama? Uadilifu wa kiuongozi upo wapi hapo? Je ndio maadili yanavyomtaka kufanya hivyo kama kiongozi ?

Vipi kama viongozi wote wa chama wangeamua kutumia akaunti zao binafsi za Benki na simu kupokelea michango ya wadau? Je chama kingepata pesa? Chama kingejua vipi kiasi cha pesa kilichotolewa na watu? Nani angekuwa mkaguzi wa akaunti za watu kujua pesa zilizo patikana kupitia akaunti hizo? Nani angewasilisha pesa zote kama zilivyochangwa ?

Vipi kama mwingine angesema watu wamemchangia yeye kama yeye kwa matumizi yake binafsi na kwa kupendwa na watu na siyo kwa ajili ya kutumika kwa shughuli za Chama?

Watu walipata wapi namba za akaunti za Benki za Heche kwa ajili ya kumuwekea pesa ikiwa kama yeye hakutoa ? Kama mmiliki ni yeye nani mwingine wa kutoa zaidi yake yeye? Je hakujua utaratibu kuwa pesa zinapaswa kupelekwa kwa chama moja kwa moja kupitia akaunti rasmi za Chama?

Heche aje tena kujibu tuhuma na siyo kutafuta huruma za watu kukwepa kujibu tuhuma zake . Suala la uwazi ni la muhimu sana katika taasisi inayojitambua na siyo kuleta janja janja kama anavyotaka kufanya Heche pengine baada ya kushiba na kujipatia pesa za kutosha na sasa ndio anaamua masalia yaelekezwe kwenye chama . Yaani ni kama vile Kala na kavimbiwa na sasa ndio anataka na kuacha makombo na kukiita chakula .

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Tunaochanga wala hatulalamiki. Nyie mnawashwa nini sijui. Kwanza naongeza kiwango cha mchango ajae mapesa halali sio za kifisadi.
 
Jibu swali nilililokuuliza na siyo kuruka ruka hapa wewe
Siyo kila sentensi yenye kiulizo mbele ni swali. Hizi ndiyo sifa za swali.

1. Linabeba mantiki

2. Linahusiana na mazingira na wakati husika

3. Linanyumbulika

4. Limefuata kanuni za lugha husika

5. Anayeuliza ni lazima awe na haki ya kuuliza na anayeulizwa awe ndiye mhusika.

Wewe hujauliza bali umeweka sentensi fitinishi.
 
Kidampa wa buku 7 chali tena na project yenu hii!

Mwaka huu mtapata aibu kila mnachojaribu kuanzia wakatoliki feki hadi ufisadi usio na uthibitisho.

Vipi chawa Lucia Mbwa Wa Shamba huu mgao wa 1M umepata au wenzio wamegrill nyama wewe umeambulia harufu tu?

View: https://x.com/i/status/2077638025866068472
 
Back
Top Bottom