Heche Aache Janja Janja . Ajibu Mpaka Sasa Amepokea Kiasi Gani Cha Pesa Kupitia Akaunti yake Binafsi na Zipo Wapi?

Heche Aache Janja Janja . Ajibu Mpaka Sasa Amepokea Kiasi Gani Cha Pesa Kupitia Akaunti yake Binafsi na Zipo Wapi?

Sasa kama unavyo mu attack ndivyo anainuliwa kisiasa, kumbe ni faida sasa acha wamuattack ili ainuke kisiasa

heche ni mwizi, fisadi na mcheza kamari aliyekubuhu

-ameshndwa kusimamia uhuru wa kuongea ndani ya chama, kila anayemgusa anatimuliwa..

-heche amekosa sifa ya kukosoa kuhusu wizi wowote...yaani huyo na tibaijuka hawana utofauti.

"ACHA TUENDELEE KUMNANGA NA KUMUANIKA ILI AINUKE KISIASA KAMA SIYO KUNUKA KISIASA"
Mpuuzi kama wewe nakupuuza tu.
 
Niambie ni Mkutano upi ulitaja namba binafsi za akaunti za heche kutumika kupokea michango ya chama?

Weka ushahidi hapa wa huo mkutano au kikao
Wewe kumbe shule ulienda kusomea upumbavu. Nimesema kwenye mikutano zinatajwa namba za account za Chama sasa kama kuna mtu amemtumia Heche kwenye namba yake binafsi basi alimaanisha kuwa hiyo hela kamrumia yeye na si chama sasa kigumu kuelewa hapo nini? Walimu waliokufundisha wewe walipata shida sana na ndiyo maana unaandika mashudu humu kichwani umejaza kamasi tu.
 
Ndio maana nasemaga hunaga akili kabisa wewe. Nimesema ni kwenye mkutano upi zilitajwa namba za akaunti binafsi za Benki za Heche? Kwanini heche alikubali kutumia akaunti zake kupokea pesa za kwenye chama? Kwanini Saiz kabadili gia angani baada ya kupigiwa kelele?
 
Huna akili.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kelele za Tuhuma zimemuibua Heche Kutoka Mafichoni. Heche Sasa baada ya Kupigwa kwa kelele na kumtaka ajibu tuhuma za kupokea pesa kutoka kwa Wadau kupitia akaunti yake binafsi ameamua kubadili Gia Angani.

Eti sasa anasema wale ambao wangetaka kumtumia Hela kupitia akaunti yake binafsi basi watume kwenye akaunti za chama kwaajili ya Mkutano wa chama utakaofanyika siku zijazo .

Swali ni je Mpaka sasa alikuwa amekusanya na kupokea kiasi gani kupitia akaunti yake Binafsi? Pesa hizo zipo wapi? Kwanini hakusema hivyo tokea awali kwamba watu wasipitishie fedha kwenye akaunti yake binafsi na badala yake watume kwenye Chama? Kwanini iwe sasa baada ya Kupigwa kwa kelele nyingi? Je bila kelele angeendelea kupokea pesa kupitia akaunti zake? Angefanya hivyo mpaka lini?

Alimtaarifu nani na kupitia mkutano na kikao kipi cha chama kama kuna pesa zinapitia kwenye akaunti zake Binafsi za benki pamoja na simu kwa ajili ya shughuli za Chama? Uadilifu wa kiuongozi upo wapi hapo? Je ndio maadili yanavyomtaka kufanya hivyo kama kiongozi ?

Vipi kama viongozi wote wa chama wangeamua kutumia akaunti zao binafsi za Benki na simu kupokelea michango ya wadau? Je chama kingepata pesa? Chama kingejua vipi kiasi cha pesa kilichotolewa na watu? Nani angekuwa mkaguzi wa akaunti za watu kujua pesa zilizo patikana kupitia akaunti hizo? Nani angewasilisha pesa zote kama zilivyochangwa ?

Vipi kama mwingine angesema watu wamemchangia yeye kama yeye kwa matumizi yake binafsi na kwa kupendwa na watu na siyo kwa ajili ya kutumika kwa shughuli za Chama?

Watu walipata wapi namba za akaunti za Benki za Heche kwa ajili ya kumuwekea pesa ikiwa kama yeye hakutoa ? Kama mmiliki ni yeye nani mwingine wa kutoa zaidi yake yeye? Je hakujua utaratibu kuwa pesa zinapaswa kupelekwa kwa chama moja kwa moja kupitia akaunti rasmi za Chama?

Heche aje tena kujibu tuhuma na siyo kutafuta huruma za watu kukwepa kujibu tuhuma zake . Suala la uwazi ni la muhimu sana katika taasisi inayojitambua na siyo kuleta janja janja kama anavyotaka kufanya Heche pengine baada ya kushiba na kujipatia pesa za kutosha na sasa ndio anaamua masalia yaelekezwe kwenye chama . Yaani ni kama vile Kala na kavimbiwa na sasa ndio anataka na kuacha makombo na kukiita chakula .

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Back
Top Bottom