Kambaku
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 8,999
- 33,523
Lukasi mdogo wangu, chama chake kupitia katibu wake mkuu ameshasema hakuna chembe yoyote ya ubadhilifu na kaweka wazi kuwa Heche hana access na account au hela za chama sasa wewe unayapata wapi haya masononeko yasiyokwisha mzee?
Hudhani kuwa unajionesha uoga wako kwa Heche?
Hata hivyo hebu turejee kwa ushauri tuliopewa na Takukuru chombo pekee cha ku deal na hizi issues za design hii hivi unakumbuka uchaguzi wa 2020 wakati ccm walipokamatwa dhahiri shahiri wanapeana rushwa, Mtendaji mkuu wa Takukuru tena akiwa Jenerali wa jeshi akasema ccm kama chama cha siasa wana taratibu zao na namna yao ya kushughulikia hizo mambo na kesi ikaishia hapo, HEBU TUISHI HUMO MKUU, hebu tuache chadema washughulike na mambo yao