Heche Aache Janja Janja . Ajibu Mpaka Sasa Amepokea Kiasi Gani Cha Pesa Kupitia Akaunti yake Binafsi na Zipo Wapi?

Ndugu zangu Watanzania,

Kelele za Tuhuma zimemuibua Heche Kutoka Mafichoni. Heche Sasa baada ya Kupigwa kwa kelele na kumtaka ajibu tuhuma za kupokea pesa kutoka kwa Wadau kupitia akaunti yake binafsi ameamua kubadili Gia Angani.

Eti sasa anasema wale ambao wangetaka kumtumia Hela kupitia akaunti yake binafsi basi watume kwenye akaunti za chama kwaajili ya Mkutano wa chama utakaofanyika siku zijazo .

Swali ni je Mpaka sasa alikuwa amekusanya na kupokea kiasi gani kupitia akaunti yake Binafsi? Pesa hizo zipo wapi? Kwanini hakusema hivyo tokea awali kwamba watu wasipitishie fedha kwenye akaunti yake binafsi na badala yake watume kwenye Chama? Kwanini iwe sasa baada ya Kupigwa kwa kelele nyingi? Je bila kelele angeendelea kupokea pesa kupitia akaunti zake? Angefanya hivyo mpaka lini?

Alimtaarifu nani na kupitia mkutano na kikao kipi cha chama kama kuna pesa zinapitia kwenye akaunti zake Binafsi za benki pamoja na simu kwa ajili ya shughuli za Chama? Uadilifu wa kiuongozi upo wapi hapo? Je ndio maadili yanavyomtaka kufanya hivyo kama kiongozi ?

Vipi kama viongozi wote wa chama wangeamua kutumia akaunti zao binafsi za Benki na simu kupokelea michango ya wadau? Je chama kingepata pesa? Chama kingejua vipi kiasi cha pesa kilichotolewa na watu? Nani angekuwa mkaguzi wa akaunti za watu kujua pesa zilizo patikana kupitia akaunti hizo? Nani angewasilisha pesa zote kama zilivyochangwa ?

Vipi kama mwingine angesema watu wamemchangia yeye kama yeye kwa matumizi yake binafsi na kwa kupendwa na watu na siyo kwa ajili ya kutumika kwa shughuli za Chama?

Watu walipata wapi namba za akaunti za Benki za Heche kwa ajili ya kumuwekea pesa ikiwa kama yeye hakutoa ? Kama mmiliki ni yeye nani mwingine wa kutoa zaidi yake yeye? Je hakujua utaratibu kuwa pesa zinapaswa kupelekwa kwa chama moja kwa moja kupitia akaunti rasmi za Chama?

Heche aje tena kujibu tuhuma na siyo kutafuta huruma za watu kukwepa kujibu tuhuma zake . Suala la uwazi ni la muhimu sana katika taasisi inayojitambua na siyo kuleta janja janja kama anavyotaka kufanya Heche pengine baada ya kushiba na kujipatia pesa za kutosha na sasa ndio anaamua masalia yaelekezwe kwenye chama . Yaani ni kama vile Kala na kavimbiwa na sasa ndio anataka na kuacha makombo na kukiita chakula .

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Pesa atumiwe mwingine zikuwashe wewe,uko sawa kweli?
 
Usitupotezee muda
 
Screenshot_20260604-133242~2.png
 
Amepokea jumla ya tsh bilioni 40 kupitia kagoda limited.
Benjamin Mkapa.....
 
Kutoka kuwa chawa sasa upagawa ukichaa.
Wewe unajua account yake Heche imepokea pesa si uitaje, namba ngapi na ipo benki gani na ina pesa kiasi gani. Evidence ni muhima sana:
====kama hii=

SERIKALI YA RAIS SAMIA YASHIRIKIANA NA KAMPUN YA DAISY GENERAL TRADERS KUKWAPUA MABILIONI FEDHA TOKA BANK KUU.

4/9/2023: 21:30 HRS Western Indiana.

Taarifa kutoka ndani ya kitengo cha Financial Intelligence Unit (FIU) zinatujuza kama ifuatavyo.

Genge la walafi na wakwapuaji Fedha za walipa kodi likiongozwa na Angela Kiziga, Abdluhalim Hafidh Ameir na Hamad Massaun Yusuph linaifilisi nchi.

Pesa ambazo Hayati Magufuli alikataa kutokuilipa kampuni ya DAISY GENERAL TRADERS zimelipwa kimya kimya na ongezeko la zaidi ya tsh Billion 11.
Pesa hizo zilikuwa ni za manunuzi ya sare za jeshi la Polisi zina utata hivyo Mzee Magufuli akazuia kutokulipwa.

Mama Samia aliruhusu malipo hayo yafanyike kwa kampuni hiyo na

zaidi kwani kampuni hiyo badala ya kulipwa tsh Bil 10.9 sasa imelipwa tsh Bilioni 21.9 na chanji inabakia.

Pesa hizo zililipwa katika akaunt namba 01530390577600CRDB, mali ya DAISY GENERAL TRADERS kwa mafungu mawili ambapo tarehe 25/3/2023 akaunt tajwa ilipokea kiasi cha tsh Bilioni 2,737,986,111.86 na baadaye kiasi cha tsh 19,223,257,320.00 hivyo kukamilika kiasi cha tsh Billion 21,961,243,431.86.

Hata hivyo kampuni ya DAISY GENERAL TRADERS ilipata tender Wizara ya Mambo ya ndani kutengeneza sare za jeshi kwa gharama ya kiasi cha tsh Bilioni 10 na baada ya kuchelewesha inaonyesha fedha hizo zilizuiliwa kulipwa.

Katika Mazungumzo ya wamiliki wa kampuni ya DAISY GENERAL TRADERS ambao ni Angela Kiziga na Elvis Peter Kilango na Serikali waliomba kulipwa ongezeko la tsh milioni 900 ambazo zilikuwa ni kwa ajili ya kodi na wakakubaliana hivyo. Jumla walistahili kulipwa kiasi cha tsh bilion 10.9. Cha kushangaza ni namna mgao na malipo yalivyofanyika. Baada ya kiasi cha tsh Bilioni 21,961,243,431.86 kuingizwa kwenye akaunt no 01530390577600 CRDB mali ya DAISY GENERAL TRADERS inayomilikiwa na Angela Kiziga na Elvis Peter Kilango mgao ulikuwa kama hivi.

Bwana Elvis Peter Kilango inaonyesha ana akaunti no 2012322 mali yake binafsi katika Bank ya ABSA BANK TANZANIA. Ambapo sasa hapo ndio mchezo ukaanza.

Akaunt No 2012322 mali ya Elvis ikaanza kupokea miamala kama ifuatavyo.

Tarehe 30/3/2023 ilipokea kiasi cha tsh Bilioni 7
Tarehe 5/4/2023 ilipokea kiasi cha tsh Bilioni 8
Tarehe 12/4/2023 ilipokea kiasi cha tsh bilion 4.9

Mpaka hapo ukipiga hesabu utaona akaunti hiyo binafsi iliingiza Jumla ya kiasi cha tsh Billion 19.9

Mgawanyo mwingine ukaendelea kwa watu binafsi sasa.

Elvis Peter Kilango alijiingizia kiasi cha tsh bilion 4,769,200,000.00
Elvis akalipa fedha kwenda kwa KARMJRR JIVANJEE LTD tsh 83,132,485.00
Malipo kwenda TOYOTA TANZANIA LTD tsh 389,161,125.00
Malipo kwa anayedhaniwa ni Mbunge ndugu LIVINGSTON JOSEPH LUSINDE tsh 10,000,000.00
Malipo kwa VELVE AUTO INVESTMENT tsh 103,776,974.00
Malipo kwa HANDCRAFT NISSAN LTD tsh Bilioni 1,061,658,000.00
Malipo kwa Paul Joseph Meela tsh Bilioni 5,000,000,000.00
Malipo kwa SANGAM INDIA LTD tsh 493,616,833.00
Malipo kwa TAJ EDGE COMPANY tsh 201,835,693.00
Malipo kwa HEAVENLIGHT EDWARD KAVISHE tsh 141,000,000.00.

Ikumbukwe ABDULHALIM HAFIDH AMEIR ni kijana pendwa wa Mama Samia anayedhaniwa kumuongoza Rais kwa kuwaondoa serikalini watu wanaopingana naye.

ANGELA KIZIGA ni Swahiba na shosti wa Rais Samia na ni Mbunge wa Afrika Mashariki aliyepitishwa Bungeni bila hata kufanya interview katika chama.
THANIA ALI ABDULA ni mke wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi ambaye naye kwenye orodha ya wizi huu yumo.
Paul Joseph Meela ni shemeji yake na Mwigulu Nchemba yaani kaka wa mke wa Waziri wa Fedha.

Wengine tutawaletea mahusiano hayo taratibu.

Hata hivyo mgawanyo haukukomea hapo soma hapa chini utaona.

Tarehe 19/4/2023 ABDULHALIM HAFIDH AMEIR aliingiziwa kiasi cha tsh milioni 500,000,000,00.
Tarehe 19/4/2023 THANIA ALI ABDULA aliingiziwa kiasi cha tsh milioni 500,000,000,00 (mke wa Waziri wa Mambo ya Ndani ndgu Masauni na mtu wa karibu na Rais Samia)
Tarehe 5/5/2023 ndugu ABDULHALIM HAFIDH AMEIR aliingiziwa kiasi cha tsh milioni 500,000,000.00
Tarehe 9/5/2023 ndugu ANATORI NYAKI aliingiziwa tsh 500,000,000.00
Tarehe 9/5/2023 ELVIS PETER KILANGO alijiingizia kwenye Akaunti yake kiasi cha tsh Bilioni 3,676,000,000.00
Tarehe 15/5/2023 ndugu YASSIR KAROUB SEIF aliingiziwa kiasi cha tsh 300,000,000.00
Tarehe 15/5/2023 THANIA ALI ABDULA aliingiziwa kwenye akaunt yake tena tsh 200,000,000.00
Tarehe 22/5/2023 ABDULHALIM HAFIDH AMEIR tena akaingiziwa kiasi cha tsh milioni 120,500,000.00

Kwa mgawanyo huo utaona kama ifuatavyo.
1. ABDULHALIM HAFIDH AMEIR amelipwa kiasi cha tsh Bilioni 1,120,500,000.00
2. Bi THANIA ALI ABDULA amelipwa kiasi cha tsh milioni 700,000,000.00
Hawa wote sio watumishi wa Umma na haijulikani wamefanya biashara gani na Serikali.
Kama mama Samia hahusiki ni vyema asimame na kuwakamata wahusika wote wa jambo hili.

Hata hivyo akaunt no 0152673620900 CRDB mali ya THANIA ALI ABDULA ndio iliyopokea pesa zote ambazo mke wa Waziri wa Mambo ya Ndani alilipwa na yeye kuzigawa kama ifuatavyo.

Tarehe 27/4/2023 THANIA ALI ABDULA alimuingizia ndugu ALI JAFAR SHAURI kiasi cha tsh 100,000,000.00
Tarehe 5/5/2023 alitoa cash yeye mwenyewe kiasi cha tsh milioni 170,500,000.00
Tarehe 10/5/2023 alimuingizia pesa ndugu HAMAD MASAUN YUSUPH (mumewe) kiasi cha tsh milioni 80,000,000.00.

Hapo tunamaanisha kazi iendelee ni pamoja na hayo yote?

Nchi imeshindikana hii.

Ni mimi Mghaibuni toka Ughaibuni kunako haki na kweli naendelea kuwajuza.
 
Tlaahtlaah na Lukas mwashambwa,yaoneni HAya badala ya kuhangaika na Heche Kwa pesa za 'Tonetone'!
 
Umeelewa kilichowekwa na Interested Observer ambacho Kimwakaleli kakukumbusha ukijadili?

Umeambiwa weka ushahidi wa unachokisema kama wenzako walivyoweka usahidi wa hoja zao.
Ni wapi umeona ama kusikia Heche akikanusha Tuhuma hizo? Unafikiri kwanini amebadili gia angani na kusema saizi watu watume kwenye akaunti za Chama? Unafikiri kwanini sasa na siyo awali?
 
Ni lini na wapi ulisikia Heche akisema fedha za chama zitumwe kwenye akaunti yake?

Alichosema waliotaka kumtumia yeye hela kibinafsi kama pole kwa masaibu yanayomkuta na kumtia moyo, hela hizo Sasa wazitume kwenye akaunti za chama ili zitumike kuendeshea kikao cha Baraza kuu. HUO NI UZALENDO ULIOTUKUKA.

Umeambiwa lete ushahidi wa tuhuma zako, wewe una mbwelambwela hapa.
 
Luca wewe umewahi kuchanga pesa kwenye tonetone? Wanapochangisha huwa wanasema ni ya nini? Wachangiaji wao wanasemaje katika hili!
 
Wachangiaji kwa sasa wamekatishwa tamaa kabisa baada ya kuona viongozi wa CHADEMA wanekigeuza chama kama mradi wa kushibisha Matumbo yao
Wachangiaji wa tonetone wewe umekutana nao lini na wapi... Mimi Leo nimechangia...

Au unamaanisha wale wachangiaji wa visu vya kukata watu shingo na kutahiri bila gabzi?
 
Back
Top Bottom