Tongo Elamu
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 2,904
- 4,408
Wakili JK, wewe uko nchi gani? Polisi hapa kwetu sasa hivi ndiyo kila kitu....wanaweza kukuvunja miguu, mikono, makalio na hata kukuua na hakuna atakayewauliza kitu.Makamu mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) ameandika kupitia ukurasa wake wa X kuwa nyumba yake imezingirwa na polisi wakiwa na gari nne. Anaandika;
"Nimezingirwa nyumbani kwangu tangu saa 10 alfajiri ya leo. Askari wakiwa na magari manne wako kwenye milango ya kuingilia."
View attachment 3318341
Hapo awali Heche alieleza pia kuwa polisi wamezingira nyumbani kwa Tundu Lissu ambapo walikuwa wakitaka kuingia ndani lakini ndugu waliwazuia. Heche anaandika;
"Tangu saa sita usiku polisi wamezingira Nyumbani kwa mhe Lissu, wamejaribu kutaka kuingia ndani, lakini ndugu wamewambia kama wanataka kufanya ukaguzi lazima mwenye nyumba awepo."
View attachment 3318343
Soma pia: Wakili Jebra Kambole ahoji kitendo cha polisi kutaka kwenda kupekua nyumbani kwa Lissu bila amri ya mahakama
Hata mimi jana nilikuta namba yangu inarekodiwa. Twafa.
Hapana ila sisi tuliwaambia wahuni hawa akina Lisu waache kushangilia kifo maana aliyekufa ni mtu mmoja tu ktk mfumo na alikuwa hahusiki kutoa amri ya watu kukamatwa. Ila wao wakashupaza shingo hahaha acha washughulikiweKwahiyo unashangilia mwendelezo wa udikteta, you're doomed.
Ni totally Zero Brain....!!! Inasikitisha sana huu Utawala.hao polsisiemu wanaonyesha walivyo zero vichwani
Mpumbavu weweKazingirwa na maji au?
HowCCM imefika mwisho.
Wanataka wapike details za ushahidi wa uongoMakamu mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) ameandika kupitia ukurasa wake wa X kuwa nyumba yake imezingirwa na polisi wakiwa na gari nne. Anaandika;
"Nimezingirwa nyumbani kwangu tangu saa 10 alfajiri ya leo. Askari wakiwa na magari manne wako kwenye milango ya kuingilia."
View attachment 3318341
Hapo awali Heche alieleza pia kuwa polisi wamezingira nyumbani kwa Tundu Lissu ambapo walikuwa wakitaka kuingia ndani lakini ndugu waliwazuia. Heche anaandika;
"Tangu saa sita usiku polisi wamezingira Nyumbani kwa mhe Lissu, wamejaribu kutaka kuingia ndani, lakini ndugu wamewambia kama wanataka kufanya ukaguzi lazima mwenye nyumba awepo."
View attachment 3318343
Soma pia: Wakili Jebra Kambole ahoji kitendo cha polisi kutaka kwenda kupekua nyumbani kwa Lissu bila amri ya mahakama
Usalama kwa viongoz hauwekwi hivyo, mpaka ridhaa ya muhusika.usalama kwa viongozi ni muhimu ndugu polisi wanalitekeleza hilo bila ya upendeleo
Before kuingia kwa magufuli , hawakuwah kujua namna ya kutumia hivi vyombo ku suppress political opponents. Maguful akaja akawaonyesha how to do it, for their advantage aka yeye ndio muasisi.Yaani mimi nakenue mpaka gego la mwisho halafu nimeweka kijiti natoa vinyama kwenye meno hahahah. Mlishangilia kifo cha Dkt Magufuli hahahah. Tuliwaambia muomboleze maana aliyeondoka ni mmoja tu wengine wapo hahaha
Atapakwa wese huko kwa mchepukoWakati mwingine anatakiwa awe mjanja. Alale hata kwa mchepuko, halafu ile asubuhi wanashtukia tu jamaa ameibukia mahakamani.
Ni zambi mkuuAlale hata kwa mchepuko
Utaiacha ccmCCM imefika mwisho.
Unalalaje kwako Heche dah