PreGE2025 Heche: Polisi wamezingira nyumbani kwangu na kwa Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Bora hata wangekuwa wanaitumia hiyo kazi kama sehemu ya kupata mtaji wa kufanya biashara. Tafuta polisi yeyote mtaani kwako uone wanavyoishi kwa aibu.
mabwana zao ndio wanaitumia, si unamuona Kova saa hizi
 
Unataka picha ya mama'ko au
Sawa nitumie nione itapendeza zaidi huwezi
Tuko kwenye ulimwengu wa kisasa huwezi kuniambia mtu kama heche avamiwe asitume picha 😌 yani nonsense kabisa

Halafu wewe na akili zako timamu unaleta lugha za ajabu bila kuleta hoja sema ukikua utaacha
 
Polisiccm sasa mnaendesha nchi kwa mjibu wa fikira haramu za ccm siyo kwa mjibu wa sheria
 
Wakili JK, wewe uko nchi gani? Polisi hapa kwetu sasa hivi ndiyo kila kitu....wanaweza kukuvunja miguu, mikono, makalio na hata kukuua na hakuna atakayewauliza kitu.
Tanzania ya sasa Polisiccm wapo juu ya sheria hata jaji mkuu vyombo vyote vipo chini yao, wanaingilia mahakamaccm kama watakavyo, wanaenda kupekua bila vibali vya upekuzi wala mhusika kuwepo nybani kwake
 
We si jeuri, ulisema huogopi chochote!!
 
Polisiccm sasa yafaa walaniwe vikali, visomo vikali, Alibadiri kubwa kurujuani nyingi wasomewe kila kona ya Nchi angalau wajue Kuwa hakuna mabaya yasiyo na mwisho wake na mwisho wa ubaya ni Aibu kubwa
 
Polisiccm sasa yafaa walaniwe vikali, visomo vikali, Alibadiri kubwa kurujuani nyingi wasomewe kila kona ya Nchi angalau wajue Kuwa hakuna mabaya yasiyo na mwisho wake na mwisho wa ubaya ni Aibu kubwa
Yaani hayo majitu yanavyotia huruma mitaani wakivua hizo gwanda hadi aibu wanaishi maisha ya taabu tu, utakuta nyumba ya polisi mke anagongea kibiriti na kitunguu kwa jirani
 
Ana bahati, ulinzi wote huo wakati sisi tunatumia ulinzi shirikishi
 
By muda huu angetakiwa awe na multiple places, anajua once ukishakuwa leader wanupinzani unakuwa target , ajifunze vigilance na jinsi ya ku move bila kuwa detected. Itamsaidia sana
Hajifunzi kwa Mbowe,unatakiwa una geto mwananyamara huko unaenda na IST
 
Ushetani wenu una mwisho wake wapo wapi akina magu bokasa, mabutu, idd Amini Dada,makaburu, Elibashiri, Chiluba na wenzao?
Kwani kufa ni adhabu!!? Mbona babu zako wamekufa!! Fala we!
 
Iko hivi bosi, ukiona yanayoendelea kumbuka enzi za kifo cha Daudi Mwangosi, alikufa mchana kweupe na aliuawa kwa mkono wa polisi mchana kweupe. Sisi wazalendo tunacholaani ni kukosa political strategist ndani ya vyama vyetu. Kwa mantiki hiyo namuondoa kabisa Dkt Magufuli kwenye huo ujinga, ila ukiniambia tuna mfumo wetu wa vyombo vya ulinzi na usalama unaotumikishwa na wanasiasa hapo nakubaliana nawewe.
 
Polisiccm sasa yafaa walaniwe vikali, visomo vikali, Alibadiri kubwa kurujuani nyingi wasomewe kila kona ya Nchi angalau wajue Kuwa hakuna mabaya yasiyo na mwisho wake na mwisho wa ubaya ni Aibu kubwa
Hakuna cha kurujuani wala Albadir mkuu...ni kuteka polise mmoja anakua fundisho kwa vizazi vijavyo ..mnamkamata mmoja....piiiigaaa
 
Yaani mimi nakenue mpaka gego la mwisho halafu nimeweka kijiti natoa vinyama kwenye meno hahahah. Mlishangilia kifo cha Dkt Magufuli hahahah. Tuliwaambia muomboleze maana aliyeondoka ni mmoja tu wengine wapo hahaha
Mateso wanapata raia na sio cdm
 
Weka taarifa iliyokamilika usitoe taarifa nusu nusu.

Lakini Kama amezingirwa na Mawakala wa Wapinzani wao wa kisiasa, nafikiri tayari humu mtandaoni tulishawashauri wafanye Nini kuhusiana na hizi harakati zao.
Usijifanye mwehu, kwenye uhai na maisha ya wenzako kana kwamba wewe ni peculiar sana. Mnataka wafe wangapi ili mapepo yenu yashibe damu za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…