Huo ni mshahara wa mwezi wa mtanzania mwenye kipato cha kati ila mtu anaulamba kwa siku. Na bado majimbo yanaongezwa."Sisi posho siku moja tu bungeni tulikuwa tunalipwa laki nne, halafu Mwalimu kwa mwezi unamlipa laki 4"
Soma, Pia: John Heche: Mbunge analipwa Milioni 20 kwa mwezi na posho ya laki 6 kwa siku. Nchi hii inaibiwa sana!
Tatizo sio kusema tu.Na empty words. Ni kushughulika na tatizo kwa kutopokea hiyo posho.Huwezi ukawa unahubiri kuhusu maji halafu unakunywa mvinyo.Wewe ndio mnafiki na Hujitambui!
Heche amekuwa akisema hayo tangu akiwa bungeni
Angepokea na kutoa kwenye charity ili kuongeza credibility yake.Kulalamikia jambo ulilokuwa ukifanya una raise doubt.Au at least ange come clean sasa na kusema alipokea hiyo posho kimakosa kwani hakustahili.Mtumishi wa umma hawezi kukataa mshahara na posho zake anazostahili. Atalipwa tu stahili yako hata aseme nini. Njia pekee ya kuzuia kulipwa ni kuacha kazi. Anachoweza kufanya ni kuupokea na kuutumia kuwahudumia wananchi wenzake na kuendelea kupiga kelele.
Amandla...
Wabunge wa nchi hii Wana hizo value na Impacts ?Duniani kote watu wanalipwa kutokana na Value na Impact anayoweza sababisha kwenye jamii..
Huyu mpuuzi mzandiki mbona anasema leo baada ya kua hay umo bungeniIla mbona hajawahi kulalamika hvy chadema wakiwepo bungeni?
Hawezi kusema kuwa alipokea kimakosa kwa sababu alistahili kulipwa mshahara na posho hizo kwa mujibu wa miongozo ya Bunge. Sio tu kuwa alikuwa anasaidia jamii yake bali wabunge wa CDM walikuwa wanachangia sana gharama za kuendesha chama chao. Credibility yake kwenye hili suala iko juu.Angepokea na kutoa kwenye charity ili kuongeza credibility yake.Kulalamikia jambo ulilokuwa ukifanya una raise doubt.Au at least ange come clean sasa na kusema alipokea hiyo posho kimakosa kwani hakustahili.
Na walikuwa wanatumia hizo posho kuchangia Chama chao.Hapo ndio panafanya usiwe credible.Unaposhiriki kwenye kupokea posho na mishahara kwa mujibu wa miongozo iliyopo basi unakuwa part and parcel ya hayo maamuzi.Hawezi kusema kuwa alipokea kimakosa kwa sababu astahili kulipwa mshahara na posho hizo kwa mujibu wa miongozo ya Bunge. Sio tu kuwa alikuwa anasaidia jamii yake bali wabunge wa CDM walikuwa wanachangia sana gharama za kuendesha chama chao. Credibility yake kwenye hili suala iko juu.
Amandla...
Hapana. Kila nchi ina takwimu za kiasi gani mtumishi anahitaji ili kukimu maisha. Nchi makini inahakikisha kuwa wanaofanya kazi wanaweza kuishi kutokana na mshahara wao. Kampuni inayoweza kumlipa Meneja milioni 18 haistahili kulipa wafanyakazi wa chini mishahara ya kitwana. Ukiangalia taasisi zote zinalipa mabosi mishahara minono ( TRA, BOT, Tanapa n.k.) hata wale wa chini nao ni alhamdulilah.Upo sahihi kiasi
Ila mshahara haumtoshi mtu hata siku moja mkuu...
Hao wabunge wenyewe wana madeni ya kuwatosha na bado wanakopa na wakitoka huko hali mbaya
Sikiliza video mkuu, Hoja yake sio kuwa posho za wabunge ni kubwa zipunguzwe, hoja yake ni kuwa inawezekana wote kulipwa vizuri, wabunge, walimu wote inawezekana kulipwa vizuri iwapo hao wanaolipwa vizuri bungeni wakiamua kupigania maslahi ya wengine.Mnafiki tu huyu.Angelalamika kwamba posho ni kubwa ipunguzwe akiwa mjengoni angekuwa na credibility. Kuwa nje ya mjengo halafu ulalamike ni unafiki tu na hadaa.
Unaongea kama vile walikuwa majority. Niambia kupokea kwao stahili zao kuli affect vipi adhma yao ya kusimamia serikali na kuwatetea wananchi wenzake? Ni bora kuendelea kupokea stahili zao kuliko kukimbia mapambano kwa kisingizio kuwa hakubaliani na stahili zake. Hypocrites ndio watasema kuwa amepoteza credibility.Na walikuwa wanatumia hizo posho kuchangia Chama chao.Hapo ndio panafanya usiwe credible.Unaposhiriki kwenye kupokea posho na mishahara kwa mujibu wa miongozo iliyopo basi unakuwa part and parcel ya hayo maamuzi.
Wange boycott kuonyesha kwamba wao wapo tofauti ndio wangekuwa credible.Huwezi kushiriki kwenye zoezi unaloamini kwamba sio sawa kwa kisingizio kwamba miongozo inasema hivyo.
Inakuwa vigumu kuaminika unapobadilisha upande.
Mbona hakusema kipindi anapokea hizo posho?"Sisi posho siku moja tu bungeni tulikuwa tunalipwa laki nne, halafu Mwalimu kwa mwezi unamlipa laki 4"
Soma, Pia: John Heche: Mbunge analipwa Milioni 20 kwa mwezi na posho ya laki 6 kwa siku. Nchi hii inaibiwa sana!
Mbona hakuikata kipindi kile hiyo ni double face politics.......acha kujaza waalimu masikini."Sisi posho siku moja tu bungeni tulikuwa tunalipwa laki nne, halafu Mwalimu kwa mwezi unamlipa laki 4," John Heche Makamu Mwenyekiti CHADEMA
View attachment 3251755
Acha upumbavu kwenye mambo ya msingi...hicho anachokisungumza ww unaona ni jambo la kubeza?Hiki kijamaa kinaumia sana kunyimwa kisikanyage bungeni
Kwaiyo kama hakusema kipind anapokea basi ndo kiwe kigezo cha yeye kukaa kimya kufumbia ujinga...hilo linalofanyika wewe unaona ni sahihi?Mbona hakusema kipindi anapokea hizo posho?
Hapana ila tunamwona ni mwanasiasa mnafiq anayefanya siasa za hadaaKwaiyo kama hakusema kipind anapokea basi ndo kiwe kigezo cha yeye kukaa kimya kufumbia ujinga...hilo linalofanyika wewe unaona ni sahihi?
Embu wakati mwingine tuwe tunajaribu kufikiri kwa kina.