Battor
JF-Expert Member
- Mar 21, 2019
- 1,964
- 3,496
Huo ni mshahara wa mwezi wa mtanzania mwenye kipato cha kati ila mtu anaulamba kwa siku. Na bado majimbo yanaongezwa."Sisi posho siku moja tu bungeni tulikuwa tunalipwa laki nne, halafu Mwalimu kwa mwezi unamlipa laki 4"
Soma, Pia: John Heche: Mbunge analipwa Milioni 20 kwa mwezi na posho ya laki 6 kwa siku. Nchi hii inaibiwa sana!