Heko Rais Samia umetupa jiwe gizani wakapambane nalo!

Hapo hamna heko, alipaswa kuwashughulikia hao wezi kama Sheria zimavyisema

Wizarani Kuna wizi pia, napo atawapa watu binafsi waziendeshe?
Hiyo ni weakness. Kama kashindwa kuwashughulikia anao waweza ataweza asio waweza?? [emoji848]

Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
 
Tutawashoot mbbbwa nyie, uho uhaini wenu utawatokea puani
 
Wagalatia mmerogwa ? Mnataka kuvuruga amani
 
Je unaamini kulikuwapo na wezi ambao hata huyo JPM hakufua dafu.
Ref:-aliyekuwa amejiunganishia mafuta kigamboni Dc wa wakati huo akipiga kelele wee mpaka kurushwa kwenye runinga, aliishia kutemeshwa yeye kibarua.
Unaamini ilikuwa wakati wa JPM?
 
Mambo ya rohoni ufahamika na watu walio rohoni tu. Kwa watu walio mwilini mambo ya rohoni kwao ni udini tu.
Hatuishi rohoni... Mambo ya bandari ni ya mwilini... Tushughulike na tatizo halisi . Tusilete hisia za kidini humu. Wewe umeona rohoni shughulika nalo kama ulivyoona. Sisi tunadai hatima ya bandari zetu.
 
HIzo propaganda za dini mngeziacha kabisa lasivyo labda kama mnatamani machafuko
 
Kama unayoandika ni kweli basi yeye ndiye tatizo na anatakiwa aondoke. Kwa nini anaachia hao wezi? Huyo rais anashindwa kuongoza eneo dogo kama bandari liwe na ufanisi ataweza kuongoza nchi nzima? Aachie wengine.
 

Mbona hatikusikia kampuni ngapi zilishindanishwa tenda hiyo nia yake ni njema ila sio waarabu
 
Mwamba huyu hapa
Your browser is not able to display this video.
 

ungana nao kesho wanaingia barabarani kusndamana
 
Yeye kama Rais ameshindwaje kuwashughulikia hao wezi na kufanya close control ya hiyo bandari ili ilete matokeo chanya kwa Taifa.

Kama ni kweli ameongea hayo basi atatudhihirishia huo udhaifu upo hata kwenye maeneo mengi Kama Tanesco nk.
 
Huyu mama analo jambo na wazanzibar, waarabu, na, waislamu wenzake. Hakuna siri wala jipya chini ya jua. Ni mpangomkakati wa kufanya uislamu utawale nchi hii na dunia kwa jumla. Nashangaa "mikristo" ipo kimya na inashangilia.
ndivyo munavyoaminishwa huko kwenye taasisi zenu za dini?

Duh ujinga ulioje!
 
Kwa lugha nyingine anatuambia kuwa kuendesha nchi kumemshinda hivyo angalau waarabu wamsaidie. Kumbe hadi wezi unawajua ila umewakalia kimya!! Unawaogopa au?
 
Kwa lugha nyingine anatuambia kuwa kuendesha nchi kumemshinda hivyo angalau waarabu wamsaidie. Kumbe hadi wezi unawajua ila umewakalia kimya!! Unawaogopa au?
Liambieni likodishe na wizara. Maana zimejaa wizi. Na Urais pia akodishe, maana ni lidhaifu kupita kiasi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…