Heko Rais Samia umetupa jiwe gizani wakapambane nalo!

Ngoja Nikuibie siri masheikh wa Dp world, hii ndio leadership yao

1. Sheikh Robert Wood wa Madrasa ya Uingereza


2. Amirat phumzile Langeni toka Madrasa ya South Africa


3. Mufti Daniel von Otterdjik toka Madrasa ya Uholanzi


4. Ustazi Juan Carlos Sahdala huyu anatoka Madrasa ya Dominica


5. Bila kumsahau daruweshi Vijay Malhotra



Hao ndo Maustadh waliopo kwenye Bodi na Leadership. Ya Dp world, watakuja Kueneza Dini na Uisilamu wakipewa Bandari yetu, Ni Maustadh hatari sana wengi wana uzoefu kama Miaka 30 ya uendeshaji Madrasa.
 
Hapo hamna heko, alipaswa kuwashughulikia hao wezi kama Sheria zimavyisema

Wizarani Kuna wizi pia, napo atawapa watu binafsi waziendeshe?
Umemaliza kuthibitisha huyo ni punga la nchi hii. Tanzania inge employ technology ya kuendesha bandari kwa speed na mifumo isomane kisasa, tosha. Mtoto wangu akiiba inaeleweka na cha kumfanya kipo.
 
Wizarani Kuna wizi
Tamisemi na halmashauri Kuna wizi
Kwenye mashirika Kuna wizi
Majeshi yotee Yana wizi.

Vipi na huko abinafsishe?

#YNWA
 
Umemaliza kuthibitisha huyo ni punga la nchi hii. Tanzania inge employ technology ya kuendesha bandari kwa speed na mifumo isomane kisasa, tosha. Mtoto wangu akiiba inaeleweka na cha kumfanya kipo.
Nchi ni mifumo it's a system zipo sehemu ni dangerous hata kwa maisha yetu, just measure sehemu ambayo hata JPM na uhodari wake alizishindwa,ukifanya kazi serekali ndipo utakapofahamu wapo katika idara yako lakini hawagusiki.
 
Kama unayoandika ni kweli basi yeye ndiye tatizo na anatakiwa aondoke. Kwa nini anaachia hao wezi? Huyo rais anashindwa kuongoza eneo dogo kama bandari liwe na ufanisi ataweza kuongoza nchi nzima? Aachie wengine.
Senerio parameter ya lango hili la kiuchumi ni kubwa na Pana mno, ni ngumu kwa mtu wa kawaida kutambua hili.
 
Kuna kila dalili kuna watu wanataka kufanya tanganyika dola la kiislaam. Katika mitaala mipya ya elimu, eti watz tujifunze kiarabu. Hawa waarabu hawatakaa kuitawala tanzania hata siku moja. Tutawachuna ngozi
 
Wanakupiga mande Mzee ndiyo maana unaongea ujinga
 
Hii nchi Una wajinga wengi Sana ukiwemo wewe.
 
Hapo hamna heko, alipaswa kuwashughulikia hao wezi kama Sheria zimavyisema

Wizarani Kuna wizi pia, napo atawapa watu binafsi waziendeshe?
Chawa hawezi kuwa na hoja zaidi ya kuhemka.
 
Hata kwenye Ripoti ya CAG aliishia kusema Shame on you..... What next Presida ? No maajabu. kwa viongozi vilema na wapofu ni rotation tu
Tuwape waarabu ripoti ya CAG ili wawashughulikie wote waliotajwa kwa ufanisi wa hali ya juu na kuongeza mapato kutoka 37% hadi 67%.
 
Ukiondoa hawa wezi wa sasa,ukileta wengine kama hawa,pia wataiba,dawa ni kuleta wasiohusiana na hawa wezi.
 
Ukiona mtu anapiga kukabidhiwa muekazaji kwenye uwekezaji,hasa waekezaji wa kigeni,ujuwe huyo anashirikiana na hao wezi au wezi ni ndugu zake.
 
Wizarani Kuna wizi
Tamisemi na halmashauri Kuna wizi
Kwenye mashirika Kuna wizi
Majeshi yotee Yana wizi.

Vipi na huko abinafsishe?

#YNWA
Unaoufanya mabadiliko huwa unaangalia terminology mbili maarufu " Reasonable and possible"
 
 

Attachments

  • B7F74031-39D7-40FF-B4A3-C78CD7D2F5A2.jpeg
    51.3 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…