Heko Rais Samia umetupa jiwe gizani wakapambane nalo!

Hao wezi wameishawahi kutajwa na report ya CAG?kama ndio kwanini Samia hajawafunga?au ni wezi wa kufikirika?
Tatizo hapa,hatq Samia na mwenyewe ni mwizi TU,wanaiba wote,Sasa hawezi kuwagusa,
 
Hao wezi wameishawahi kutajwa na report ya CAG?kama ndio kwanini Samia hajawafunga?au ni wezi wa kufikirika?
Tatizo hapa,hatq Samia na mwenyewe ni mwizi TU,wanaiba wote,Sasa hawezi kuwagusa,
Nyerere alishindwaje? Alijenga kila kitu kwa jasho na damu vilikufaje? Maana alipaswa kuwa mwenye hasira kali zaidi, UNAPOKUWA POSITIVE, NA MAZINGIRA YOTE YAKAWA NEGATIVE, WORK DONE HUWA ZERO HATA UWE NA JUHUDI GANI.
 
Ulipata ngapi form four au ni wale wale wenzetu hamna kitu kichwani. English olumoteee
 
Hapo hamna heko, alipaswa kuwashughulikia hao wezi kama Sheria zimavyisema

Wizarani Kuna wizi pia, napo atawapa watu binafsi waziendeshe?
Mahakama na jeshi la polisi kumeoza kwa rushwa, je pia tuwakabidhi wageni waeendeshe ?!
 
Hapo hamna heko, alipaswa kuwashughulikia hao wezi kama Sheria zimavyisema

Wizarani Kuna wizi pia, napo atawapa watu binafsi waziendeshe?
Ikibidi Kama wezi na Mafisadi hawataki kubadilika ni wapigwe mnada tu kwa wageni!! Mama Samia OYEEEE!! Magufuli alikua anawatumbua mkamuona Dikteta!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Je unaamini kulikuwapo na wezi ambao hata huyo JPM hakufua dafu.

Ref: Aliyekuwa amejiunganishia mafuta Kigamboni DC wa wakati huo akipiga kelele wee mpaka kurushwa kwenye runinga, aliishia kutemeshwa yeye kibarua.
Mwambie huyo, hajui kua Nchi hii ina Mafisadi yenye nguvu kuliko hata huo muhimili wa Rais!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Umechelewa Mkataba ulisha signiwa kitambo sana!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Wwe achaa kujifanya Kama hujui Tanzania, kuna vijitu vya kawaida vyenye vicenti vyao vikifanya uhalifu tu unaona jinsi police na Mahakama zinakua na kigugumizi kuwachukulia Sheria ili wawajibike, itakua hap Mafisadi wa huko Juu Nani anaweza kuwagusa!!?

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Hamna Rais hapo
Rais gan hatambui maamlaka yake ni dhaifu sana anategemea mipasho[emoji34][emoji34]
Akijifanya kutambua mamlaka yake ya urais Kama JPM, hadumu kwenye hicho kiti Vita ya uchumi ni ngumu sana, ndiyo maana Mama kaamua kukodisha Waarabu wamsaidie kwenye hii Vita!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Rais hyu Wenda Ana Visio nzur ila Sasa njis anayotumia yeye siyo

Kwanza Ana mipasho na kuchamba viongozi wenzake wanao mchallenge rifaa ishu ya ndugai jins alivyochambwa
 
Wengi hawajui ubinafsishaji bandari ni maandalizi ya uchaguzi. CCM uwadiapo uchaguzi kashfa za kukwapua pesa ya umma lazima utokee.
CYO Kweli ccm Ina vyanzo vingi vya mapato Kia's kwamba Ni siku tatu tu wanawwza pata trillion 4
 
wakristo ndio wanaonufaika na bandari kwa mizigo yao kupita bure kwa kisingizio cha kanisa na mizigo hiyo unaikuta inauzwa kariakoo hata jpm aliwahi kulitamka neno hilo familia nyingi za kilatiwa manufaa yao ni bandarini wanaona akipewa mwarabu hakuna cha bure pale ndio anguko lao wajanja wakujidai na pesa wataisha mjini
 
You explain it well
 
Kwani serikali ni wajinga au hawana uwezo wa kudeal na wala rushwa? failure and corrupt government
 
Kwani serikali ni wajinga au hawana uwezo wa kudeal na wala rushwa? failure and corrupt government
Toka wakati wa mwalimu corruption ilipigwa vita lakini ugaulu wake ulikuwa mdogo, hata kusababisha yale mema yote aliyoyaanzisha kwa jasho la mkulima na mfanyakazi kujifia kimya kimya, corruption is a cancer to our community!
Kabla ya kulaumu tuwe tunaangalia rekodi ya jambo husika nyakati kwa nyakati, tusilaumu tu awamu moja ni makosa makubwa sana.
HEKO MAMA SAMIAH.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…