Helikopta iliyobeba viongozi wa Iran na Houthi imepata ajali

Kuna kichaa mwingine akija kuwa waziri mkuu anaweza akawa afadhali ya netanyahu (Itamar ben gvir)
 
Hapana chezea lsrael !
 
Habari yako umeitoa al jazeera gani!?.. wengine hatuipati huko aljazeera
 
Aisee waarabu hawatokuja kumsahau netanyahu kwa anachowafanyia. Hiyo ndio namna ya kupambana na magaidi "yani ng'oa jino Moja ning'oe meno yote mdomoni ubaki kibogoyo"
 
hii jeuri hii ni kutoka US
 
Humu mbona km mnashabikia mauaji
Iko hivi, kuna watoto, wanawake, na raia wasio na hatia wanauwawa kinyama kutokana na vita vilivyoanzishwa na hivi vikundi.

Sasa kwa kuwa wameikataa amani au tuseme wanabariki watoto, wanawake na wote wasio na hatia waendelee kuuwawa basi inapotokea mmoja wa waanzilishi anakuwa eliminated ndo shangwe unazoziona humu.

Sio kitu kizuri but ukiziona picha na video za raia wanaokufa kinyama kutokana na huu mzozo unakosa namna ya kutofurahia.

Au mtu aje hapa atueleze Lebanon alikosa nini hadi kuingizwa kwenye huu mzozo? Hezbollah kwanini wasingelaunch mashambulizi yao kutokea Gaza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…