Helikopta iliyobeba viongozi wa Iran na Houthi imepata ajali

Neta sio poa... jana tu kaizoom ndege ya iran ikitua beirut.. akawaambia kwa usalama wao wageuke.. ikabidi wageuke chap.. leo tena hivi.. usicheze na teknolojia
 
Netanyahuh mlimchokoza wa nini jamani.
 
Bado wameng'ang'ania helcopter!
 
Watawamaliza Sasa Kwanini Iran Wasiache Vita Wapone
 
Ariel Sharon ndio kiboko yao,nikikumbuka sakata la Shaba na Shakla alipokuwa kwenye Magwanda hatari tupu.
 
Baada ya zile pagers kilipuka ndo nikaona myahudi yupo serious kumtafuta adui mpaka anampata.
Aliwavuruga kabisa mkisha kosa mawasiliano kitakachoendelea ni kipigo tu tatizo waarabu hawaamini kubwa hilo taifa ni la Mungu kweli waulize warumi wanawajua hawa hata wawe wachache utakiona
 
Kinachofuata ni marufuku ya kutumia vyombo vya usafiri vya kisasa badala yake watatakiwa kutumia Punda au Farasi tu na baiskeli za miti.
Dah! Sasa hiyo itaitwa ni lock-down au ni Lock-up ni vyote kwa pamoja?
 
Iran ametoka huko kwa kiwango kikubwa sana , pamebaki padogo sana
 
Neta sio poa... jana tu kaizoom ndege ya iran ikitua beirut.. akawaambia kwa usalama wao wageuke.. ikabidi wageuke chap.. leo tena hivi.. usicheze na teknolojia
Neta kichaa tu anafurahia nini kila siku missile zinaland israel huu ni ujinga anahatarisha existence ya taifa lake huku akijali zaidi political carrier he choose to save himself than his people
 
Iran ametoka huko kwa kiwango kikubwa sana , pamebaki padogo sana
Ila hajawahi ,kuna sehem kaenda taratibu ndo maana anahitaji busta ya kafiri mrusi au mchina ndo mambo yaende na kumbuka Iran sio mwarabu huyo.......yeye anapambania maslahi yake huku pia akitaka waarabu wawe chini yake
 
Mkuu weka source lasivyo taarifa yako ni uongooo.

Weka source hapaa

Hata link
 
Ila hajawahi ,kuna sehem kaenda taratibu ndo maana anahitaji busta ya kafiri mrusi au mchina ndo mambo yaende na kumbuka Iran sio mwarabu huyo.......yeye anapambania maslahi yake huku pia akitaka waarabu wawe chini yake
Hata kafiri Mrusi ananufaika na Drone za Iran, kwahiyo ni WiN WIN situation , sioni kama kuna tatizo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…