Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 1,949
- 4,759
Sawa kaka 😂😂😂Kwa wale wote wanaolalama: mlikuwa mnataka ni waoe nyie? katika maisha kila mtu ataishi na ampendae ilimradi atie na kufuata taratibu za kisheria sambamba na kimila......... bila kuathiri uhuru wa mtu......