Wapenda demokrasia huwa tunakubali pale unashirikiana na mambo ya msingi kama usalama , siasa safi, uongozi bora, upendo bila mipaka na uhuru wa mawazo ili tuweze kufikia huo uchumi wa viwanda nasio wa Majungu
Kabla sijakupongeza siku ya kuzaliwa
Naomba majibu kuhusiana na tukio la Tundu lissu la kupigwa risasi ,kupotea kwa ben sanane, kupigwa mapanga kwa Alphonse mawazo, kupotea kwa azory ngwanda, kupigwa risasi kwa aqwila akwilini nk nk!