Heri ya siku ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Pombe Magufuli

Heri ya siku ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Pombe Magufuli

@="Mzizi wa Mbuyu,

Anaetoa laana ni Mungu tu mzee angalia maneno yasikurudie basi zaliwa wewe
 
Mungu azidi kukupa nguvu na afya tele kwa maslahi ya Taifa. Yesu mwenyewe alichukiwa, Mtume mwenyewe alichukiwa hivo hakuna ajabu katika hilo. Anapobarikiwa kiongozi ni kwa manufaa ya nchi na watu wake
 
Baba nakutakia kheri ya kuzaliwa. Endelea kuwanyoosha kabisa weka moto kwenye vidoti vitatu. Miaka 60 si haba.
Haya vipenzi vyagu tuungane kumuwish our one and only CHUMA a very Happy birthday.
 
@ kichonge
In those early years everything was hidden from him on what he was going to become.
Many years later in 2015 it was the RIGHT time for the son of a peasant to take the helm of leadership of this great countryTanzania.

We do wish him a Happy birthday, good health and many years so as to be able to discharge his duties with vigour even as he takes this country to Greater Heights.
And also be able to see his great grand children. That is the Magufuli we pray for.
 
# Happy Birthday @ your 60th Your Excellency President Dr. John Pombe Magufuli ***
 
Hongera mheshimiwa Rais nakuombea miaka 900 mingine
 
Live long our Hounarable president of URT dr.John Pombe Joseph Magufuli
 
  • Thanks
Reactions: nao
Wapenda demokrasia huwa tunakubali pale unashirikiana na mambo ya msingi kama usalama , siasa safi, uongozi bora, upendo bila mipaka na uhuru wa mawazo ili tuweze kufikia huo uchumi wa viwanda nasio wa Majungu
Kabla sijakupongeza siku ya kuzaliwa

Naomba majibu kuhusiana na tukio la Tundu lissu la kupigwa risasi ,kupotea kwa ben sanane, kupigwa mapanga kwa Alphonse mawazo, kupotea kwa azory ngwanda, kupigwa risasi kwa aqwila akwilini nk nk!
 
Long may he live and reign His Excellence John P Magufuli.
 
Naiheshimu sana miaka 60 umekua baba jina babu linanda kukupendeza HAPPY B'DAY.
 
@="Boniphace Kichonge, ]Live long your majesty.. Rais wa JMT Dr Magufulik[emoji322][emoji512]
 
Back
Top Bottom