Hesabu kufuzu: Nashauri wana Yanga watembee na Scientific Calculator

Mwarabu anakuja kwa Mkapa na Msudani ndio tutamfata kwao ambako na yeye ni mgeni
Miaka ile Simba tunafuzu robo fainali Kwa miaka minne mtawalia, Tulikuwa na slogan mbalimbali ikiwemo Kwa Mkapa hatoki mtu

Yanga alifanya kosa kubwa sana kuruhusu kufungwa na Wasudan pale Kwa Mkapa

Wamefanya wawe na mlima mrefu wa kuupanda
 
Sahihi sana kaka; Yanga ilifanya makosa sana kuipoteza ile match na Wasudan. Hakika ni matokeo ya kujutia hadi leo; mlima uliobakia mrefu sana kuupanda
 
Sahihi sana kaka; Yanga ilifanya makosa sana kuipoteza ile match na Wasudan. Hakika ni matokeo ya kujutia hadi leo; mlima uliobakia mrefu sana kuupanda
Pole zao

Kufika robo fainali watahitaji Muujiza
 
Aaaah Mwasibu feki CPA uchwara OKW BOBAN SUNZU umerudi tena kwa mtindo mpya.
 
Na sio scientific calculator tu. Inabidi iyo scientific iwe inachora mpaka graph na kusolve probability.😁
Hizo hesabu za yanga kufuzu haiwezekani mtaitesa bure calculator, hiyo calculator ni mwendo wa ku-stack na kutetemeka kama magobole kwenye movie za Rambo
 
Yanga hana mpango wa kuangalia nani afungwe na nani.Anamchapa Al Hillal 3-1 anakuja mchapa MC Alger 3-1 habari kwisha mnaanza stori nyingine.
 
Yanga mwenyewe uwezekano wa kumfunga MC Algiers kwa mkapa ni mdogo , mwaka juzi si alikula mbili bila
 
Hizo unazofanya ni hesabu za nini?
 
Mwaka huu hakuna namna ndicho kitakacho wakuta weekend hii kwa IBENGE na Algeria watawamalizia hapa kwa mkapaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…