Hesbollah hii ndo ile tulio hadithiwa ama tutarajie nyingine?

Hahaha Waisrael weusi wa YELANYALA wanaripotiπŸ˜€πŸ˜€
 
N miongoni mwa mtoto pendwa wa Iran na Iran amewekeza sana
Iran anaongozwa na hisia za kidini na si ubonadamu.Hebu cikidia kama angewekeza kuwawezesha wapalestina na hao waislam wenzake kiuchumi hayo maeneo yangekuwa zaidi ya dubai.Lakini kwa kuwa anaongozwa na mihemko ya uislam kutawala dunia anawekeza kwenye kununua silaha na kujenga mahandaki huku anaowapa hiyo misaada wakiteseka kwa njaa, umasikini na ujinga
 
Hivi hii ndiyo ilitajwa kuhusika na moja wa wagombea urais wetu hapa nchini mwaka 2005
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ila watu, siyo hiyo ile ilikua propaganda ya vijana wale maarufu kama boys to men
 
Hapa ww ndo umechambua kuna engine hapo juu kama mwanamke aliechaniwa wigi wanavojibu sijui nyege njaa bumbavu zao ukiamua kusema kitu cha kweli chambua bilankuweka mahaba big up broo
 
Ila ujue Yahudi hahesabu siku bali anaangalia malengo yake katika uangamizaji.
Angalia Gaza ilivyo baada ya mwaka.

Hii vita wanaoumia ni akina mama na watoto.
So anapambana kubomoa miji na si kutokomeza uasi?
 
Mkuu hivi kumbe jeshi la Israel halijakanyaga ardhi ya Lebanon mpaka Leo????
 
Umenena vema kiongozi.....it's matter of technological gaps
 
sheria za kimataifa haziruhusu nchi yoyote ile kuikalia kimabavu nchi nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…